Hatimaye Wamekiri bayana: Kumchukulia poa Urusi ni kujipeleka kwenye kipigo

eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
15,662
13,820
Jenerali wa Kiukraine na kiongozi mzoefu, ambaye yuko kwenye mstari wa mbele wa mapigano. Amekili wazi katika mahojiano na chombo cha habari na kusema Urusi siyo mjinga, pia siyo mdhaifu. Kamfananisha na hogo pevu ambalo ukitaka kuling'oa sharti uwe muerevu. Sasa kazi kwao ambao wanamchukulia poa Urusi.

“Anyone who underestimates Russia is headed for defeat”

An interview with Colonel-General Oleksandr Syrsky, Ukraine’s second most senior soldier

Oleksandr SyrskySent via Ollie Carroll

Dec 15th 2022 | EASTERN UKRAINE

General oleskandr syrsky is late. He apologises when he eventually arrives, two hours behind schedule, at a location near his situation room in eastern Ukraine. War has a habit of surprising, he says: just when things appear fine, you are hit with a storm. Punching words out in a strained staccato, he appears exhausted by the stress of overseeing operations on Ukraine’s bloody eastern front. “The Russians aren’t idiots,” he says. “They aren’t weak. Anyone who underestimates [them] is headed for defeat.”

Described by colleagues as an ascetic, an obsessive planner with an addiction to the gym, even building one at his headquarters, the head of Ukraine’s ground forces has done much to tilt the war in his country’s favour. He was responsible for two critical victories: stopping what Russia considered to be the “world’s second army” at the gates of Kyiv in March; and then pushing it out of the Kharkiv region in September. Now he is the man charged with facing down a humiliated but regrouped Russian army that is throwing everything it has at the town of Bakhmut in Donbas.

 
Hongera kwa kijibu mwanana mkuu

Mumesoma na kuelewa hiyo makala?? Au ndiyo zile hadithi za kujifariji.
Huyo Jenuro anaongea kutokana na uzoefu, lkn pia kutokana na aina ya adui wanaepigana naye. Jueni kule hali si hali, Ukraine iko katika hali mbaya sana. Pia waliomba po kipindi hiki cha kilisimasi, lakini Urusi kasema hapa hamna cha baba kilisimasi wala nini! Kazi iendelee ya kuwaadabisha hawa timu muigizaji.
 
Wakiwa wameshiba nguruwe kutoka america ya kusini
Ww jamaa hii vita mpk ikiisha utakuwa umechanganyikiwa maana kuna muda hata unacho comment hueleweki unazungumzia nn utafikiri umeambiwa kila uzi lazima u comment kuna hela unalipwa muda mwengine km huna cha kuchangia kamfulie chupi mumeo sasa hao mambo ya nguruwe yameingiaje
 
Mumesoma na kuelewa hiyo makala?? Au ndiyo zile hadithi za kujifariji.
Huyo Jenuro anaongea kutokana na uzoefu, lkn pia kutokana na aina ya adui wanaepigana naye. Jueni kule hali si hali, Ukraine iko katika hali mbaya sana. Pia waliomba po kipindi hiki cha kilisimasi, lakini Urusi kasema hapa hamna cha baba kilisimasi wala nini! Kazi iendelee ya kuwaadabisha hawa timu muigizaji.
Hizo habari za kuomba poo unazo wewe peke Yako,,sio?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
..hii vita ni ngumu kwa Ukraine.

..sababu ya kwanza hakuwa amejiandaa.

..pili, jeshi la Ukraine ni dogo kwa idadi, na vifaa, ukilinganisha na Russia.

..tatu, uchumi wa Ukraine ni mdogo kuliko wa Russia.

Umemaliza kila kitu. Halafu ukiongezea kuwa na rais kama Putin mwenye uzoefu kwenye medani za kisiasa na kivita duniani.
 
Back
Top Bottom