hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

    Kwa wazungu ndoa za waafrika na wazungu zipo nyingi tu, ni kawaida. Shida inakuja kwa waarabu, yani hata uwe muislam uliekariri aya nyingi za korani na sauti nzuri ya kuzinukuu hawawezi kukupa binti yao labda kama utaweza kutumika kimaslahi aidha uwe na cheo kikubwa serikalini ama uwe na pesa...
  2. JamiiForums Tanzania Juma Nature: Nina miaka 37 sijafika hata 40

    Mkongwe wa muziki wa bongofleva, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature anasema watu waache kumzushia kama amezeeka wakati ndio kwanza ana miaka 37 hajafika hata miaka 40. Yeye bado kijana mdogo wasimuite mzee. My take: Nature ameingia kwenye mkumbo wa dada yetu Wema Sepetu, ambae...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe walishasaini siku nyingi tu!!!

    Habari ndio hio na kuna documents kabisa nimeziona twitter kwa Mdau mmoja zikionyesha hivyo na Mama anasomeka katika moja ya hizo documents. Halafu kumbe hii kitu ilifanyika tangu mwaka jana na Mjengoni ilikuwa ni kukamilisha ratiba tu. Kazi tunayo!!
  4. JamiiForums Tanzania Hata hili za saini lako waheshimiwa wabunge hamkuliona?

    Mkataba wa Mbarawa umebainika kuwepo dosari kubwa za saini kwa pande zote mbili Tanzania na Dubai. Swali je waheshimiwa wabunge hili nalo hamkufanikiwa kuliona?
  5. JamiiForums Tanzania Hivi haiwezekani hata na Nchi hii nayo tukafanya kama Bandari?

    Mi sioni tatizo kwa kweli kuwapa hao jamaa wa Dubai Bandari. Ni kama tumechelewa kidogo ilitakiwa kufanya hivi toka mwaka 2020. Nyie watu acheni nyie. Msidhani kuendesha nchi ni kitu rahisi... Acheni kabisa. Yaani naangalia namwona Rais anateseka kweli. Najiuliza hawezi kweli hata kuangalia...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume, kutojiamini ndo adui yako mkubwa kwenye mahusiano na sio pesa wala mwanamke. Kwanini?

    Kutojiamini inajionesha kwenye tabia yako. Hata kama ulijificha lakini matendo yako yataonesha tu hujiamini. Na kama ulipata mwanamke anaweza kukuacha au kukusaliti. Sababu unaonesha tabia za kutojiamini. Kwanini wanawake wanawaacha watu wasio jiamini? Kwanini kutojiamini ni adui yako mkubwa...
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Uhaba wa DOLA (U.S.D) Tanzania na ukimya wa Serikali

    Kumekuwa na uhaba mkubwa wa fedha za kigeni hapa Tanzania hasa USD ambayo ndio hutumika sana kwa malipo kwa biashara za kimataifa. Pamoja na kupanda kwa dola na kushuka kwa shilingi kutoka 2375 mpaka 2405 bado imekuwa shida sana kupatikana. Kwanza ilianza mabenki kuweka ukomo wa kununua dola...
  8. JamiiForums Tanzania Kada wa Chadema adai hata Chifu Mangungo hakuwa mpumbavu namna hii. Huu mkataba una nini mbona ukakasi kila kona?

  9. JamiiForums Tanzania Changamoto za Muungano wetu

    Vitu vingine tinavisbabisha wenyewe wenzenu kule hawataki tuguse hata mali yao hata moja lakini wao wakija huku bara wanataka kila kitu tena wanapewa nafasi ya upendeleo kuliko mzawa. Mimi kilichoniuma zaidi mwaka juzi dogo langu alikuwa anafukuzia JKT sasa wapo kwenye mchujo. Mchujo wenyewe...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hata mwaka 1992, tungeongozwa na hofu, vyama vingi visingekuwepo

    Hofu ni Hali tu na Wala sio hoja. Watanzania tumeendelea kuwa mahodari wa hofu wasio na hoja. Nakumbuka mwaka 1992 wakati wa mjadala wa Nchi kuwa na mfumo wa vyama vingi, wengi sana walipinga kwa kujazwa hofu. Wachache walioelewa wakiongozwa na Baba wa Taifa, wakaunga mkono KWA HOJA, kuwa Nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa hili la Bandari nasimama na Rais Samia, tubinafsishe hata Halmashauri zetu

    Wakuu tunaibiwa Sana hiwezekani hata Rwanda na kibandari kikavu Chaowakusanye nusu yetu huu ni wizi wa miaka mingi sana tumeibiwa. Tunaibiwa ruzuku za vyama, kilimo, ukusanyaji wa mapato tena na halmashauri zetu kila kona. Mhe. Rais Samia tubinafsishe hata halmashauri zetu maana huko wizi ni...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ikibidi Vyama vya upinzani tuungane hata na Genge S kupinga mkataba huu hatari kwa taifa letu

    Vipengele vilivyopo kwenye mkataba wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam unaotarajiwa kufanywa na kampuni ya Dubai Ports (DP) ni vipengele visivyoonesha ukomo wa maslahi na mipaka ya kisheria kwa DP. Mkataba huu kama utasainiwa utaifunga Tanzania na miaka mingi na kutufanya kupoteza udhibiti wa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kwenye viwanda tulichemka, Bandari tuweze? Nionyesheni tulichowahi kubinafsisha tukapata faida!

    Watanzania tumerogwa siyo bule! Siku zote mkaguzi wa hesabu za Serikali (CAG) mara zote ukaguzi wake katika sector ya Bandari amekuwa akisisitiza ufanisi uongezwe ili mapato yaongezeke ukilinganisha na Bandari zingine, lakini hakuwahi kusema kuna hasara iliyotokana na uendeshaji wa Bandari...
  14. JamiiForums Tanzania Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

    Uzi huu hauhusiani na uzi mwingine, ni alert mahsusi kwa Rais Samia. Mh Rais inamaana wewe na wabunge hamfahamu kuwa vifaa vingi vya ulinzi na usalama huingia nchini kupitia bandari? Vipi endapo kampuni itakayopewa kuendesha bandari ikiajiri bila kujua majasusi wa nchi jirani kuwa watumishi...
  15. JamiiForums Tanzania Mara 1000 Rais Samia angekutana hata na Wahadhiri kuliko Yanga

    Nchi hii imejaa maigizo mengi sana, nikitafakari mantiki ya Rais Samia kukutana na yanga nashindwa kuelewa. Ingekuwa timu ya Taifa hilo nisingeshangaa lakini pia hizi timu zinaonekana zimeanza kutumika vibaya sana Kwa dalili hii. Huko ulaya kuna mitimu kibao inafanya vizuri ila sijasikia hata...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni aibu, kwa familia ambayo wazazi walikuwa watumishi wa serikali lakini hakuna mtoto aliye serikalini?

    Nauliza hili swali niweze kupata viewpoint yenu maana kuna baadhi ya watu nawashangaa wanasema watoto wameaibisha wazazi wao ila mimi naona hawapo sawa kwasababu kazi hazirithishwi, Nyie mnaona vp? baba alikuwa ni engineer shirika kubwa tu, Mama alikuwa ni Muhasibu taasisi flani ya mambo ya...
  17. JamiiForums Tanzania Hata Ulaya, fainali ya Champions League huwa haichezwi neutral ground

    Kuna watu wanadhani kuufuata mfumo wa Ulaya kutawezesha fainali ya Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kuchezwa katika uwanja ambao mojawapo ya timu husika haitakuwa mwenyeji. Ukweli ni kwamba wenzetu wa Ulaya huwa wanakuwa wameshauchagua mji ambao fainali itachezwa, bila kujali mojawapo...
  18. JamiiForums Tanzania IT kwa Tanzania ni kituko. Inakuwaje ni nadra kuwakuta waliotajirika? Hawazioni Fursa au ni watupu?

    Ni kawaida sana kusikia katika dunia ya sasa vijana wanachana msamba zaidi ya kupiga hatua kupitia idea za Digital Platforms pindi wakimaliza kozi zao za Computer Science, Computer Engineering, IT, Software engineering, Cyber nini nini huko na kozi nyingine Ni IT wachache mnooooo wameweza...
  19. JamiiForums Tanzania Kumcheka mtu mwenye medali ya CAF wewe hata huna ya mapinduzi ni kisokorokwinyo

    Kama unaona kuchukua ubingwa wa CAF mwepesi,shiriki wewe ufike final..sio una ishia robo final tu. Unatuletea medali za chuma za 93 ..watu tuma medali mpya za jana. Unatuletea roho mbaya sisi nani aliyekuambia ushabikie kolo fc nanii. Acha roho mbaya wewe pushy.. Fika final usituretee roho...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu hata awe na msimamo namna gani, ipo siku lazima tu atachepuka

    1. Mwanamke mwenye mume mchepukaji. Kesi za uchepukaji za mume za mara kwa mara humtengua mke kwenye msimamo wake wa kulinda heshima ya ndoa yake. 2. Mwanamke asiyepata mtoto katika ndoa yake. Miaka kadhaa kwenye ndoa hapatikani mtoto. Mwanamke huanza kutafuta namna ya kumpata mtoto nje ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…