hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwako waziri wa TAMISEMI, angalieni na namna ya kuwachuja wanaoomba kazi za ualimu walau hata kwa "Online aptitude test"

    Mhe.Rais wa JMT, Mhe.Waziri wa TAMISEMI Nawapongeza kwa jitihada zenu katika kutengeneza na kutoa fursa za ajira nyingi sana katika kada ya ualimu na Afya. Ni ishara njema katika kupunguza tatizo la ajira nchini. Mhe. Waziri wa TAMISEMI, maoni na mapendekezo haya ni kwa ajili ya ofisi yako...
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Serious talk: Je, kubeti kunaweza kuendesha maisha walau kwa vijana hata wawili kati ya kumi wanaobeti?

    Yes nimeahi sikia kwamba kuna watu wamepiga mshindo kwenye betting lakini hao watu ni nadra sana wanaweza kuwa katika kipimo cha mtu 1 kati 100 ya wale wanaobeti. Ili kitu kiwe na uhakika wa kitu flani kuweza kuendesha maisha ya mtu kiuchumi basi walau huwa kuna kipimo angalau hata watu wawili...
  3. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Hata hapa jangwani chura wapo kimya

    Yaani na katiza hapa jangwani maji kibao,mvua inanyesha ila hakuna kelele ya chura,imebidi nishushe kioo na kuchungulia,naona hata lile jengo taa haziwaki :D :D :D :p :p
  4. lufungulo k

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo kwa mstaafu hata serikali inaona AIBU

    Kwako wewe afisa wa NSSF unayekenua kwenye TV, ukijifanya mtaalamu wa HESABU za vikokotoo, swali langu ni 1 tu. Kwanini mmetolea mfano wa afisa wa serikali aliyestaafu wakati akilipwa mshahara wa tsh 2,000,000/=( hapa ndipo AIBU ilipojificha) Kokotoeni mshahara wa walio wengi ili AIBU yenu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby: Hata wewe Spika ukileta siasa zako tunaweza kukuazimia

    Mbunge wa Gairo amesema Viongozi wa Serikal Wana mtindo wa kuajiri walimu na kuwapangia vijijini kisha wanatuma vimemo wahamishiwe Mjini Shabiby amesema Utaratibu Huu siyo mzuri na ikibidi watatoa Azimio Waziri na Watendaji wake waindolewe na kama Spika ataleta Siasa zake naye Atakaa pembeni...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Bora ushamba siwezi kumla papa mzima na nyama yake, hata wakati wa kuvua baharini simgeuzi

    Hello Hello JF katika maisha yangu naogopa kumla papa na nyama yake na ikitokea nikienda kuvua baharini simgeuzi naacha nyavu iamue naogopa sana, wengine kazi ya uvuvi hatujazoea. Papa tumpe Uhuru wake hasa mabawa yake yaendelee kubaki intact pasipo choko choko za wavuvi. Karibuni wavuvi...
  7. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kama huna pesa hakuna mtu atakuheshimu. Hata wazazi wako watakudharau

    Kuna huu ukweli ambao ni vema kila mtu anatakiwa kuufahamu. Kwa asilimia kubwa heshima ya mtu huletwa na pesa alizonazo. Kama huna pesa hata wazazi wako, kaka na dada watakudharau. watu baki ndiyo kabisa watakudharau. Na si kwamba hawakupendi. Watakupenda sana ila hawatakuheshimu. Kifupi...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wanawake tuambieni kuhusu kauli yenu ya ‘Mwanaume hata umpe nini haridhiki’. Hiyo ‘nini’ ni kitu gani?

    Hivi Mwanamke akisema hata Mwanaume umpe umpe nini haridhiki, hiyo ‘nini’ humaanisha kitu gani? Tuambieni hizo nini ni nini basi. Kama hamsemi mtaendelea kuita wanaume wote ni Mbwa.
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hata uhudumu wa mabasi unatakiwa uwe na degree

    Kampuni ya mabasi ya ABC imetangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa mabasi (Bus Hostess) ambapo kuna vigezo kadhaa unatakiwa kuwa navyo. Kigezo kimoja wqpo ni Bachelor Degree in Public Relation, Procurement, Account, Marketing au Business Administration. Yaani wanataka wahudumu wasomi na sio...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali mwenye Vifuatavyo anitafute upesi PM nivinunue hata kwa Tsh Milioni 5

    1. Maji ya Mochwari ( hasa yatokee Temeke Hospital au Amana ) tu 2. Mchanga na Nyasi kidogo kutoka Kigamboni Avic Town au Jangwani Mafurikoni 3. Jezi ya Klabu Kubwa duniani ila iwe ni ama Njano au Kijani ( ikiwepo ya Tanzania ) itakuwa ni nzuri zaidi 4. Njiwa Saba ( 7 ) ila wawe ni Weupe na...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali mwenye Vifuatavyo anitafute upesi PM nivinunue hata kwa Tsh Milioni 5

    1. Maji ya Mochwari (hasa yatokee Temeke Hospital au Amana) tu 2. Mchanga na Nyasi kidogo kutoka Kigamboni Avic Town au Jangwani Mafurikoni 3. Jezi ya Klabu Kubwa duniani ila iwe ni ama Njano au Kijani (ikiwepo ya Tanzania) itakuwa ni nzuri zaidi 4. Njiwa Saba (7) ila wawe ni Weupe na...
  12. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa sasa Kenya ni nchi ya Kimaskini zaidi kuliko Tanzania, serikali ya Kenya yashindwa kulipa hata mishahara!

    Mficha maradhi kifo kitamuumbua, yawahi hayawi sasa yamekuwa, ukweli halisi umeanza kujionyesha huko Kenya, hali ya maisha ni mbaya mnoo, vijijini ukame unawaua, mijijini maisha yanawanyonga na sasa Serikali imeshindwa kulipa hadi mishahara watumishi wake. Kenya kumechoka na kuchakaa balaa...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wanawake Msitupe Jukumu ambalo hata ninyi hamfanyi. Kila mtu ajiridhishe mwenyewe

    Yaani mtu analalamika kuwa sijamfikisha. Namuuliza yeye ameshiriki vipi kunifikisha anajibu oooh.... Huoni navyokata kiuno. Nikasema isiwe kesi. Safari hii hakuna kukata kiuno. Inama mbuzi kagoma egamia mto lala. Then tuone kama nitafika au sitafika kileleni. Akafanya hivyo nimefika bila shida...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Timu ya wananchi hata kama hamjui kusoma, je hata picha hamuwezi kuangalia?

  15. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea imefulia kama TP Mazembe ilivyofulia: Hata vilaza wanajipigia tu timu hizo mbili!!

    Wolverhampton Wanderers 1 - 0 Chelsea HT 1-0
  16. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Muwazie mpenzi wako kwa mazuri, hata kwa nusu saa tu

    Sikiliza hii nyimbo.....kidogo tu please!!!!
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hivi Dar Technical wanaweza kutengeneza hata flash disk?

    Nimeuliza tu, china ilijengwa kiteknolojia na watundu wa vyuo vya kati. DarTech, MoshiTech, hatuoni mrejesho wa wasomi wenu
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu asiangushiwe zigo. Hata mwenye nchi "anawagwaya" hao wapigaji

    Neno "kugwaya" lina maana sawa kabisa na neno "kuufyata". Neno hili asili yake ni mkoa wa Kigoma. Mama alipoingia tu ikulu akapewa taarifa za upigaji wa mabilioni ya shilingi pale BoT akaunde tume ya uchunguzi ikampa ripoti. .....mama kimya. Ripoti ya CAG ya kwanza ktk utawala wa mama...
  19. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mutahabwa uko sahihi, lakini ujue tu hata Walimu nao wanafanyiwa ukatili

    Ni kweli ukatili upo mashuleni, wanafunzi wanapewa adhabu zisioendana na umri wao. Nilichokuona ni kwamba walimu wengi wana psychological disoder ambayo inatokana na changamoto za kiutumishi. Matokeo yake anashusha hasira zake kwa mwanafunzi. Utakuta mwalimu anakrupiwa na mkuu wa shule mbele...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ndege na mali nyingine za Trump tunaziona, hapa kwetu Marais hawatuoneshi hata bajaji zao. Kwanini wanaficha?

    Nini kinawafanya marais wetu waliostaafu na waliopo madarakani kushindwa ama kuogopa kuonesha mali zao ikiwemo vitu wanavyomiliki? Je, ni wizi? Kwamba mali walizo nazo walozipata kwa wizi? Je, ni wivu? Kwamba wanaogopa kuonewa wivu na kundi kubwa la watu wanaowazunguka na kuwafahamu? Kwanini...
Back
Top Bottom