hawapendi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Harusi ya Majizzo, Millard Ayo: Vijana matajiri hawapendi kuchezea pesa zao wala kusumbua watu na michango

    Habari wadau, Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake. Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25. Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu. Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa...
  2. Wanawake hawapendi ndoa

    Moja kwa moja kwenye uzi. Kama kichwa cha uzi kinavyosema" wanawake hawapendi ndoa" ndio hii inaweza kukushangaza lakini ndio ukweli. Wanawake hawapendi ndoa kabisa tena hiki kizazi cha sasa ndio hakipendi ndoa kwa kiwango kikubwa kuzidi cha zamani kidogo. Wanawake wanapenda hivi vitu...
  3. Wanawake hawapendi kuulizwa maswali. Fanya tu watakuona wewe ndiye dume

    WANAWAKE HAWAPENDI KUULIZWA MASWALI, WEE FANYA TUU; WATAKUONA WEWE NDIYE DUME. Anaandika, Robert Heriel. Taikon Master. Kuuliza uliza maswali ni dalili ya kutokujiamini, Wakati Wanawake wanataka mwanaume anayejiamini. Kutokujua nini unafanya, Wakati Wanawake wanataka wanaume wajuvi na waalimu...
  4. S

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  5. Kwanini siku hizi wanandoa wengi hawapendi kuvaa pete za ndoa?

    Kuna jambo linanitatiza sana maana nimefanya research kiasi nikuwa huko mikoani na hata nilipofika huku Dar hili nimeliona sana. Kwa mujibu wa utafiti wangu nilioufanya kwa kiasi toka miaka ya 2000 wanandoa wengi japo sio wote hawaonekani kuwa na pete za ndoa kwenye mikono yao, nilijaribu...
  6. G

    Hospitali nyingi hawapendi Bima za Afya

    Habari wanaJF. Hospitali nyingi hawapendi kutumia Bima ya afya kwa madai ya kuwa wanachelewesha kulipwa hela zao na hivyo kushindwa kuendesha ofisi. Ukienda na bima wahudumu wengi wanakuwa wakali na hata wakitoa huduma inakuwa mbaya sana. Serikali ni kwanini kuna tatizo hili na mpaka sasa...
  7. Kwanini Graduates wengi hawapendi kazi zenye kipato kidogo?

    Hello JF! Currently tuna changamoto ya ajira kwa wanazuoni wengi but hata zile zenye kipato kidogo hawataki. Anaona kuliko apewe 150k per month bora akae nyumbani au bila kazi. Bila kujua pale sio tu anapata 150k but exposure ya mambo mbali mbali pamoja na ujuzi na kuaminika maeneo mbalimbali...
  8. K

    Kwanini Makaburu hawapendi Amapiano?

    Habari, Kwa wale wenzetu waliowenyeji na South Africa naomba mnisaidie hili. Nimekutana na Makaburu wawili nyakati tofauti na wote niliwauliza kuhusu huu mziki, wote hakuonyesha kuujali kabisa. Mmoja aliniambia haujui kabisa, nilishangaa! Iweje mziki maarufu kama huu mwenyeji wa South...
  9. Unaonaga aibu kununua kitu gani dukani ukikuta muuzaji jinsia tofauti na yako?

    Mimi nikikuta muuzaji ni ke au unamkuta mama flani hivi wa makamo Kama ya bimkubwa mood ya kununua vitu hivi inaisha.. Condom Boxer Pedi kwa ajiri ya mchumba Chupi kwa ajiri ya mchumba Dawa za gono Dawa za kuongeza nguvu za kiume Energy Rasta Mafuta ya kupaka baby care Je, wewe unaonaga aibu...
  10. D

    Msishangilie Sakata la Feitoto bali litumieni kama shule; waajili wengi hawapendi maendeleo ya wafanyakazi

    Elimu haina mwisho! Kila jambo halitokei pasipo sababu! Ili kuweka misingi ya kisheria ya makubaliano yoyote huwa kuna mkataba! Iko aina mbali mbali ya makubaliano! Kuna ile ya kimaandishi na ile ya kimaneno! (Recorded contract) Lakini pamoja na mambo yote mkataba huwa siyo msaafu wala...
  11. Kuna baadhi ya Wanawake wanapenda ile harufu ya sigara mwanaume akivuta lakini hawapendi avute sigara!

    Nimekuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti walevi, wavutaji na wengine hawavuti sigara ila wengi wao wanasema wanapenda harufu ya sigara nikivuta but hawapendi nivute sigara! Hivi hii inakuwaje wadau?
  12. Mke wa Benson Kigaila ni mmoja ya wabunge 19 wa CHADEMA, na hupeleka mshahara nyumbani

    Mke wa Benson Kigaila anapopokea mshahara, lazima anakuja nyumbani na ka mchele, ka maharage, shati la Benson Kigaila, nguo za watoto. Bila shaka Benson Kigaila akikaa meza ya chakula, huwa anakula mshahara unaotoka kwa Mkewe, lakini akienda jukwaani, akiwa amevaa shati na viatu alilonunuliwa na...
  13. D

    Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

    Hili bomu la utovu wa nidham nani analilea? Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji! Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa kuchomekea sare za shule, katika 100 utakuta watano tu ndiyo wanaochomekea! Hata ukitazama hizo suruali...
  14. Kwanini Mawaziri Wazanzibar hawapendi kusema uongo?

    Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande wakati akijibu swali la Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhusiana na Sakata la Trilioni 360 alikiri mbele ya Bunge kuwa madai hayo ni kweli yapo na Serikali inayatambua. Lakini alipokuja Mwigulu Nchemba kuongezea majibu ya Naibu Waziri wake akasema mashauri...
  15. Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu

    Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24. Eneo la tukio na...
  16. Kwanini Wapare ni wabahili wa kutunza pesa lakini pesa wanayoibana hawapendi kuiwekeza izae zaidi?

    Mpare anaweza kutunza hela lakini kinachomshinda ni kwenye kutoa hela kuwekeza. Mpare anapenda hela kuitazama tu mfukoni ndio furaha yake na sio kuitumia kumzalishia. Wapare wengi ukikuta wana maendeleo labda ni kupitia ajira kwenye mishahara ama upigaji, ni nadra sana kuwakuta wameumiza...
  17. Mbunge wa Igalula Venant Daudi Protas, wananchi hawapendi kupewa vitisho

    Ni ukweli mtupu kwamba wananchi ndiyo waliokuajiri. Huwezi kuwatisha na kuwakemea kwenye mikutano yako pale wanapoibuka na hoja zenye mashiko! Jibu hoja za wananchi acha kuwatishia eti utawaweka rumande! Kama huna uwezo wa kujibu hoja za wananchi usifanye mikutano, simple tu! Tunajua umeamua...
  18. Kama kawaida ya madaktari, huwa hawapendi kuguswa

    Lile sakata la kufutwa gharama za kuonwa/kuhudumiwa hospitali na wahudumu linazidi kuchanja mbuga. Kwanza tuwekane sawa hapa, haiitwi gharama ya kumuona daktari, inaitwa "Consultation Fee" ikimaanisha "Gharama ya Kuhudumiwa" kwa maana utapita mikono ya wataalamu kadhaa siyo daktari tuu. Baraza...
  19. Ukweli mchungu ambao Pro NATO Huwa hawapendi kuusikia

    Urusi kushindwa kutawala anga la Ukraine. memba mmoja wa JF T14 Armata,hupenda sana kuelezea swala hili la kumiliki anga. Yeye hupenda kusema Urusi haitumii mtindo wa kumiliki anga kama vile ifanyavyo USA. Yeye huona kama huo ni udhaifu kwa Urusi na uwezo kwa USA. Lakini Mimi Nina maoni tofauti...
  20. Kwanini wadada wengi hawapendi Basketball?

    Ni mchezo mzuri sana ukiujua... ni muda sasa wa kujifunza na kuanza kuucheza.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…