TANZIA Kutoka Qatar; Muungaji mambo ya ushoga Grant Wahl afariki ghafla

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542

Kombe la Dunia 2022: Mwanahabari mkongwe wa michezo wa Marekani Grant Wahl afariki dunia nchini Qatar​

Ushoga.jpg


Mwanahabari maarufu wa kandanda kutoka Marekani amefariki dunia alipokuwa akiripoti kuhusu michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar.

Grant Wahl, 48, alianguka ghafla alipokuwa akitazama mchezo wa Argentina na Uholanzi Ijumaa usiku.

Ripoti za awali zinaonyesha alipatwa na "Mshtuko" lakini hii bado haijathibitishwa rasmi.

Mwezi uliopita Bw Wahl alizuiliwa kwa muda mfupi na mamlaka ya Qatar kwa kujaribu kuingia uwanjani akiwa amevalia shati la upinde wa mvua, kuunga mkono haki za wapenzi wa jinsia moja LGBT.

Katika taarifa, Shirikisho la Soka la Marekani lilisema "Limesikitswa sana" na habari hizo. "Mashabiki wa soka na uandishi wa habari wa ubora wa juu zaidi walijua kwamba tunaweza kutegemea Grant kila wakati kutoa hadithi za utambuzi na za kuburudisha kuhusu mchezo wetu, na wahusika wake wakuu," ilisema taarifa hiyo.

Grant alikua akituma ujumbe katika ukurasa wake wa Twitter kuhusu mechi ya Uholanzi na Argentina, kabla taarifa ya kifo chake kutangazwa
 
IMG_20221210_132657.jpg
Huyo jamaa pichani ☝🏾 wakati mashindano ya kombe la dunia yanaenda kuanza alionekana akilalamika kuzuiliwa kuingia nchini humo kisa alivaa hiyo tshirt yenye rangi za upinde wa mvua ambazo zimekasimishwa kuunga mkono mtendo ya kuvuragana kati ya binadamu wa jinsia moja.

Grant Wahl aliyekuwa na miaka 48, ni mwandishi wa habari maarufu za kandanda nchini Marekani alianguka ghafla na kufariki alipokuwa akitazama mchezo wa Argentina na Uholanzi siku ya ijumaa usiku.

20221210_131908.jpg

Taarifa za mwanzo zinaonyesha alipatwa na mshtuko wa moyo, lakini hili bado haijathibitishwa rasmi na wataalam wa kitabibu.

NB: Pamoja na taarifa rasmi za kitabibu kutothibitisha binafsi najua huyo jamaa kapumzishwa not otherwise.
 
ndio yale tunayasema kila siku ukiwa na matendo yasiyo mpendeza Mungu basi mungu atakushughulikia kwa njia zake, either magonjwa au mauti.

mifano ya hasira za mungu ipo mingi tu, kwa mfano; watu wa sodoma na gomora waliuwawa na Mungu kwa kuwashushia garika.

Binaadamu badilikeni, vinginevyo tutakabiliana na hasira za Mungu mwenyewe.
 
ndio yale tunayasema kila siku ukiwa na matendo yasiyo mpendeza Mungu basi mungu atakushughulikia kwa njia zake, either magonjwa au mauti.

mifano ya hasira za mungu ipo mingi tu, kwa mfano; watu wa sodoma na gomora waliuwawa na Mungu kwa kuwashushia garika.

Binaadamu badilikeni, vinginevyo tutakabiliana na hasira za Mungu mwenyewe.
Unataka kusema wenye matendo mema huko kwenu hawafi?
 
Back
Top Bottom