hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama huu Utafiti wa Bangi kuwekwa katika Biskuti na Keki ni wa Kweli nahisi nitakuwa nimeitumia kuliko hata Mdau Mkuu Hayati Bob Marley

    Na wanaoiweka katika hizi Bidhaa pendwa Siku wakiwaza tu kuiweka pia katika Utamu wa Kibaiolojia wa Mwanamke au Mwanaume hapa ndiyo nitakuwa Teja kabisa kwani Wengine huo Utamu Tukuka wa Kibaiolojia wa Mwanamke ndiyo tunaupenda kuliko hata Klabu ya Simba SC na Tanzania yangu. Ewe Mwenyezi Mungu...
  2. JamiiForums Tanzania Watumbuaji wa Awamu ya Tano walia njaa, waomba Rais Samia awarudishe kazini hata kwa vyeo vya chini

    Kitwala aliwahi kuwa mkuu wa Wilaya ya Mkoani Tabora, enzi zake alisimamisha kazi makumi ya watumishi na kuwafukuzisha kazi. SSH akapita naye kama mwewe, akawa raia wa kawaida. Kumbe chini ya kapeti akaomba awe Afisa sheria pale PSSSF, cheo Cha chini kabisa kutoka katika ukuu wa Wilaya. Hakika...
  3. JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha wanawake wengi siku hizi hawana mvuto wa kike, wengi sura ngumu, shapeless wengi vitambi kama wanaume hata miondoko ni kama wanaume

    Peace be to you all, Usiniulize utafiti nimefanya wapi, kwani wewe huna macho ?! Ebo !! Jambo hili liko bayana kabisa. Tofauti na zamani siku hizi wanawake hawana mvuto wa kike, wengi sura ngumu, zilizokunjamana pia wengi ni shapeless wengi vitambi kama wanaume hata miondoko ni kama wanaume...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mpina: Hata wakitaka na Ubunge nitawaachia lakini sitonyamaza

    "....Tatizo jamaa wanadhani mimi nitababaishwa na mbinu yao chafu ya kutumia chombo cha habari kunitweza hahahaha!" Brother, kwa akili yako eneo lile lingekuwa na tabu mwamba (JPM) angeniacha salama?!" "Yule kijana (Mwandishi wa TBC)aliitwa Dar es Salaam usiku na alifuatwa na v8 akapangwa cha...
  5. JamiiForums Tanzania Mashabiki Mazuzu Yanga SC: Hata kama hatutakuwa Mabingwa wa CAFCC, ila bado Medali tutavaa

    Kwahiyo kumbe muda Wote mlioshiriki Mechi zenu za CAFCC Lengo lenu Kuu ( Mama ) lilikuwa siyo kuwa Mabingwa bali kuwa Washindi wa Pili na mvae Medali za Fedha badala ya zile za Dhahabu za Mabingwa? GENTAMYCINE muda Wote nilikuwa simwelewi aliyekuwa Msemaji wa Simba SC ( sasa ni Mhamasishaji...
  6. JamiiForums Tanzania Jidanganyeni kuwafunga kwao Club Africaine na Marumo Gallants itakuwa hivyo pia kwa USM Alger

    Nawasikia tu mnavyodanganyana na kupeana Moyo katika Vijiwe vya Mitaani na humu Mitandaoni. Wenye Akili na tunaojua Mpira tunajua kuwa tayari USM Alger FC kwa 85% wameshakuwa Mabingwa wa CAFCC kwa Msimu wa 2022 / 2023. Imeisha hiyo...!!!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Huko tuendako akina dada kumpata mwanaume hata wa kumsalimia tu itakuwa ni shida

    Kijenetiki watoto wa kiume na kike huzaliwa kwa idadi sawa, lkn watoto wa kiume hufa wengi kabla ya kufikisha miaka 5. Watoto wa kiume wakiwa wakubwa wengi huingia kwenye kazi ngumu au hatarishi (mfano migodini, vitani, etc) na kupoteza maisha. Kanuni ya kula kwa jasho huwafanya wanaume wengi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio NEMC, uchafu wa Mazingira ni ugonjwa wa akili unaotakiwa utibike Kisaikolojia. Hata baadhi ya Viongozi wanaumwa

    Chimbuko la kelele lipo kiimani na kisaikolojia. Nashauri NEMC Pelekeni hoja Wizara ya Elimu ili watakapoboresha mitaala yao, somo la Sayansi kimu lifundishe kwa kina madhara ya uchafuzi wa mazingira ikiwemo kelele. Tukumbuke kwamba baadhi ya viongozi wanaumwa huu ugonjwa wa kisaikolojia na...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima kutoa Z report kila siku hata kama hujauza kitu?

    Habari za leo wakuu, Kwa wafanyabiashara wanaotumia efd machine kuna ulazima wa kutoa Z report kila siku hata kama hujauza kitu kwa siku husika?
  10. JamiiForums Tanzania Ukiwa na pesa ya kigeni ambayo muda wake umeishapita kimatumizi, naweza ipeleka mahali gani niweze itumia katika kurefund thamani yake!

    Habari wapambanaji, Mie nipo na fedha za kigeni ila nadhani muda wake ktk currently utilise kwema market umeisha, nauliza kuna uwezekano wa kuziexchange hizo fedha ktk pesa ya ndani tafadhali.
  11. JamiiForums Tanzania Wale ambao tunaishi na watoto wa watu na hatujapeleka hata 100 ya mahari tukutane huku

    Kusema ukweli huyu mwanamke ninaye ishi nae nilimchukulia kwa dada yake na kuamua kuanza maisha na yeye. Basi bhana ilitokea msiba nyumbani kwao ikabidi tuende wote, na baada ya msiba kuisha ikabidi mambo mengine yaendelee ikiwepo kikao kuyahusu maisha yangu na yeye lakini kwa busara zao...
  12. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani yanakwamisha safari yako ya mafanikio?

    Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako, Nami Kama mwana harakati katika utafitaji nikajiwazia kuwa Kuna baadhi ya vitu au watu ni chanzo Cha kutuchelewesha au kuwa Kama vizingiti katika safari ya mafanikio. Je, ni Mambo, vitu, au watu gani unahisi wanakuzuia au kukuchelewesha...
  13. JamiiForums Tanzania Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

    Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako. Nami Kama mwana harakati katika utafutaji nikajiwazia mengi leo. Ni chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa bilionea?
  14. JamiiForums Tanzania Wageni wa siku hizi hata siwaelewi

    Huko kwenu wageni wanakujaje kujaje?
  15. JamiiForums Tanzania Wakili: Deni la Membe kwa Musiba liko palepale

    Dar es Salaam. Wakili Jonathan Mdeme, aliyekuwa akimwakilisha mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Bernard Membe (69) kwenye kesi dhidi ya mwanahabari Cyprian Musiba, amesema deni la waziri huyo wa zamani wa mambo ya nje kwa Musiba liko palepale na msimamizi wa mirathi ataendelea alipoishia...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya nchi duniani washaufuta ugonjwa wa maralia, sisi tumeshindwa hata kufuta kelele tu mtaani

    Kusema ukweli! Mambo mengine siyo utajiri! Bali ni uthubutu tu! Baadhi ya nchi duniani walishasahau kama kuna ugonjwa wa malaria! Yaani wadudu warnezao malaria hivi kweli kama taifa tumeshindwa kuwaondoa? Zamani kulikuwepo ugonjwa wa kichocho sijui ulipotelea wapi! Lakini sahivi kuna hii kitu...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kuwapiga wanawake hivi sio sawa hata kama ni wezi

    Hichi kitendo kimeambatana na Ukatili.
  18. JamiiForums Tanzania Bila uzalendo hata tujenge hospitali au shule kila kata, bado ni Bure.

    BILA UZALENDO HATA TUJENGE HOSPITALI AU SHULE KILA KATA, BADO NI BURE. Anaandika, Robert Heriel Kukosa miundombinu ya Huduma za kijamii ni tatizo lakini kukosa uadilifu na Uzalendo ni janga kubwa katika mataifa yetu ya Afrika. Nchi yetu inamatatizo mengi Sana lakini yake makubwa ni matatizo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Case Study: Kaka Yangu hana marafiki hata wa kumtembelea, ni super introvertm Baba alimlea kwa namna aliyodhani itamlinda kumbe ni kumletea matatizo

    Na mimi nililelewa kwa staili hii lakini nilipokuja kuona tunaishi tofauti na jamii nilimkaidi mzee na ndio ponea yangu, (nilishaweka uzi huu). Ipo hivi yani, Mzee ni mtu ambae alikuwa anatulea katika mtindo ambao ulitufanya tuwaone watu nje ya familia kama vile hawahitajiki. Kufungiwa ndani...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya kufulia alikaa miezi sita akaniacha hata hivyo namshukuru

    Kisa cha kweli nilikuwa na mpenzi ambae kwa tulipenda sana kwa jina lake letina cosmatiko mtoto huyu kaumbia pia mzuri mimi ashampoo huwa napenda mataka mtoto alikuwa nayo nilikutana posta huko mwaka 2017sura nayo nzuri sana Sijisifii kila siku nawaambia mungu alinibariki nikashika hela...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…