hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Adui hatari nambari wani wa taifa letu Tanzania ni CCM, je unaafiki?

    Nakiri kuwa sijawahi kuishabikia CCM hata kwa bahati mbaya. CCM ni chafu na inanuka. Siwezi kuishi kwenye nyumba inayonuka, nikijifunika blanketi moja na wanaonuka, nikikesha na wenzangu wanaonuka halafu nidanganye umma kwamba sinuki. Kuwa mwanachama wa CCM maana yake ni kwamba huo uvundo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ki wapi kile kirusi hatari cha Delta

    Wakati kimeingia nilijua tutazika mpaka panzi lakini naona hakuna kilichotokea Misongamano kama yote nchi nzima, wagonjwa wa sukari, wazee, wenye HIV nk naona bado wako mtaani wanadunda Nimeamini korona ni usanii tosha na imetengenezwa ili kufanikisha mageuzi ya mifumo fulani ya kifedha ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yapigwa butwaa na Deni la ATCL kufika bilioni 472. Kuna hatari ya shirika kufa

    Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati. HT gazeti Mwananchi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Goli la Kelvin Kapumbu Yanga day

    Umeshaambiwa Wananchi wapo katika Siku yao na Wewe tena Kelvin Kapumbu bila Huruma unapiga Bao la nguvu na la Ushindi hapo hapo.
  5. JamiiForums Tanzania Barabara hatarishi huwa na mtelemko mikali au kona nyingi

    Barabara hatarishi huwa na mtelemko mikali au kona nyingi au vyote kwa pamoja hapa Tanzania, hivyo uwezekano wa kupata ajari ni mkubwa dereva asipokuwa muangalifu. - Hizi ni baadhi ya barabara hatarishi Tanzania. 1. Nyang’olo barabara ya Iringa kwenda Dodoma 2. Barabara ya mlima Kitonga...
  6. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kubambikiwa kiti na Microphone ni hatari kuliko Corona, barakoa na chanjo

    HATARI!!! KUBAMBIKIWA KITI na MICROPHONE ni Hatari kuliko Corona, Barakoa na Chanjo! Rais Jakaya Kikwete aliwahi kulijulisha Taifa kuwa kutokana uhasama ndani ya medani za Kisiasa, ilifika wakati "watu walikuwa hawaachiani glasi walipotoka kwenda maliwatoni". Siasa za makundi na uhasama...
  7. JamiiForums Tanzania Aina za Wapenzi Hatari kwenye mahusiano

    AINA ZA WAPENZI HATARI KWENYE MAHUSIANO... 1: Mpenzi mtangazaji--> Kila mnacho fanya yeye anaenda kusema kwa marafiki/ndugu/mitandaoni. 2: Mpenzi mtazamaji: Hana afanyalo, hana future, yupo yupo tu kazi yake ye kutazama na kusimulia ya wenzie wala yake hayawazii. 3: Mpenzi msikilizaji...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaangalie wakulima wa miwa Kilombero wanadhulumiwa kwenye Malipo

    Mkulima wa miwa kilombero anapitia changamoto nyingi hadi afikie hatua ya kuua miwa,mfano mkulima ununua mbolea Bilal ruzuku,sumu za wadudu ambao wamekuwa tatizo kubwa kwenye zao ili kwa sasa nk. Kwa masikitiko makubwa sana kampuni ya Sukari Kilombero imempunja mkulima kwa kununua tani moja ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tusichanganye Dini na Siasa, ni hatari

    Hivi karibuni wafuasi wa CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kwenda makanisani na sare za chama, Najiuliza Vipi CCM, ACT-Wazalendo, CUF au vyama vingine vikianza kwenda makanisani na sare za vyama vyao? Makanisani watu wataanza kukaa kwa itikadi za vyama na itaibuka mijadala makanisani...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ikiwezekana, Bunge lianze na mswada wa dharura kujadili Katiba Mpya; hii Katiba ya sasa kitendo cha Makamu kutambuliwa kuwa mrithi ni hatari

    Suala la katiba lipewe kipaumbele sana. Katiba ni uhai. Yapo mengi ya hatari sana kwenye katiba hii. Lakini hili la Mrithi wa rais anayefariki dunia, kuwa ni makamu wa rais (automated) ni hatari sana kwa marais endapo tukipata Makamu asiyemwaminifu. Pia linachangia sana kumuweka mbali...
  11. JamiiForums Tanzania Mjue Jelly Fish Samaki hatari baharini, ni haja wavuvi kuwa nae makini

    Box Jelly fish (Sea wasp), ni samaki anaepatikana baharini,hasa katika bahari ya Pacific (Indo-Pacific) pia katika bahari ya Atlantic.Hupatikana kwa wingi katika nchi za Australia,New Zealand,Philippenes na mji wa Hawaii ulioko USA. Samaki huyu hujulikana kama 'the most deadliest fish in the...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuendelea kutumia ibada kumuombea Mbowe, kudai Katiba Mpya

    Chadema kuendelea kutumia ibada kumuombea Mbowe, kudai Katiba Mpya By Mgongo Kaitira Mwanza. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea na mbinu yao mpya ya kudai Katiba Mpya kwa kwa njia ya amani kwa kutumia ibada zinazoendeshwa katika makanisa mbalimbali jijini Mwanza...
  13. JamiiForums Tanzania Endapo hii ndoto inatoka kwa Mungu, basi hatuna budi kuliombea Taifa. Hatari itatokea karibuni

    Habari wadau! Leo nimeota ndoto mbaya sana, nimeona watu waume kwa wake wakiwa wanalia, nimeona machozi na damu katika ndoto. Nimeona mji ukiwa umetulia tulii mara ghafla fujo ikatawala,taharuki ikaukumba mji wote. Ndoto yenyewe: Nimeota nimeenda kumtembelea jamaa yangu anayeishi maeneo ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ipo hatari hapo mbele wanaomiliki hisa 51% kumgeukia MO kama Simba Sc itafanya vibaya ndani na nje

    Wapenzi na mashabiki wa Simba wameridhia Mo kumiliki timu ilimradi wanapata furaha na makombe hawatarajii na hawategemei kama Simba itakuja kushindwa sidhani kama wataweza kumvumilia pale mambo yakienda kinyume na matarajio yao.
  15. JamiiForums Tanzania Karma ni hatari: Mzanzibar aliyebeza COVID-19 huko ughaibuni, imempata

    Bibie akikandia kuchanja covid kivyake vyake!
  16. JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Mbowe kama gaidi

    Hawa maigaidi wengine wameishia kumshangaa
  17. JamiiForums Tanzania Stroke inaweza kumtokea mtu yeyote na ni hatari

    Tupo wanne tumetokea kuelewana na kuwa marafiki wakubwa. Rafiki yetu mmoja amefanikiwa kujenga nyumba nzuri tu ya ghorofa, anaishi na mume wake na mabinti zao wawili. Weekend moja alitulika katika sherehe ya mtoto, hatukua wengi sana, kwakua sherehe ilikua ni ya watoto, yeye na mume wake...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mapenzi Kinyume na Maumbile ni hatari, usijirahisishe

    Habari yako, Kwa wakazi wa Bongo, neno Shivaz sio geni masikioni mwenu! Manka Mushi mie, mtoto wa kichaga huko na Mrina ndiyo yalikuwa machimbo yangu ya kujidai. Kiufupi nimeumbika, shepu mashallah! Msambwanda asilia nimejaliwa sio wezere la kuvalia kigodoro yaan nina kila kigezo cha kuitwa...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ni hatari kwa kupiga pesa. Hata Wazungu wanatutambua

    Hii nchi ndogo ya Kenya inaogopwa hata na Wazungu. Wakenya kwa kutafuta pesa ni hatari sana. Sasa wanafunzi lazy wa Marekani ambao hawataki kufanya homework huwa wanatuma homework huku Kenya ili vijana wa Kenya wawasaidie kufanya homework yao. Hata mitihani pia Wakenya wanafanya kwa niaba ya...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ndio orodha ya watu ambao wapo kwenye hatari kubwa ya kupatwa na malaria

    Habari wadau! Amini usiamini lakini huu ndio ukweli waru awa wapo kwenye hatari kubwa ya kupatwa na malaria kuliko watu wowote. 1. Wajawazito 2. Vibonge 3. Wakimbiaji (joggers) 4. Watu wenye bustani za maua nyumbani kwao 5. Walevi 6. Wanaopenda kuvaa night dress nyeusi au nguo nyeusi wakati wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…