Majina haya ya kiarabu asili yake original ni ya wayahudi yenye lugha ya kihebrania,
Kama una majina haya basi tambua kwamba asili ya jina lako ni kwa wayahudi
Shlomoh - Suleyman (Sulemani)
Mosheh - Musa
Amram - Imran
Chanokh - Idris
Dawid - Dawud
Yishmaʿel - Yahya (Yahaya)
HaSatan - Shaytan (Shetani)
Mariam - Maryam
Yosef - Yusuf
Iyyov - Ayyub (Ayubu)
Yeshua - Isa (Yesu)
Yakov - Yaqub
Yishmael - Ismail
Avraham - Ibrahim
Aaron - Harun (Haruna)
Hashemite - Hashim
ABDUL - Ni jina la kiarabu linalomaanisha "mtumwa wa", Ikiwa mtu ataitwa Abdul kisha jina lenye maana au uhusiano wa kitakatifu mfano Abdullah. Tatizo ni kwamba kuna wanaopewa majina ya kuwa watumwa wa watu wengine mfano Abdul Hussein, Abdul Simon, Abdul Mssanja, n.k. (Labda kuwe ufafanuzi wa ziada)