Ujenzi wa majengo 8 ya ofisi za Wizara katika Mji wa Serikali Mtumba umekamilika kwa gharama ya Sh bilioni 186, kupitia Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Majengo hayo yanahudumia wizara mbalimbali, zikiwemo Madini, Nishati, Ardhi, Mifugo na Uvuvi, Habari, Mawasiliano na TEHAMA, pamoja na Sanaa...