Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,223
- 2,046
Ilikuwa ni mwezi wa sita nilichukua balo la mizura niuze kipindi cha baridi, aisee nilikuta mizura yote ni ya father christmas.
Yaani yote ni aina moja father christmas, na biashara ikaishia hapo hapo, nikapaki tu ndani , yani ikifika kipindi cha siku kuu nagawa kidogo kidogo mingine naacha hadi inanitia uvivu.