hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Chande: Hatua ya Umoja

    Sasa ni wakati wa kupona, kuwajibika na kusonga mbele kwa umoja. Ripoti hii ni hatua ya mwanzo ya mustakabali imara.#RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Chande: Hatua Kuelekea Mustakabali Imara

    Sasa ni wakati wa kupona, kuwajibika na kusonga mbele kwa umoja. Ripoti hii ni hatua ya mwanzo ya mustakabali imara. #RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge, Maganga: TFS ni 'Disaster' kubwa, inakwamisha Biashara ya Kaboni, Waziri chukua hatua!

    Mbunge wa Katavi, Thomas Maganga, amechangia hoja ya bajeti ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), leo Aprili 21, 2026, ambapo ameeleza changamoto zinazokwamisha utekelezaji wa mipango ya mazingira na hasa biashara ya kaboni katika halmashauri mbalimbali nchini...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baa ipo Manzese inapiga mziki kwa sauti kubwa hadi nyumba zinatikisika, tukiripoti hakuna hatua zinachukuliwa

    Kero yangu kubwa ni hapa Manzese Bar ya Kwa Mkwere wanafungua sana mziki kwa sauti ya juu mpaka nyumba zinatetemeka. Wanapiga kuanzia jioni mpaka asubuhi, ni miaka zaidi ya mitano sasa tunakosa usingizi, tukiripoti hakuna hatua zinazochukuliwa.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Golugwa: Watawala lazima wachukue hatua za kidharura si kulalamika bei zimepanda hata majirani zetu, Manufaa ya akiba iko wapi?

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 12, 2026, Naibu Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa, amezihoji mamlaka kuhusu akiba iliyokuwepo ya miezi mitatu iko wapi ikiwa wananchi hawanufaiki nayo? Ameongeza pia, Mamlaka zinatakiwa ziondoe Kodi iliyopelekea...
  6. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza Facebook Ads hatua kwa hatua

    Leo Meta hutumia zaidi jina Business Portfolio ndani ya Meta Business Suite, ingawa watu wengi bado husema Facebook Business Manager. Hicho ndicho kitu cha kwanza unachohitaji ili kusimamia Page, ad account, watu wa timu na matangazo yako sehemu moja. Hatua ya 1: Fungua Facebook Business...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwambukusi apendekeza CAG apewe mamlaka ya kuchukua hatua ili kudhibiti madudu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa mapendekezo yake ya namna ya kudhibiti ubadhirifu wa mali za umma nchini Tanzania, akisisitiza kuwa bila mabadiliko ya kimfumo, ripoti za CAG zitaendelea kuwa kelele zisizo na matokeo. Akizungumza na televisheni ya...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi LATRA: Asipandishe mtu nauli kwa kusingizia mafuta kupanda

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imewataka wadau wote wa sekta ya usafirishaji nchini, kutopandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa bei za mafuta na badala yake wafuate utaratibu rasmi utakaowekwa na watakaopandisha hawatasita kuwachukulia hatua kali za kisheria. Akitoa kauli hiyo...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Uturuki haitaruhusu Iran igawanywe, tutachukua hatua kali kama tulivyofanya Syria

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, likidai kuwa Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, ametoa kauli kali kuhusu Iran. Chapishi hilo limechapishwa katika ukurasa wa Athumani Seiph Amri ambapo Erdoğan anadaiwa kusema kuwa Uturuki haitaruhusu Iran...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Urusi kuongeza hatua kali zaidi kuzuia matumizi ya VPN

    Urusi inapanga kuongeza hatua kali zaidi dhidi ya matumizi ya Virtual Private Networks (VPNs), ambazo hutumiwa na mamilioni ya Warusi kukwepa udhibiti na vikwazo vya mtandao, amesema waziri wa masuala ya kidijitali wa nchi hiyo. Hatua hii inayoelezwa na baadhi ya wanadiplomasia kama “msako...
  11. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Mpango na mikakati ya maendeleo ifike hatua ione aibu. Wizara, wabunge! CCM oneni aibu!

    Wakuu sijawah kuongelea siasa, wala kutanabai uwezo wa viongoz wa CCM kutawala nchi na kuzitapanya kama si kuzibananga rasilimal za nchi kwa maslah yao binafsi. Ila kwa hili naomba niliseme tu! Kusini maenedleo hali sio nzuri, uchawi uchawi! Kila Ng'anya basi N'ganya, viongoz wanaotoka kule...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ichunguze na kuchukua hatua wanachofanyiwa Wazawa katika Kampuni za ujenzi/barabara/majengo n.k

    Ninaomba mamlaka husika ziangalie kero za Wafanyakazi kwenye baadhi ya kampuni za ujenzi wa barabara nchini. Mimi ni mmoja wa wafanyakazi kwenye kampuni ya ujenzi wa barabara na tunakutana na changamoto zifuatazo: 1. Kufanyishwa kazi nje ya muda uliopangwa kisheria bila kulipwa malipo ya muda...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Utapeli kwenye uchawi na hatua za kuchukua

    Utapeli unaohusisha uchawi na uganga nchini Tanzania umekuwa ukichukua sura mpya, ambapo matapeli hutumia hofu, imani za kishirikina, na teknolojia kuwaibia wananchi. Kufikia Machi 2026, Jeshi la Polisi na mamlaka mbalimbali zimeongeza jitihada za kudhibiti vitendo hivi ambavyo mara nyingi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote

    Hivi kwanini daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote? Yanatakiwa kuishia Buza lakini hayafiki yanaishia Tandika. Hali hii imekuwepo kwa muda wa miaka miwili sasa nah atua hazichukuliwi kama nilivyosema.
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya umeme Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni

    Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
  16. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Ikifika Hatua kama hii ujue Tatizo ni kubwa kuliko kawaida

  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded NIDA: Kujua kama Kitambulisho chako cha NIDA kimechapishwa, huna ulazima wa kwenda Ofisini, unaweza kujua kwa njia ya Mtandao

    Baada ya Wananchi mbalimbali kupitia Jukwaa la JamiiForums.com kuweka wazi malalamiko yao ya kutopata taarifa ya kujua lini hasa kitambulisho cha NIDA kinakuwa tayari kwa wale wapya waliojisajili na wale ambao wamefanya mchakato wa kupata vitambulisho vipya, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa...
  18. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Binti anayeonesha uchi mtandaoni ‘Live’, achukuliwe hatua haraka

    DAH tulipo FIKA SIO pazuri, Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta, ALAFU anafunika, SIJUI ni WA bongo hapa, KWA KWELI SERIKALI YETU msichekee HAYA MAMBO tuelekeako WATOTO wetu WA kike wataharibikiwa Kama tunaweza kulalamika acc za wanasiasa FULANI zifungiwee tunaomba na acc...
  19. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania ndiyo nchi rahisi zaidi duniani kwa mgeni kuishi kienyeji bila vibali na asichukuliwe hatua yoyote?

    Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha: Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
  20. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Hatua Gani Zinachukuliwa Igundulikapo Tatizo la Afya ya Akili kwa Kiongozi?

    Hebu tusaidiane uelewa, nini kinapaswa kufanyika itokeavyo hayo? Viongozi ni binadamu kama mimi au wewe na hali hiyo yaweza kumtokea yeyote!
Back
Top Bottom