NIMEKUTANA NA TIMEKEEPER DEUS MWAFISANGO, HATARI SANA.
Anaandika, Robert Heriel
Ni leo. Maeneo ya Mlimani City nilikutana na mtu hatari, jitu baya, Roho ya kale, ukimuita jitu mwitu msitu hutokuwa unakosea.
Napita Eneo la samaki samaki nasikia Sauti ikiniita. Nageuka macho yangu yanapagawa...