hatima

Oligocentria semirufescens, the red-washed prominent moth or rusty prominent, is a moth of the family Notodontidae. The species was first described by Francis Walker in 1865. It is found in North America from Nova Scotia west to Vancouver Island, south to Florida, Colorado and central California.
Western populations of O. semirufescens are paler and greyer than those from eastern Canada, and superficially resemble the southern Oligocentria perangulata.
The wingspan is 30–45 mm. Adults are on wing from May to September, but from June through early August in Alberta.
The larvae feed on various trees and shrubs, including apple, beech, birch, poplar, oak, maple, rose and willow.

View More On Wikipedia.org
  1. Mpina na hatima ya nchi yetu

    Kitendo cha bunge la JMT kumkandia na kumtoa mbunge mpina, ni dhahiri shahiri tuna bunge la hovyo kabisa, imagine unamtoa mpina mle bungeni unabaki na nini sasa cha maaana kama suo gwajiboy peke yake
  2. SoC04 Hatima Tuitakayo

    Siasa na utumishi wa uma ni vitu viwili tofauti. Utumishi wa umma ili uwe bora basi jukumu la kutenganisha taaluma za kisiasa na taaluma za mambo ya utumishi wa umma ni muhimu. Tanzania tunatengeneza sera nyingi, ili kuhakikisha zinamsaidia Mtanzania. Nikinukuu maneno ya profesa Mukandala mwaka...
  3. J

    Tunajua Mungu alimuumba Adam; je ulipata kujua ilitokeaje Dunia ikawa na watu wengi? Ni hatima ya watu weusi?

    Tupate majibu yako na huku ukitipatia chanzo chako. Mm chanzo habari yangu ni sunnah.com ambapo utasoma ktk Hadith ya 119 ya Mishkat Al-Masabih
  4. Serikali na Hatima ya Tamthilia za kigeni zilizo lugha ya Kiswahili kwa Kizazi Chetu

    Binafsi nasikitika kuona Tamthilia hizi za Kituruki, kihindi, kikorea, kichina, kiarabu n.k zilizotafsiriwa kwa lugha yetu ya Taifa kiswahili zinazooneshwa sana muda mwingi katika chanel zetu maarufu nchini hasa Azam kila nikiingia nyumbani, saloon, bar, hotel n.k. Serikali hasa Wizara ya sanaa...
  5. Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani. Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja...
  6. Hatima ya Pacome, Aucho na Yao kuelekea mechi ya Mamelodi Sundowns

    Taarifa Rasmi kuhusu Khalid Aucho ni kwamba kuanzia kesho ataanza mazoezi mepesi. Taarifa hii inaashiria kuwa Mchezaji huyo , Kiungo wa kati wa Dar Young Africans (YANGA) , Atakuwa sehemu ya Kikosi cha Yanga kwenye Mechi yao Ya Robo fainali Club bingwa Africa. Aidhaa......... PACÖME NA YAO...
  7. Mimi (wewe) ni nani haswa? Majibu yanaweza kufumbua fumbo la mwanadamu ni nani na asili yake pia hatima yake

    Leo ukisimamishwa ili ujitambulishe kuwa wewe ni nani, kwa vyovyote vile utaanza kutaja majina yako, ukiendelea mbele zaidi unaweza kutambulisha anuani unayotoka ama nasaba yako. Majina uliyonayo ni ya kupewa na wazazi ama jamii yako lakini hayana uhusiano na wewe as mtu. Lakini, unachokitaja...
  8. Kabla ya Katiba Mpya tupige kura kuhusu hatima ya Muungano

    Kabla ya zoezi la kuandaa katiba mpya halijaanza, nivema tupige kura kuamua hatima ya muungano huu ambao kwa maoni yangu sioni kama una tija. Baada ya kupiga kura ikitokea wananchi wamekataa muungano basi Watanganyika tuendelee na zoezi la kuunda katiba yetu, na wazanzibari watajua wenyewe...
  9. T

    Nini inaweza kuwa hatima ya kijana anayewekeza muda na girls

    Wakuu. Kiukweli hapo nyuma nilikuwa si mtu wa mademu kabisa. Nimesoma o level na a level fresh , nilipomaliza six , nilijitahidi kutongoza girls angalau namimi nichakate mbususu bila mafanikio. Sasa nimeenda chuo the same girls na wengine wengi nimejaribu kuwatongoza hawakatai, Ninawaza...
  10. D

    Hatma baada ya kupona Gono

    Wanajamvi habari, mi ni kijana miaka 30 naishi Dodoma na Mpenzi wangu anaishi Dar. Tuko na zaid ya mwaka sasa kwenye mahusiano. Mara nyingi huwa ye anakuja Dom na mara chache mi nashuka Dar kuonana nae. Mwezi wa 11 mwaka jana alikuja, baada ya kukutana nae wiki moja mbele nikaanza kusikia hali...
  11. B

    PreGE2025 Maoni kama yalivyotolewa na Askofu Dr Bagonza kuhusu Miswaada mitatu na hatima ya Demokrasia Tanzania

    https://youtu.be/yFvVK6fw03U?si=dn8VnqOvAMFz2yNo Miswaada hiyo ni 1. Tume huru ya Uchaguzi. 2. Sheria ya Vyama vya siasa 3. Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. Mi Siongezi wala kupunguza. Sikiliza mwenyewe.
  12. U.S-CHINA Tech War: Vita imeanza kupamba moto, nini hatima yake?

    The Washington-Beijing tech war is just getting started U.S. commerce chief takes a hard line with China but will it have an impact? U.S. Commerce Secretary Gina Raimondo and Chinese Vice Premier He Lifeng meet for talks in Beijing on Aug. 29. | REUTERS BY BRAD GLOSSERMAN CONTRIBUTING WRITER...
  13. Hivi kuna anayejadili hatima ya Mtanzania anayeshikiliwa na HAMAS baada ya mmoja kuuawa?

    Baada ya kuchinjwa kwa huyu dogo hapa chini, je aliyebaki kama mateka wa HAMAS, kuna yeyote anafanya jitihada za kuwabembeleza HAMAS wamuachie? Maana mpaka sasa tunaona wanaachiwa wa Israel, Wamarekani, wa-Thai na mataifa mengine, vipi hatima ya mwana EAC mwenzetu. Wafia dini kwenye hili...
  14. S

    Hatima ya Jengo la kiuchumi la kanisa la Anglican(SAFINA HOUSE) mjini Dodoma, inaweza kuwa kama ya Jengo la TANESCO pale Ubungo, Dar-es-Salaam

    Huu ni mtazamo kulingana na ukweli kuwa, Jengo hili kubwa na zuri, limejengwa pembezeni mwa barabara inayoingia mijini Dodoma (katika ya mji) huku barabara ikiwa finyu na magari teyari ni mengi na siku zijazo barabara itahitajika kupanuliwa. Ukiangalia, ni wazi watakuwa wamejenga nje ya hifadhi...
  15. M

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

    Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili. Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti: 1. Mwabukuzi ni mchochezi. 2. Mwabukusi...
  16. R

    Ni sahihi wabunge kutoka Zanzibar kushiriki kuamua hatma ya bandari za bara katika Azimio linaloendelea?

    Makamu wa Rais Zanzibar ameeleza vyema kwamba mkataba huu haifiki Zanzibar, means unaishia Tanganyika. Bunge la Muungano lina wabunge wa majimbo kutoka Zanzibar pamoja na baadhi wa kuteuliwa jambo ambalo linaleta mkanganyiko unapotaka kutoa maamuzi kuhusu Tanganyika. Leo mjadala hafifu...
  17. Moyo wangu umeumia sana nilipopewa taarifa hii. Ni ipi hatima wa haya mambo?

    Nimepata taarifa kuwa kuna kijana wa kipale 36 years alikuwa anafanya kazi TRA hapa Jijini Dar es Salaam, kuwa ameuawa kwa kuchomwa kisu kifuani na tumboni na Mke wake . Maelezo zaidi ni kuwa Mke wake alikamatwa na kupelekwa Polisi,kisha akasindikizwa na Polisi kuja kumzika Mumewe. Ndugu, jamaa...
  18. M

    Mob psychology inavyoharibu hatima za wengi

    Habari Wana Jf hope wote ni wazima, niende kwenye mada moja kwa moja. Mob psychology ni Hali jumuishi ya kundi kubwa la watu kuwa na mawazo au mtazamo unao fanana. Kundi kubwa la watu Lina amini kuwa walimu ni watu maskini pia kundi kubwa la watu Lina amini kuwa kusoma hadi chuo kikuu ni...
  19. K

    Watanzania tujiamulie hatma ya taifa letu wenyewe tusitegemee mtu

    Kwa namna mwenendo wa siasa na vyama vya siasa vilivyo ni dhahiri viongozi wanahangaikia zaidi vyakwao kuliko maslahi mapana ya wananchi kwa ujumla. Hili lina sababu 2; moja ni kwasababu Watanzania tumeonyesha kuwategemea wao zaidi kuliko nguvu Umma; mbili ni wao viongozi wenyewe kujua kwamba...
  20. Afrika Kusini: Chama Tawala (ANC) kukutana Desemba 4 kujadili hatima ya Rais Ramaphosa

    Chama Tawala cha ANC kimerudisha nyuma mkutano wake uliopangwa kufanyika Dcember 16, 2022 badala yake utafanyika Dec 4, 2022 Jumapili, mkutano huo unalenga kujadili mustakabali wa Rais Cyril Ramaphosa ambaye amekuwa akishukiwa kuvunja Katiba ya nchi hiyo. Uchunguzi uliofanywa na jopo huru la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…