hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Xmonster

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yaingia Hatua Mpya madini Tembo au Heavy minerals sands

    Tanzania yaingia hatua mpya kwenye Madini Tembo Taarifa hiyo inahusu kampuni ya Nyati Mineral Sands Limited, inayotekeleza miradi mikubwa ya uchimbaji na uchakataji wa Madini Tembo (Heavy Mineral Sands) nchini Tanzania. Serikali ina hisa 16% katika kampuni hiyo. Kwa sasa kuna miradi miwili...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MCK Yataka Hatua Baada ya Waandishi 18 Kushambuliwa kwa Siku 60

    Baraza la Vyombo vya Habari Kenya (MCK) limetaka hatua za haraka kuchukuliwa dhidi ya watu wanaoshambulia na kutishia waandishi wa habari nchini. MCK imesema jumla ya waandishi 18 na madereva wawili kutoka vyombo mbalimbali vya habari wameshambuliwa na kujeruhiwa katika kipindi cha miezi miwili...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wanywa pombe wa Tanzania Chukueni hatua mamlaka zimelala

    GT Hakuna jambo linalonitia hasira kama energy drinks ..haya ni mauaji ya halaiki na sijui kwa nini haipigwi stop. Pombe nazo ni balaa jingine sasa tangu zamani watu.washasema pombe za TZ nyingi ni fake. Rwanda wamechukua hatua lakini sisi kimya. Walevi poleni sana na mchukue hatua mwafa .
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Akwilapo aagiza Mtumishi kusimamishwa kazi na kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa kukiuka misingi ya utumishi

    WAZIRI DKT. AKWILAPO AAGIZA MTUMISHI KUSIMAMISHWA KAZI NA KUCHUKULIWA HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA WELEDI NA MISINGI YA UTUMISHI WA UMMA Dodoma Agosti 12, 2026 Kufuatia malalamiko ya wananchi wanaoishi katika eneo la Bahari Beach Manispaa ya Kinondoni kuhusu kusudio la ujenzi wa kituo cha...
  5. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Mjasiriamali ana stress kwenye hatua hizi 3, uko hatua ipi?

    Biashara ikiwa inaanza kuna stress ya kupata wateja Biashara ikipata wateja wengi na mauzo mazuri kuna stress ya usimamizi(wasaidizi waaminifu, kuweka rekodi n.k) Biashara ikikuwa, au umepata pesa imezidi mahitaji ya biashara ya sasa ,Kuna stress ya kuanzisha biashara mpya Upo hatua ipi?
  6. O

    JamiiForums Tanzania Serikali yachukua hatua kumaliza mgogoro wa Mwekezaji na mwananchi kwenye fukwe Luchelele Mwanza

    Serikali yachukua hatua kumaliza mgogoro wa Mwekezaji na mwananchi kwenye fukwe Mwanza Serikali imeanza kuchukua hatua za kumaliza mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa takribani miaka minne tangu 2022 kati ya mwekezaji, Amirali Manji na Mohamed Bakiri dhidi ya Moses Zakaria Joram ambae ni Mmiliki wa...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Arusha chukueni hatua kama alivyosema Lema kuwalinda mabinti zenu na huu uselamavi unaozidi kuota mizizi Arusha

    Kiukweli huyu mnufaika wa michango ya CHADEMA na Mbunge aliyestaafishwa Godbless Lema huwa ana madini sana kwenye mambo ya familia na ndoa. Mimi huwa natofautiana naye kiitikadi ila kwenye ishu za familia na ndoa namkubali sana. Media zimeamua kupromoti upuuzi unaofanywa na vijana wachache...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Pumzika kwa Amani Mwalimu Nisetas Dimoso wahusika lazima wachukuliwe hatua!

    Nimeguswa sana na kifo cha kikatilli cha mwalimu huyu ambaye alipigania "standards" kuhakikisha kuwa eneo la shule ni eneo kama yalivyo maeneo mengine yanayotambulika kama "smart area" Mwalimu huyu amedhulumiwa uhai wake na wanaojidai kuwa ni wafugaji wenye fedha na wasioguswa au kuheshimu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania KERO Kilio cha Wanafunzi UDOM: Ukosefu wa maji umezidi na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa (ni zaidi ya siku5 sasa)

    Ukosefu wa maji katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umeendelea kuwa kero kubwa kwa wanafunzi. Tunalazimika kutumia muda mwingi kusaka maji badala ya kusoma kwaajili ya UE na mitihani mingine, huku wengine wakikosa kuoga, kufua na hata kupata maji ya ziada. Inasikitisha kuona tatizo hili...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hatua kuu saba za CCM, kuzaliwa hadi leo

    1)Chama Cha ukombozi TANU +ASP=CCM Sera- Ukombozi,kupambana na Njaa ,maradhi,ujinga na umasikini ujamaa na kujitegemea. viongozi -Wafia NCHI. Wachache- Nyerere,Karume,Kawawa Aboud Jumbe, Sheik Thabit Kombo n.k 2)CCM Halisi Sera - Ujamaa na kujitegemea,kuinua maisha ya wakulima na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji Tanga, hatua hii ni kwa faida ya nani?

    Kwanini watu washukie na kupakia Kange wakati 98% ya watu wanakaa mjini Tanga na viunga vyake excluding Kange? Ridiculous kuwa gari liko barabara say ya 14. Analiacha anapanda basi dogo kwenda kupakia Kange! Una maana gani kwa hatua hii? Most likely wewe and your cronies mna daladala zenu...
  12. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Taifa stars angechukua nafasi ya Argentina, angeishia hatua gani world cup?

    Katika kundi linalojumuisha Tanzania, Algeria, Jordan na Austria nina uhakika pasipo na shaka Tanzania angepata nafasi moja kati ya tatu kumwezesha kufuzu. Tanzania vs Algeria. Hawa tunawajua na tushacheza nao mara kadhaa. Kwa sasa Algeria wameshuka kiwango sio wa kipindi kile ambacho...
  13. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Nitafurahi sana hawa wazungu wakitolewe na Morocco katika hatua ya robo fainali

    Katika michuano ya World Cup ni timu Moja ambayo sipendi kuona wakitwaa ubingwa. Hii timu si nyingine, bali hii yenye wazungu waliojipaka masizi. Timu nyingine tofauti na hiyo ikiwa bingwa freshi tu!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizazi cha utandawazi 90s, 2000s most cant raise boys to be men, hatua za haraka zinahitajika kuokoa vizazi vijavyo

    Ni aina ya wanawake ambao wengi hawana hata mafundisho ya kitamaduni ya kuwa mama mlezi, at least hapo zamani yalikuwa yanasaidia kina mama kukuza watoto wa kiume, mfano siku hizi Mama anaoga na mtoto wake wa kiume mwenye miaka 8 wakiwa uchi bafuni, anabadili nguo za ndani mbele yake, kwake...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Musukuma: Chama chetu kinahitaji kutoa kauli kuhusu Oktoba 29, lazima tuangalie tulipokosea, tuchukue hatua

    Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Kasheku Musukuma akiwa katika mahojiano na Channel ya M&S Podcast ambayo yamechapishwa Julai 1, 2026.
  16. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuanzisha biashara kisheria nchini Tanzania

    Elimu ya sheria: Kuhusu namna ya kufanya biashara yako iwe rasmi na inayoaminika kwa kufuata taratibu za kisheria. Kama unataka biashara yako iwe rasmi na ilindwe kisheria nchini Tanzania, fuata hatua hizi: 1: Chagua wazo la biashara. Tambua unataka kuuza nini au kutoa huduma gani. 2: Chagua...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania CCM kwenye hatua ya total paralysis

    Dhana ya "Total Paralysis" au kupooza mazima kwa CCM inawakilisha hatua mbaya ambapo kinapoteza uwezo wa kujiongoza na kushawishi umma kwa hoja safi, jambo linalokipa CHADEMA nafasi ya dhahabu ya kukubalika kama sauti mbadala ya matumaini. Wakati CCM kikiparalajika kupitia demokrasia ya ndani...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Hoja ya Festo Sanga 'kutungwa kwa Sheria ya Fedha au mali ambazo hazikudaiwa, hatua zimeanza kuchukuliwa

    Kufuatia pendekezo Mahsusi lililotolewa na Mbunge wa Makete, Festo Sanga kuomba kutungwa kwa sheria ya kufuatilia na kusimamia Fedha au mali ambazo hazikudaiwa, zimetelekezwa au zimesahaulika na Wamiliki wake kwenye Makampuni au Taasisi mbalimbali kama Bank, Mitandao ya Simu, Mifuko ya Hifadhi...
  19. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Zipi ni hatua za kufuata ili kujiokoa katika songombingo katika ununuzi wa kiwanja?

    Karibuni thinkers! Kuepuka na kiwanja chenye migogoro, kuepuka utapeli, kuepuka kuingilia mipaka na mengine mengi , tupeane mbinu wakuu
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na Wadau kutoka JamiiForums, hatua za maboresho zimechukuliwa

    Tanesco imetolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na wadau hapa JamiiForums, baadhi ya sehemu maboresho yameanza. Pia soma ~ KERO - Mwaka wa 3 sasa TANESCO hawajaweka Transfoma hapa Msambiazi-Korogwe, tunateseka umeme kukatika ~ KERO - TANESCO Iringa Mjini wanakata umeme laini ya viwandani...
Back
Top Bottom