hati

Hati - Nakala au cheti chenye maandishi maalumu yanayothibitisha jambo kama makubaliano, malipo au umiliki wa kitu fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) awasilisha Hati za Utambulisho

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Sheikh Mohammed Bin Zayed Al Nahyan katika Ikulu ya nchi hiyo iliyopo Mjini Abu Dhabi...
  2. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Ardhi abaini Hati 420 za Ardhi hazijachukuliwa na Wamiliki Kilimanjaro

    Siku chache tangu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. #AngelineMabula abaini Wamiliki 65 hawajajitokeza kuchukua Hati zao Wilayani #Makete, Njombe, Naibu Waziri wake #GeophreyPinda amekutana na hali hiyo mkoani Kilimanjaro. Pinda amebaini hali hiyo baada ya kufanya ziara katika...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia amkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Hati ya Kiwanja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023. Rais wa...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Tax apokea Hati za Utambulisho za Mwakilishi Mkazi wa UNICEF, amuaga mwakilishi mkazi UNDP

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amepokea Hati za Utambulisho za Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (UNICEF) nchini Tanzania, Bi. Elke Wisch katika ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam. Waziri Tax...
  5. JamiiForums Tanzania Hati za Ukaguzi: Uwazi na Uwajibikaji katika Matumizi ya Fedha za Umma

    Kila mwaka, tunashuhudia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akitoa Hati za Ukaguzi kuhusu utayarishaji wa hesabu za taasisi za umma. Hati hizi ni muhimu sana katika kuhakikisha uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma. Hati ya Kwanza ni ile inayoitwa "Hati...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba hati hati kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa!

    Wizara ya michezo kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa michezo imesema huenda club ya Simba ikazuiwa kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa kusherehekea kilele cha wiki ya Simba kwa sababu ya matengenezo yatakayoanza mapema wiki ijayo. Matengenezo hayo ni maandalizi michuano ya Super League...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi 2 wanaoziwakilisha Nchi zao Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Pakistan nchini Tanzania Mhe. Siraji Ahamad Khan, na kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sierra Leone nchini Tanzania aliye na Makazi nchini Kenya...
  8. JamiiForums Tanzania Hati hati kunyongwa kisa kamkufuru mtume

    Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Mauritania amekamatwa kwa kuandika karatasi ya mtihani akimtusi Mtume Muhammad katika mitihani ya mwezi uliopita. Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa mamlaka za kidini zilidai hukumu ya kifo ikiwa msichana huyo ambaye hajatajwa jina lake atapatikana...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya Afrika Kusini yaomba rasmi hati ya kukamatwa kwa Putin

    Getty ImagesCopyright: Getty Images Serikali ya Afrika Kusini imetuma maombi rasmi kwa mahakama kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin iwapo atawasili nchini humo. Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini, Democratic Alliance, kinasema kuwa haya ni makubaliano ya matakwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania, Zanzibar zasaini Hati ya Makubaliano Sekta ya Madini

    Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Makubaliano hayo ni mwendelezo wa ushirikiano uliopo baina ya wizara...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Malawi Na Tanzania Za Saini Hati Ya Makubaliano

    Malawi Na Tanzania Za Saini Hati Ya Makubaliano Malawi kutumia mkongo wa intaneti unaopita chini ya ardhi kuunganisha Tanzania na Malawi hatimaye dunia unaokatisha chini ya bahari ya Hindi. Mkongo huo wa ardhini Tanzania unamilikiwa na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano(NICTBB) wa Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Balozi Kayola awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Malawi

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malawi, Agnes Kayola amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Malawi, Lazarus Chakwera, tarehe 04 Julai 2023 Ikulu Jijini Lilongwe Malawi. Julai 1, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu alimteua Balozi...
  13. JamiiForums Tanzania Balozi Kayola awasilisha nakala ya Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje Malawi

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malawi, Agnes Kayola amewasilisha Nakala ya Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Malawi, Nancy Tembo Jijini Lilongwe Malawi. Tarehe 01 Julai, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu alimteua Balozi...
  14. JamiiForums Tanzania Wakishakaa huko Ikulu wanaambizana hakuna mtu ana hatimiliki ya hii nchi

    Hawa watu wakishakaa huko Ikulu wanaambizana hakuna mtu ana hati miliki ya hii nchi, ndiyo wanaona inawapa uhalali wa kuingia katika mikataba yoyote wanayotaka. Kwa maana kwamba hakuna mtu yeyote anayeweza kuwaita wezi, kwa vile hawajaiba kitu cha mtu yoyote. Lakini ukitazama maandiko ya...
  15. JamiiForums Tanzania Tunaikumbusha Serikali kutuonyesha Hati ya Muungano

    Hoja ya Muungano ni endelevu. Huu ni wakati sasa wa kutuonyesha hati ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
  16. JamiiForums Tanzania Wanataka 150,000/= ili nipate hati ya nyumba

    NDEFU KIDOGO Habari zenu wakuu , nadhani wote tunalikumbuka vizuri lile zoezi la urasimishaji liloanza chini ya raisi wa awamu ya tano marehemu jpm . Ukiachilia mbali changamoto zake , moja ya mambo ambayo mimi kama raia nilifurahia ni jinsi ambavyo wananchi tuliweza kujua hatua kwa hatua juu...
  17. JamiiForums Tanzania Wabara ondoeni shaka, ardhi ya SMZ Bagamoyo si sehemu ya Zanzibar. SMZ haina hati; limetelekezwa miaka 45 ila Zanzibar inamiliki kihalali

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na kwa maslahi ya taifa. Maslahi ya leo ni hii issue ya SMZ kumiliki eneo la ekari 6000 Bagamoyo. Tangazo la SMZ Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu limeleta taharuki na sintofahamu kubwa kwenye mitandao ya kijamii hadi...
  18. JamiiForums Tanzania Hati mkato na Shorthands

    Tafadhali Sana ninaomba msaada wa Haraka Mimi nimesomea Mambo ya IT na Nina Diploma yake lkn nimeona Tangazo la nafasi za Kazi likiwa linahitaji Mtu anayejua Hati mkato na Shorthands anayechapa maneno 100 Kwa dkk Sasa Mimi naweza Sana Kuchapa ingawa sijui typing speed ya Hati mkato. N isaidieni...
  19. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Soko la Ndizi Mabibo: Rais Samia tunaomba tusaidie tupate hati ili soko lijengwe

    Akielezea hali ya mazingira yalivyo katika Juma Idris Chombo ambaye ni Makamu Mwenyekiti Soko la Mabibo Dar es Salaam anaelezea: Makusanyo ya Tozo tunayokusanya hapa ni shilingi miamia, tunakusanya kwa ajili ya huduma tu kama vile usafi na ulinzi, kwa kiwango hicho hatuwezi kujenga soko la...
  20. JamiiForums Tanzania Wakati Idara za ulinzi na Usalama za Tanzania zinafuatilia ya mchungaji Mackenzie wa Kenya, tusisahau mchungaji anayejiita Mbarikiwa, yuko hapa kwetu

    Kimsingi, huyu mchungaji, waziwazi, anaandika na kuchochea chuki huko YouTube. Anaporomosha matusi na hakuna anayechukua hatua. Ofisi ya msajili wa taasisi za dini nadhani kwa Sasa inatakiwa iamke usingizini kabla taifa halijapata janga. Hatukatai kwamba ana Uhuru wa kuabudu, lakini kufurumusha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…