Hakuna Mchezaji wa Yanga hata Mmoja anaeweza kwendana kiwango na CKM Mugalu

Ramon Abbas

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,964
3,897
Utopolo wanaendesha kampeni za Kijinga sana ili tumuone mugalu hafai

Kumbukeni Mugalu kwa kasi na ubora alionao, hakuna forwad wala straika wa kulingana nae viwango pale jangwani.

Na infact chochote kinaweza kutokea anaweza kuwa best scorer kama bocco na Kagere wasipochukua
 
Mugalu anaonekana mbaya kwa baadhi yetu kwasababu ndani ya Simba kuna washambuliaji wengi wazuri.
Ila Mugalu nje ya Simba ni bora na hana mpinzani.
 
Kwa style hii huko mbeleni sijui kama mtatoboa maana tulitegemea Hii mechi mshinde goal 3+ ila kawadisappoint

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Hatuna shida nae kabisa
Ila pole kwa maumiv aliosababisha kapombeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Goooooooooaaaaaaaaaaaaalllllll ahahahahahahahahahahahahamananhanahanahanahanahanahanahanahanahahah goaaaaaaaalllll
 
Kwa style hii huko mbeleni sijui kama mtatoboa maana tulitegemea Hii mechi mshinde goal 3+ ila kawadisappoint

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Hii tu tayari inadhihirisha kuitofautisha simba na utopolo.
Mlijua mkombozi wa Tz atapiga mtu 3+ ambazo nyie hamjawahi kuifunga timu yoyote ya nje ukiacha zile za timu za shelisheli na somalia.
 
Back
Top Bottom