haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume tengeneza ndoa tulivu kwa kufanya haya

    1.mpende kwa maneno mazur mkeo 2.mpe pesa sio lazima hela nying ni hata vijisent mpe tu elf 7 kum na nk bila maelekezo yaan yake kama unazo nying mpe tu hata nne tano milion au gar 3.kua msafi unaevutia mbele za watu au wanawake wengine 4.jar ndugu zake au marafiki 5.show show kitandan fanya...
  2. JamiiForums Tanzania MTEGO; "Babe ukitaka tudumu kwenye haya mahusiano/ ndoa yetu basi kila mtu abakie na simu yake"

    Habari za muda huu wazalendo wenzangu poleni na mihangaiko, harakati na purukushani za kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila shaka hiyo sio kauli ngeni miongo mwa wanaojiita wapendanao ni kauli ambayo imekaa kibusara au kwenye kheri. Hii kauli imevikwa muonekano wa hekima lakini ndani...
  3. JamiiForums Tanzania Nilichukua balo la mizura niuze kipindi cha baridi, aisee nilikuta mizura yote ni ya Father Christmas

    Ilikuwa ni mwezi wa sita nilichukua balo la mizura niuze kipindi cha baridi, aisee nilikuta mizura yote ni ya father christmas. Yaani yote ni aina moja father christmas, na biashara ikaishia hapo hapo, nikapaki tu ndani , yani ikifika kipindi cha siku kuu nagawa kidogo kidogo mingine naacha...
  4. JamiiForums Tanzania Wataalam naomba ushauri kuhusu magari haya kabla sijafanya maamuzi makini

    Wadau naomba ushauri nami nimiliki ndinga yangu ya kwanza kati ya hizi, Honda crossroad, Toyota Voltz Mitsubish outlander au Suzuki Escudo ile ina muonekano kama wa Rav 4 fulani hivi. Ushauri in terms of fuel consumption, durability na urahisi wa kuliuza tena huko mbeleni.
  5. JamiiForums Tanzania Haya madini gani na yanapatikana mikoa gani?

    Wakuu haya n madini gani?
  6. JamiiForums Tanzania Hawa ndo watu wenye stress za hatari. Tuwaombee

    Kimsingi wamevurugwa. 1. Mtu aliyetumia fedha za mafao kuanzisha biashara ya usafiri/usafirishaji akauziwa chombo kibovu. 2. Mtu anayeishi nchi nyingine bila vibali. 3. Mtu aliyeanza kujipata akashawishiwa kutafuta ubunge kisha akaaangukia pua akiwa tayari kapoteza fedha nyingi. 4. Mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Haya maandishi yalikuwa yana maana gani?

    Tuliosoma shule za kayumba hatukuwa na muda wa kusoma na kungamua maandishi hivi sasa ndio nimeelewa waliandika hivi na je walikuwa wana.maana gani? Walikosa neno lingine au basi kuna jambo? DIETZ alimaanisha watumiaji wote tutafia Tanzania hatutatoboa kwenda nje ya nchi au😂
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kwenu waislam wenye majina ya kiarabu, Haya ndiyo majina yenu original yenye asili ya kiyahudi

    Majina haya ya kiarabu asili yake original ni ya wayahudi yenye lugha ya kihebrania, Kama una majina haya basi tambua kwamba asili ya jina lako ni kwa wayahudi Shlomoh - Suleyman (Sulemani) Mosheh - Musa Amram - Imran Chanokh - Idris Dawid - Dawud Yishmaʿel - Yahya (Yahaya) HaSatan - Shaytan...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli wa kufanikiwa kwenye maisha huu hapa

    Japo wengi hawataki kuongea, Hanscana kaongea ukweli Kuna age ukifika lazima uwe mtu WA kuforce mazingira.
  10. JamiiForums Tanzania Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

    Wajita Wachaga Wamakonde Waluguru Wanyaturu Warangi Wazaramo Wagogo Wangoni
  11. JamiiForums Tanzania Maeneo wanayotoka wanawake watata, jasiri na wanaoweza kubishana na mume

    Hii ni tahadhari ila si sheria, amua mwenyewe kufuata qu kuacha. Kuna mikoa inasifika kwa wanawake watata na jasiri na kubishana na mume. Mkoa wa Mara. Wanawake hawa ni watiifu kwa waume lakini ukizingua zinapigwa kiroho safi nimetaja Mara japo wakuria ndio wanajulikana kwa ukorofi lakini...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa waoaji: Kuna tofauti ndogo sana kati ya haya makundi 4 ya wanawake

    Kuna haya makundi 4 ya wanawake yanafanana sana Mwanamke mcheza porno Mwanamke mcheza onlyfans Malaya anayejiuza Mwanamke asiye bikira (mdangaji) hili ndilo kundi ambalo wanaume wengi miaka hii wanaoa Jambo kuu wanalofanana hao wote ni kwamba wanaitumia miili yao ili kuingiza pesa na pili...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Haya sasa Fadlu muda wako wa kupigwa chini

    Jamani naomba mnipe idadi ya makocha waliofukuzwa Simba katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita. Sisi mashabiki wa Simba ni wapuuzi sana hatuongei ukweli kuhusu uongozi wa Simba chini ya mangungu na benchi la ufundi lenye fitina na figisu nyingi.
  14. JamiiForums Tanzania Je Urais wa IPU Una Faida Gani Kwa Tanzania? Majibu Haya Hapa

    Kuna Hype (mhemuko) mkubwa kkwenye social media juu ya clip za Tulia Ackson akiwa kwenye mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Kuna wanaomsapoti kwa kauli zake kali dhidi ya maswali ya wabunge wakidhani amewaonyesha kuwa ana uwezo wa ki-uongozi. Na upande mwingine wanamuona amefeli kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Nimechoka na haya maisha nataka kujiua nipumzike

    Kama nilivyoandika kwenye mada hapo juu, nimekuwa nikipitia magumu kila kukicha baada ya kupoteza mali mke kaniacha sina chochote Nimetengwa na ndg karibia wote hata nliokuwa nawasaidia nimekuwa ni mtu wa masononeko kila kukicha mbaya zaidi connection zangu karibia zote zimepotea Nimepoteza...
  16. JamiiForums Tanzania Usinunue simu kabla hujayajua haya

    Habari za wakati huu wana JF, Nimekuwa kwenye biashara ya simu kwa muda mrefu, kuna simu nyingi sokoni zingine zikiwa used, refurb na mpya. Kwa simu za Iphone simu mpya huwa ni ile ya mwaka husika kwa mfano sasa IPHONE 16 TU nyingine ni refurb hata ikiwa kwenye box, SAMSUNG mpya ni S24 ULTRA...
  17. JamiiForums Tanzania Je, nastahili pongezi kwa haya niliyofanya?

    Salaam Wakuu. Katika Hii dunia kila mtu anajambo/Mambo/kazi anayofurahia kufanya.Binafdi ninamambo kadhaa ila hiki nilichokifanya nimejikuta mimi mwenyewe najipiga kifua nasema Hapa nimefanya jambo kubwa linalostahili pongezi Lakini, Je! Nastahili pongezi kwa hiki nilichokifanya? Twende...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wenye kujua machimbo ya Kahawa na Korosho tunaomba mtujuze

    Nawasalimu popote mlipo, Kama ilivyokawaida kukosa pesa Kwa watu wengi na kuwa na idea nyingi za biashara, ndivyo ilivyo kuwa kawaida pia kuwa na pesa nyingi afu huna cha kufanya Siku ya Jana nimeona Kwa vyombo vya habari zao la korosho kuuzwa mara mbili zaidi ya bei ya msimu uliopita Pia...
  19. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA yajipanga kuzuia watoto kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, wabaini madudu haya

    Katika maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha CHADEMA kimebaini udanganyifu katika mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura. Mawakala wa chama hicho wamegundua kuwa kuna wanafunzi ambao wamejiandikisha ili kupiga kura, ingawa hawajafikisha umri wa miaka 18. Wanafunzi hawa...
  20. JamiiForums Tanzania Akina dada, kwanini mnakubali kutoa namba kisha mkipigiwa simu hampokei?

    Baada ya stori mbili tatu ukaombwa namba na umetoa mwenyewe bila kushikiwa kisu, manati wala bunduki, lakini cha ajabu ni wiki ya pili sasa simu hujawahi kupokea hata siku moja na ikipigwa inaita vizuri tu. Meseji ndo kabisaa kama huzioni vile. Sasa ulikua unatoa namba ya nini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…