Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,759
- 37,374
Kama ukitaka kujua watanzania wanafiki kaishi nao nchi za nje ndio utajua watanzania wapoje. Nasema ili sio kwa kutunga ni ukweli mtupu.
Mtanzania hataki changamoto yoyote ya mabadiliko wa kuthubutu kama ugali na dagaa hupo nyumbani kwake.
Leo mtaani ukianzisha biashara ya mavi ya kuku yakalipa wote nao wanaanza kuuza mavi ya kuku bila kujua changamoto zake.
Kuanzia siasa, uchumi, michezo na n.k. Naeleza ili kwa sababu kama teknolojia zingekuwa zipo Tanzania kwa mwenendo huu ambao hata wakiambiwa changamoto zake wasingekubali.