Nilikuwa Mtumishi wa CBWSO Kata NKOME kwa sasa inaitwa BUGANDO, Wilaya ya Geita Mkoa wa Geita, niliondolewa kwa shinikizo la Meneja wa RUWASA (W) 28.08.2025.
Licha ya changamoto zilizokuwepo ambazo nazo pia chanzo ni huyo kiongozi wangu, stahiki zangu kakwamisha hata baada ya Bodi kuridhia...
Anonymous (3d7d)
Thread
ded
geita
hawataki
kazi
kazini
mamlaka
mjini
nzega
stahiki
South Africa imegeuka kuwa motoni kama wewe sio Msouth hizi siku za karibuni
Sasa sio tena kikundi fulani kinashambulia wageni bali nchi nzima wananchi wameamua hawataki wageni iwe kutoka nchi zingine za africa au nchi za asia
Sasa wameanza kwenda mpaka mashuleni kuwasubiri wakati wanaenda...
Africa sijui tutakuja kuamka lini aisee
Unaona viongozi wanapambana sana na Internet linapofika suala la mambo ya msingi mustakabali wa maisha yetu na kutaka haki na utawala bora. Ukweli ni kwamba aidha watake au wasitake hawawezi kupambana na teknolojia. Mwanzo walianzaga hivihivi, wakaanza...
Kataa wahuni.
1. Maridhiano ni tume ya uchaguzi itakayokua inatenda haki na ikiongozwa na wtu wenye akili timamu sio makada wa mbogamboga
2. Wahuni walio kwapua madaraka kwa hila waachie ngazi.
3. Kufuta uchaguzi uliofanyika na matokeo yake kutotambulika katika rekodi,
4. Kufanyika uchaguzi...
Ukitaka kuelewa ni kwanini risasi 42 alizopigwa Tundu Lissu Septemba 7, 2017 na 16 zikaingia mwilini mwake hazikupata ruhusa za kuondoa uhai wake, basi jibu unaweza kulipata wakati huu kwa kuangalia mtiririko wa matukio kumhusu..
Simulizi ya Wakili Dr Rugemeleza Nshala (unaweza kufuatilia...
Ni almost miaka kadhaa, nimekua nikimsoma huyu jamaa, lakini nimekuja kugundua kwa sisi vipanga wala kodi za wajinga kama huyu GENTAMYCINE, ni kweli huyu mtu ni wale wapenda sifa wa darasa wasiokua na uwezo,
nimemkumbuka jamaa yangu mmoja special school miaka ya 2003s tukiwa Olevel, ilitokea...
Kwani ikitokea muwakilishi amekufa leo nini kitatokea?
Tarehe ya uchaguzi si itatangazwa au ?
Situanzieni hapo au?
kula vyuma wote ,kwani wapo wangapi? 👺
Sihawataki kistaarabu wacha tulazimishane tu.
Huwa ipo hivyo , kwa sasa wanajifanya hayawahusu kwa sababu tangu uhuru hawajawahi iona tanganyika yenye uhuru wa kiraia , yenye uwajibishanaji, inayo heshimu haki na utu wa mtanganyika kwa vitendo na sio maneno.
Tanganyika isiyo na rushwa wala viongozi kujilimbikizia mali na familia zao...
1. School Won’t Make You Rich — But School Is NOT a Scam
Shule haikubuniwa kukufanya uwe tajiri.
Shule ilibuniwa kukufanya uwe mtu wa kawaida mwenye nidhamu, uwezo wa kusoma, kuandika na kufikiri.
Kufanikiwa ni kazi ya skills, mtaji wa mawazo, na maamuzi ya kiuchumi, sio tu cheti.
Cheti ni...
Tanzania inapitia moja ya sura zake za giza zaidi tangu kupata uhuru. Matukio yaliyoambatana na uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba 2025—uliogubikwa na madai ya ubakaji wa demokrasia, na ukandamizaji mkali wa maandamano ya vijana—yameitikisa nchi ambayo kwa muda mrefu ilijivunia utulivu wake. Mamia ya...
Kama ukitaka kujua watanzania wanafiki kaishi nao nchi za nje ndio utajua watanzania wapoje. Nasema ili sio kwa kutunga ni ukweli mtupu.
Mtanzania hataki changamoto yoyote ya mabadiliko wa kuthubutu kama ugali na dagaa hupo nyumbani kwake.
Leo mtaani ukianzisha biashara ya mavi ya kuku...
Kwamba familia za Kikwete, Mwinyi, Rais Samia na wengineo ndio wanafaidi keki ya taifa.
Huku majority wanahangaika hata kupata ugali dagaa.
Leo hii wanasema waandamanaji ni vibaka.
Ufisadi, kujipendelea, wizi wa mali za umma, kudharau wananchi na kuwaona wajinga ni balaa kwa taifa
Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amejibu maswali kadhaa wakati wa mahojiano aliyofanya na Kituo cha UTV, leo Jumatatu Oktoba 13, 2025;
Mnadhani kwa nini Maandamano yanapangwa Siku ya Uchaguzi?
Siamini kama Wananchi...
1.Boyfriend ni jina ambalo unapewa ili upumbuzwe na kubeba rasmi majukumu ya baba wa mwanamke. Inawezekana wapo wahuni ambao hawaitwi boyfriend na wanamnyandua.
2.Demu wako angekua na chaguo bora zaidi yako angekuacha. Yupo na wewe kwa sababu kuu mbili. Moja, anasikilizia kama harakati zako...
watanzania wengi wapo brainwashed kutetea biashara ndio njia pekee ya kutoboa na mifano lazima iwe ile ya kina MO na Bakhresa,
Ni kweli biashara ndio sekta inayotajirisha zaidi lakini haimaanishi watu wenye ajira wana maisha mabaya.
kuna waajiriwa wengi wana maisha mazuri ya uhakika kuzidi...
Manager na msimamizi wa mchezaji Clement Mzize amesema kuwa Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mzize akatafute malisho mzuri mahala pengine.
Amehoji kuwa club ya Al Masry ilikuja na dollar 600k Yanga wakagoma kuwa wanahitaji dollar 1m, akaendelea kusema kuwa Yanga kama walimuuza Mayele...
Wakuu,
Yaani wananchi hawana mchezo sasa hivi wanaruka na kila mtu. Leo wameruka na Sagini
Haijalishi wewe ni Waziri au Mbunge lakini wanaruka na wewe na hapa ni kwenye kura za maoni tu tunasubiri kuona kwenye kampeni itakuwaje.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.