CHADEMA hatarini kufutwa na kusambaratika kabisa

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,185
Reaction score
14,887
1767522856769.jpeg

Ndani ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA hali si shwari baada ya baadhi ya wanachama kutaka kuingia kwenye Uchaguzi ili kumchagua Mwenyekiti baada ya Tundu Lissu kusota Rumande kwa mda mrefu ambapo kijana Makini John Mnyika huenda akashika wadhifa huo kwani anaungwa mkono nje ya Chama.

Awali iliibuka minong’ono kuhusu John Heche lakini hulka yake ya Uhuni. Misimamo yake na kutochagua maneno ya kuongea vimemuweka kando na Kundi kubwa la wanachama linaisukuma agenda hii ili Mwenyekiti wa Kuchukua nafasi ya Lissu apatikane kabla ya April 2026 .Tundu Lissu ambaye anasubiri vikao vya mahakama kuu ifikapo February 2026 ili kesi yake ya Uhaini iendelee.

John Heche pia analaumiwa kutofanya ziara zozote za kukijenga chama mikoani na Badala yake amekifanya Chama kuwa cha Mitandaoni tuu bila kuweka mizizi kwa wananchi hasa vijijini ambako hawana uelewa na masuala ya Mitandaoni
 
Niliwasema CHADEMA katika nyuzi zangu kama mbili au tatu lakini baadhi ya watu hawakunielewa
Watakumbuka shuka asubuhi
CHADEMA hawafai kushauri
Itafika siku watamuona Lissu kama giza la CHADEMA
 
View attachment 3525091

Hivi Shule zinafunguliwa lini??? Kweli UVCCM mpo kazini
 
Mechi ya team ya ccm na Moroco ni saa ngapi?
 
Mimi sielewi wenzangu munawazaje, au ndio Malipo munayopata yanawafanya vichwa visiwaze vizuri.

CDM inaweza kufutwa, kuuwawa na Serikali, lkn haimaanishi CDM ikifa ndio CCM itapendwa, kuiua CDM vizuri ni Serikali kutenda haki, kujali wananchi, viongozi kuacha rushwa, huduma bora za afya na kijamii, hiyo ndio njia nzuri ya kuiua CDM, Ila kutumia njia za panya ilhali wananchi hawaelewi kesho yao ni kujidanganya.
 
Umeandika usenge tu na matamanio yako, Chadema hadi sasa kimezuiwa na mahakama kufanya kazi zake za kisiasa hivyo hakuna mtu anayeweza kumlaumu Heche kuwa hafanyi ziara, au unajisahaulisha ule moto aloukuwa anawapelekea CCM kwenye mikutano ya NRNE hadi CCM ikaamua kutumia Mahakama na ofisi ya Msajili wa Vyama kuisaidia kupambana na Chadema. Jaribuni kuifuta muone mtakavyoharakisha anguko la dikteta Samia.
 
View attachment 3525091

Ndani ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA hali si shwari baada ya baadhi ya wanachama kutaka kuingia kwenye Uchaguzi ili kumchagua Mwenyekiti baada ya Tundu Lissu kusota Rumande kwa mda mrefu ambapo kijana Makini John Mnyika huenda akashika wadhifa huo kwani anaungwa mkono nje ya Chama.

Awali iliibuka minong’ono kuhusu John Heche lakini hulka yake ya Uhuni. Misimamo yake na kutochagua maneno ya kuongea vimemuweka kando na Kundi kubwa la wanachama linaisukuma agenda hii ili Mwenyekiti wa Kuchukua nafasi ya Lissu apatikane kabla ya April 2026 .Tundu Lissu ambaye anasubiri vikao vya mahakama kuu ifikapo February 2026 ili kesi yake ya Uhaini iendelee.

John Heche pia analaumiwa kutofanya ziara zozote za kukijenga chama mikoani na Badala yake amekifanya Chama kuwa cha Mitandaoni tuu bila kuweka mizizi kwa wananchi hasa vijijini ambako hawana uelewa na masuala ya Mitandaoni

Hiyo kawadanganye wenye upungufu wa akili kama wa kwako.
 
Uchaguzi wa chama kikubwa kama chadema haufanyiki vichochoroni. Wameshaondoka wanachama kibao lakini cdm bado ipo na wao ndio amepotea

Kikowapi chauma na wanchama wake?
Wako wapi akina msigwa?
 
Mimi sielewi wenzangu munawazaje, au ndio Malipo munayopata yanawafanya vichwa visiwaze vizuri.

CDM inaweza kufutwa, kuuwawa na Serikali, lkn haimaanishi CDM ikifa ndio CCM itapendwa, kuiua CDM vizuri ni Serikali kutenda haki, kujali wananchi, viongozi kuacha rushwa, huduma bora za afya na kijamii, hiyo ndio njia nzuri ya kuiua CDM, Ila kutumia njia za panya ilhali wananchi hawaelewi kesho yao ni kujidanganya.
Hawa jamaa ni useless wao wakishiba wanadhani wote ni hivyo hivyo.
 
Niliwasema CHADEMA katika nyuzi zangu kama mbili au tatu lakini baadhi ya watu hawakunielewa
Watakumbuka shuka asubuhi
CHADEMA hawafai kushauri
Itafika siku watamuona Lissu kama giza la CHADEMA
Chadema inakutesa sana Yeriko Nyerere
 
View attachment 3525091

Ndani ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA hali si shwari baada ya baadhi ya wanachama kutaka kuingia kwenye Uchaguzi ili kumchagua Mwenyekiti baada ya Tundu Lissu kusota Rumande kwa mda mrefu ambapo kijana Makini John Mnyika huenda akashika wadhifa huo kwani anaungwa mkono nje ya Chama.

Awali iliibuka minong’ono kuhusu John Heche lakini hulka yake ya Uhuni. Misimamo yake na kutochagua maneno ya kuongea vimemuweka kando na Kundi kubwa la wanachama linaisukuma agenda hii ili Mwenyekiti wa Kuchukua nafasi ya Lissu apatikane kabla ya April 2026 .Tundu Lissu ambaye anasubiri vikao vya mahakama kuu ifikapo February 2026 ili kesi yake ya Uhaini iendelee.

John Heche pia analaumiwa kutofanya ziara zozote za kukijenga chama mikoani na Badala yake amekifanya Chama kuwa cha Mitandaoni tuu bila kuweka mizizi kwa wananchi hasa vijijini ambako hawana uelewa na masuala ya Mitandaoni
Nyinyi wapuuzi hamjawahi kuwa na maslahi kwa nchi! Muda wote huwa mnayawwazia matumbo yenu tu na namna ya kuwahujumu wapinzani/wakosoaji wenu kwa kuwafunga, kuwateka, kuwaua, kuvifanyia figisu vyama vilivyo sajiliwa kuhalali, nk.

Hivi hizi nguvu nyingi mnazotumia kuihujumu Chadema mngezitumia kwenye kulinda raslimali zetu, kudhibiti vitendo vya rushwa na ufisadi, kulinda haki za wananchi, kujenga miundombinu, kujenga misingi ya uzalendo wa kweli kwa wananchi, nk si tungekuwa mbali kimaendeleo!!

Hivi mnajua nyinyi ni wapumbavu, halafu mnakera sana!!
 
Back
Top Bottom