MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 12,704
- 28,557
Kimsingi wamevurugwa.
1. Mtu aliyetumia fedha za mafao kuanzisha biashara ya usafiri/usafirishaji akauziwa chombo kibovu.
2. Mtu anayeishi nchi nyingine bila vibali.
3. Mtu aliyeanza kujipata akashawishiwa kutafuta ubunge kisha akaaangukia pua akiwa tayari kapoteza fedha nyingi.
4. Mtu aliyeachwa ghafla kwenye mapenzi bila hiari yake.
5. Kiongozi wa umma aliyetumbuliwa na kujikuta mikononi mwa TAKUKURU kwa uchunguzi zaidi.
6. Mtu anayetafutwa na polisi au vyombo vingine vya dola.
7. Mtu anayetuhumiwa kwa ubakaji au kumpa mimba mwanafunzi.
8. Mfuasi wa Mbowe.
9. Mtu mwenye mshahara usiofika tarehe 10.
10. Mtu yeyote mwenye mkopo wenye riba.