hataki

A hataki (叩き) is a type of household cleaning tool that originated in Japan. Consisting of durable cloth strips attached to a stick or pole, it is used for moving dust from surfaces onto the floor where it can be swept up or vacuumed. Similar to a feather duster, it is not to be confused with an ōnusa.This duster, made of a bamboo pole and cloth strips, is a fixture in every Japanese home.
The hataki does not trap dust but, with its familiar sound, pushes it onto the floor where it can be swept up.

View More On Wikipedia.org
  1. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe mtarajiwa hataki binti yake aolewe na Kabila langu

    Mimi ni Mwanaume 28yrs mkurya nilivyofika Dar nilikutana n'a bint mmoja nikamtongoza akakubali. Huyu binti (21yrs) ni mgeni Dar from mkoa X nyanda za juu kusini anaishi kwa shangazi yake Dar Hakuwahi kuniuliza Kabila nahisi alijua mimi ni from dar /pwan kwasababu Mimi Sina ukabila...
  2. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nikimpa hela hataki

    Anasema anataka hela aliyotafuta kwa mikono yake 😅
  3. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Baba mwenye nyumba hataki nifanye biashara ya pombe kali

    Wanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki. Niende kwenye mada moja kwa moja. Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali yaani liquor store. Nikaingia mkataba na mwenye nyumba wa miezi kumi wakati huo yeye hajui nataka...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ukiona anasita au hataki kukuoa daka ujauzito halafu goma kuutoa, atakuoa tu

    Mnakwama wapi akina dada mnaopotezewa muda na hawa wanaume viruka njia? Yaani una date na mtu mwaka mzima au zaidi halafu haongelei ndoa? Sasa nawapeni mbinu itakayo walazimisha wawaoe. Mbinu yenyewe simple tu. Daka ujauzito halafu mpe taarifa mapema kabisa kuwa umedaka. Utaona qnatepeta na...
  5. Pleasepast

    JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzake hataki baba wa mtoto ampeleke mtoto kwa babu na bibi zake upande wa baba

    .
  6. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anakuzimia simu mara tatu bado anakwambia hataki kukupoteza

    Katika harakati za maisha imekuwa na ukaribu na mwanasheria mmoja smart sana kijana. Bahati nzuri ana girl friend wake Tupo office Moja. Yule girlfriend wake ni mwanamke anataka pesa. Ukiwa na pesa tu unaondoka nae. Huyu wanasheria mdogo wangu alikuwa analalamika Tabia za kushangaza za mpenzi...
  7. Mousty6462

    JamiiForums Tanzania Mke anaependa vitu vizuri lakini maendeleo hataki

    Wana Jamii Naomba Msaada Wa Mawazo Mke Wangu Hakuna Kitu Ambacho tunaweza Kuongea Tukaelewana Labda Niongee Kuhusu Chakula kizuri ndio tunaweza kuelewana Lakin Kuhusu Maendeleo Yetu Yeye Amekuwa Si muumini wa mambo hayo Maana Kuna Mtu Mmoja Alisema MAWAZO USIYAFANYE KUWA SIRI YATAKUSHINDA NGUVU
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Kama Kiongozi wa Umma hataki mambo yake yawe wazi kwa Umma, aachie Ofisi

    Nchi zetu za Kiafrika kila kitu ni changamoto sana. Viongozi wetu wanatamani kuwa viongozi wa Umma, lakini hawataki mambo yao yoyote yajulikane na Umma, Ajabu kwa kweli. Ndiyo maana Wakili Msomi Boniface Mwabukusi aliwahi kusema kwamba; 'Kama kiongozi wa Umma hataki mambo yake yajulikane na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Dawa nzuri ya kumvuta mke ambae hataki kurudi kwenye ndoa

    Wadau nipeni mix ya dawa za kumvuta mke ambae yuko mbali na hataki kurudi
  10. Heci

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimuendekeza atakupanda kichwani. Mke wa jamaa yangu kafuga msitu hataki kunyoa, eti hadi apewe laki akanyolewe kwa Wahindi

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Leo rafiki yangu wa tangu tukiwa watoto alinipigia simu kwamba anataka tuangalie mpira pamoja na ana jambo ambalo anataka nimshauri, hivyo basi nitafute sehemu nzuri tulivu ili tuwe tunaangalia mpira na kuongea. Basi nikamwelekeza sehemu jirani na...
  11. Liu Yun

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu huwa hataki nimpigie simu wala SmS bosi wake wa kiume akiwepo

    Mimi na mchumba wangu tuna mahusiano ya miezi 5, anafanya kazi katika familia ya watumishi wa selikali nikimaanisha baba na mama ni wafanyakazi serikalini. Shida ni kwamba bosi wake wa kike asipo kuwepo akawepo wa kiume huwa hataki tuchati wala kupigiana simu (Hasa usiku) , akidai hataki boss...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Prigozhin asema hataki tena kupigana Ukraine, anakuja Afrika

    Baada ya utata wa muda mrefu wa mahali alipo kiongozi wa kikundi cha askari wa kukodiwa cha Wagner leo ameonekana hadharani nchini Belarus alikohamishia shughuli zake baada ya jaribio la kutaka kuipindua serikali ya Urusi kuzimwa. Katika video iliyomuonesha akisalimiana na askari wake...
  13. Jugado

    JamiiForums Tanzania Nilimfukuzia Kwa miezi saba kanitolea nje leo kanipigia anasema hataki uhusiano na Mimi ila ijumaa hii nimpleke live band!

    Wanabodi, baada ya kuandika ule uzi wangu wa "Maisha yangu baada ya miaka 37" wengi walinishauri niache nyumba ya laki tatu nikapange ya bei nafuu ili nitoboe. Kweli nimehamia nyumba ya laki na nusu wapangaji tupo sita ndani ya geti. Ni uswahilini fulani ukitoka nje ya geti unakutana na mihogo...
  14. Zee la Masonko

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

    Wakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na ladha ya kipekee Sana. Shunie popote upatapo ujumbe huu nakutafuta mwenzio ni Kitambo sana...
  15. DullyJr

    JamiiForums Tanzania Hivi Yanga huwa mnawapa nini hawa vijana mara tu wanapojiunga nanyi?

    Huyu mwehu anajua kama ujumbe huu anawafikishia watu wengi sana nchini? Asilimia kubwa ikiwa ni hawa mashabiki wa Yanga wanaopambania kuingia bure uwanjani kwa kukosa elfu tatu. Wengine ni majeruhi hadi leo na wengine wamepoteza uhai kwa ajili ya Yanga yao halafu yeye anatoka mbele waziwazi na...
  16. 5

    JamiiForums Tanzania China yasema hataki kuongeza mafuta kwenye moto vita ya Ukraine na Urusi

    Kuna wakati China anataka kushirikiana na Urusi kuunda umoja wao na kupiga vita US na washirika wao lakini kuna wakati yeye anahubiri amani na kujitoa mbingu na ardhi kwamba hahusiki kwa vyovyote kumsaidia silaha Russia. Hofu ya China ni nini hasa? Je, bado anaitegemea US na washirika wake...
  17. BigBro

    JamiiForums Tanzania China haitaki Fedha yake kuwa ya Kimataifa(?)

    Ingawa dola ndiyo sarafu kuu katika biashara ya kimataifa duniani kote, vita vya Urusi na Ukraine vinaashiria hali mpya. Hiyo ni, China na Urusi zimekuwa zikifanya kazi katika kudhoofisha utawala wa dola ya Marekani. Vikwazo dhidi ya Urusi kutoka Marekani na Umoja wa Ulaya vimekuwa na athari...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Pesa anataka lakini mbususu hataki kutoa

    Huyu Binti wa miaka 20 pesa anazipenda lakini kutoa mbususu kipengele. Ana kiboy chake wanazinguka nae kila Kona kakitongozwa kanakubali. Kanaomba pesa kila kukicha lakini mbususu hakatoi.
  19. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Ninayempenda, ananipenda ila hataki tuwe wote. Mwingine ananipenda, nampenda pia ila sitaki tuwe wote

    Nipo njia panda kwa kweli.... Naombeni ushauri, hasa hasa huyo wa kwanza Picha kwa hisani ya Google
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kwa namna ilivyo mitaani, hata aliyekuwa hataki ccm itoke madarakani, anaisagia meno!

    Tusidanyane! Vijana wote ambao hamko kwenye cheni ya ulaji na kupeana nafasi kwa Juana ndani ya ccm, bila kuiondoa ccm na kuikataa, wote mtakufa masikini na hamtafikia ndoto zenu abadani Hata hapa CCM inalindwa na wanaokula kupitia mfumo mbovu iliojitengenezea na wengine kulipwa kwa kazi ya...
Back
Top Bottom