Kwa Mafuriko haya makubwa ya Brazil sasa hivi Kocha Roberto ataomba Udhuru hata kama hayajatokea Mji atokao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,117
Na hivi anavyopenda kwenda Kwao ( Brazil ) mara kwa mara nina uhakika hii Taarifa ya kutokea kwa Mafuriko makubwa nchini Brazil hivi sasa atakuwa anaitafuta Pasipoti yake ilipo na baadae awapigie Simu Viongozi na baadae Mchana au Jioni au Kesho aliamshe ( aende ) Kwao.

Mwenye namba ya Simu ya Kocha Gamondi anipe tafadhali kwani nataka Kumuuliza ana nini na Timu zingine za NBC Premier League?

Kama tu kwa sasa Timu yake inampiga Mtu Goli Tano Tano hadi Wengine tunaogopa hili Tizi nililoona anawapa Wachezaji wake Juzi pale Coco Beach si litakuwa la Kumpiga Mtu Kumi Kumi na Timu yangu GENTAMYCINE ya Ushindi Mpira Mbovu FC nayo ikiwemo au?

Shikamoo nyingi Kocha Gamondi.
 
Wewe chokoza watu ukiamini Mimi Nina nguvu nitakusaidia. Utapigwa nakuona, ohoooo!
 
Na hivi anavyopenda kwenda Kwao ( Brazil ) mara kwa mara nina uhakika hii Taarifa ya kutokea kwa Mafuriko makubwa nchini Brazil hivi sasa atakuwa anaitafuta Pasipoti yake ilipo na baadae awapigie Simu Viongozi na baadae Mchana au Jioni au Kesho aliamshe ( aende ) Kwao.

Mwenye namba ya Simu ya Kocha Gamondi anipe tafadhali kwani nataka Kumuuliza ana nini na Timu zingine za NBC Premier League?

Kama tu kwa sasa Timu yake inampiga Mtu Goli Tano Tano hadi Wengine tunaogopa hili Tizi nililoona anawapa Wachezaji wake Juzi pale Coco Beach si litakuwa la Kumpiga Mtu Kumi Kumi na Timu yangu GENTAMYCINE ya Ushindi Mpira Mbovu FC nayo ikiwemo au?

Shikamoo nyingi Kocha Gamondi.
Naona ushaanza unafiki wako
 
Kwa hiyo Yanga wakachoka kukaa kijijini wakaamua kuja mjini kusafisha macho. Beach zote zile Kigamboni unaziacha unakuja Coco au kina Yao na Zuzu walianza kushangaa hii timu gani tumekuja kuchezea kila siku tunashinda Kimbiji tu na wanakijiji
 
Back
Top Bottom