Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa...
Obinna Anyalebechi (Mkurugenzi Mtendaji wa SBL) akizungumza katika warsha ya siku moja iliyokutanisha wadau wa sekta binafsi na wadau wa maendeleo kutoka mashirika mbalimbali kuzungumzia mikakati ya kupambana na biashara haramu ya pombe nchini Tanzania. Kuanzia kulia ni Khadija Ngasongwa...
Habari wanaJF,
Leo ni siku nyingine tena. Nimeamka salama, na ninaandika maneno haya kwenye maktaba fulani hivii. Napenda maktaba kwa sababu ya utulivu unaonipa kuwaza na kutia humu.
Nilipitia shuleni kwa mtoto, halafu nikala chakula cha asubuhi (viazi na muhogo na uji na karanga). Nimeshiba...
Habari wanaJF,
Natuamini kuwa mnaendelea vizuri. Mungu amekuwa mwema sana sana kwangu. Nimepotea siku 2, 3 hizi (nlikuwa nahudumia jamii na kumalizia msiba wa ndugu mmoja hivi). Sasa nimerudi kuendelea na makala yetu ya kujikomboa kiuchumi.
Nimejificha kwenye maktaba fulani hapa. Feni zinafanya...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Slaa (wapili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila (wapili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakizindua rasmi...
Umuofia kwenu,
Aise kuna fundi nilimpa kazi na malipo 85% kazi ilikua ya makubaliano ya kukamilika kwa wiki Moja, lakini sasa yapata mwezi na mwelekeo wa kukamilika haupo.
Mbaya zaidi hana dharula yoyote yupo na anaendelea na kazi za wateja wengine nikimuhimiza kua ananikwamisha analeta...
Habari wanaJF,
Natumaini mnaendelea vizuri. Leo ni February 13, na nimejikuta nimevaa polo nyekundu (mke wangu aliamua kufua nguo zote leo, so hi ndo ilibaki kabatini. Tupo wanaume kama 4 hivi wenye shati nyekundu hapa mzigoni, kitu ambacho sio kawaida). 14/02/2024 (mwaka jana) nilivaa polo hii...
Habari wanaJF,
Natumaini mko salama. Nimejibanza sehemu fulani hapa Morogoro ili kuandika maneno haya. Jua linawaka dane, feni inazunguka juu yangu, na hamna usumbufu wowote. Natumaini na wewe unaendelea vizuri. (Na endapo kuna mambo hayaendi, komaa tu. Haya ni mapito. Punde msimu utageuza, na...
Siku ya Mtandao Salama ni mpango wa kimataifa unaofanyika kila mwaka kila Jumanne ya pili ya mwezi wa Februari, ili kuongeza uhamasishaji kuhusu matumizi salama ya mtandao. Ilianzishwa mwaka 2004 na tangu wakati huo imekuwa tukio muhimu linalowahamasisha watu kote duniani kufikiria kuhusu...
Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi huadhimishwa Februari 11 kila Mwaka kuadhimisha mafanikio na michango ya Wanawake na Wasichana katika Sekta ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi, na Hisabati (STEM)
Siku hii inahamasisha Wanawake na Wasichana zaidi kufuata na kujiunga na...
Wakuu heshima kwenu. Poleni na majukumu.
Ndugu yenu numerudi tena kuwajuza yale yanayoendelea kunisibu, maana najua hapa wamejaa watu wenye upeo wa kushauri, kutia moyo ,kuonya, kukufungua jicho upate alert na wengine weeengi sana.
Wiki kadhaa zimepita toka nilete mikasa yangu na mazonge ya...
Poleni na pilika na mbio mbio za maandalizi ya uchaguzi,vita ya congo na changamoto binafsi za maisha.
Mimi Mbwichichi katika kuhangaika kwangu kuyatafuta maisha nimebahatika kukutana na watu mbalimbali wa kila aina,zaidi nimejifunza sana kutambua saikolojia za watu baada tu ya kuona matendo...
KUNA HATUA HUPIGI KWA SABABU KUNA WATU UNAWANG'ANG'ANIA, WAACHE.
Yawezekana ikawa ni kuoa/kuolewa umekuwa kwenye mahusiano na watu ambao kihaiba ni KATAA NDOA na wewe unaona ndio aina/type yako kumbe wanakuchelewesha tu
Sio vibaya kujiuliza kwanini kila mahusiano yako hayazai ndoa? Shida ni...
CCM ndio chama kilichoamoniwa kutupa mwelekeo wa taifa. Hata wananchi walipoulizwa kama wanataka vyama vingi miaka ya 90 walisema kwa zaidi ya 80% CCM iendelee.
Huwa sijui kwa Mujibu wa CCM na ilani zao wao wamepanga kuumaliza umasikini lini?
Katika mikakati yao sasa hivi tuko katikqti ya...
Leo nitajikita kwenye kupotea kwa misaada ya HIV/AIDS tu , tuna watanzania zaidi ya millioni na nusu wanachukua na kupata dawa za HIV/IADS bure kutoka kwenye shirika la USAID, hawa watanzania wanapata vipimo vya serostatus na viral loads kila mwezi kupima maendeleo yao bure kutoka kwenye shirika...
Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia, hasa katika maeneo kama Mnazi Bay (Mtwara) na Songo Songo (Lindi), ambayo yanaweza kusaidia kuongeza...
Mwanamke makini anaejitambua na mwenye mvuto na vionjo vitamu hawezi kuchepuka.
Ila ukiona anachepuka ujue ndio basi tena ashakuwa scraper usimshangae.
Pang Fung Mi
Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora.
Hata hivyo, wajasiriamali wengi hukutana na changamoto ya kupata wazo sahihi la biashara na kujua ni mtaji gani unahitajika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.