2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,122
- 4,726
Hii ni tahadhari ila si sheria, amua mwenyewe kufuata qu kuacha. Kuna mikoa inasifika kwa wanawake watata na jasiri na kubishana na mume.
Mkoa wa Mara. Wanawake hawa ni watiifu kwa waume lakini ukizingua zinapigwa kiroho safi nimetaja Mara japo wakuria ndio wanajulikana kwa ukorofi lakini karibu wote ni vile vile.
Mkoa wa Arusha. Hapa kuna makabila mengi lakini Wameru ni hatari ndio nawalenga hasa. Ukioa huku utaendeshwa kama gari bovu.
Mkoa wa Kilimanjaro. Kabla hujapinga hoja hii chunguza kwanza ww mwenyewe ndugu zako waliooa wanawake wanaotoka mkoa huu. Ni watata, wajuaji wanaopenda kuwa viongozi wa familia badala ya wanaume.
Kupigana kama mwanaume ni dhaifu utapigwa sana na hata kufukuzwa kwako. Kama kijana ni dhaifu usioe huko. Wachagga, Wapare, Wakurya na Wameru wanawezana wenyewe kwa wenyewe.