hasira

Rabbi Yaakov Abuhatzeira, also known as the Abir Yaakov and Abu Hasira (1806–1880), was a leading Moroccan-Jewish rabbi of the 19th century, son of the patriarch of the Abu Hasira/Abuhatzeira family, R. Samuel.

View More On Wikipedia.org
  1. Richard

    JamiiForums Tanzania Duniani ni mapito na sote binadamu huzaliwa na kuna siku tutapumzishwa kila mmoja kwa wakti wake

    Serikali ya raisi Samia ilikuja na R nne ambazo mojawapo ni maridhiano na hadi sasa hakuna maridhiano yalotokea na badala yake ni kuona kuwa wapinzani wa serikali watekwa, kuuawa na kuteswa kama si kupotea kabisa. CCM chama tawala ambacho viongozi na wanachama wake wamekuwa wakijinasibu kuwa...
  2. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji kiongozi ambaye hana hasira

    Baada ya Gen Z kumtukana Rais Samia mtandaoni,Wakenya wamefungiwa biashara. Hiyo ni trade war. Tumeona balaa iliyotokea kati ya USA na China. Hasira ni jambo baya. Kiongozi anawaangusha Watanzania na Wakenya pia. Katuni ya kipanya isiruhusiwe kubadili economic policy
  3. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Ukikataliwa Pm, hasira usilete Jukwaani

    Naona hii tabia imeota mizizi sasa. Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi. Usidanganyike na Profile pic yangu. Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu. Nadhani ushajijua. Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai. Nakutoa kwenye ignore list...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kitila: Anayepinga "Watanzania wengi wanaiunga CCM" apinge kwa utafiti sio kwa hasira

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiingii kwenye Uchaguzi bila utafiti na Utafiti umeonesha Watanzania wengi wanaunga mkono Serikali ya CCM na hali ni mazuri sana. Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025.
  5. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Sababu za mtu kuwa na maneno makali ya laana, kauli chafu, hasira kwa wengine ni

    Sababu za mtu kubeba au kusema maneno makali, machafu, au ya laana zinaweza kuwa nyingi na zinahusisha nyanja za kiroho, kihisia, kisaikolojia, na kijamii. Hapa chini ni maelezo ya kina kuhusu sababu kuu: --- 🔥 1. Mzigo wa Kiroho au Laana za Kizazi Mtu anaweza kurithi laana, chuki, hasira, au...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nimegundua raisi wetu ana hasira sana, anafoka na kujibizana na hata vitu vidogo na kutengeneza mipasho badala ya kukaa kimya

    Nimekuwa nikitafakari juu ya hotuba na kauli mbalimbali za raisi wetu, ambaye ndio kiongozi wa juu kabisa nchini, na kugundua ana hasira sana. Anachukizwa hata na vitu vidogo vidogo ambavyo anapaswa kuvipuuzia na kutovijibu au kuvifanyia malumbano. Ana silka ya kumwagia petroli kwenye mambo...
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Joyce Atieno aliyeenda kutizama mwili wa marehemu Ojwang ametimuliwa na vijana wenye hasira kali

    Waandamanaji na vijana wenye hasira kali wamemfukuza kwenye mochwari mbunge wa Wanawake wa Kaunti ya Homa Bay, Joyce Atieno, anayejulikana kama 'Bensouda'. Bensouda alikuwa ameendaa kutazama mwili wa mwalimu Albert Ojwang' aliyeuawa, na kabla hajaweza kuzungumza na waandishi wa habari, vijana...
  8. mzalendo namba moja

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi fanya jambo gani la kutisha ulipopata hasira?

    Watalaam wasalaam! Hasira hasara, je umewahi kukasirishwa sana na ulifanya kituko gani? Ngoja nianze, kwa kawaida mimi ni kijana mpole mkimya japo nikiwa na mtu ambaye tumematch chemistry ninachangamka kidesign though sipendi sana kampani na watu..being alone mostly naenjoy tu mitindo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dharau za wanawake kwa waume zao zimesababisha wanaume wengi kuwa na hasira na kuwa kama vichaa. hakuna anaejali Men mental health

    wanaume wengi wanaonekana watu wabaya sababu ya mental health problems walizozipata kwa dharau za wanawake. "Hakuna anayejali afya ya akili ya mwanaume hadi itakapogeuka kuwa hasira na ukichaa, ndipo kila mtu huanza kumwona kama mtu mbaya."
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 James Mbatia: Suala la Askofu Gwajima hekima itumike, linaanza kuibua hasira zaidi na linavuka mpaka

    Mwanasiasa James Mbatia ametoa wito kwa Serikali na Viongozi mbalimbali kupata utulivu wa kutatua changamoto mbalimbali zilizopo nchini ili kupata majibu badala ya vuta nikuvute zinazoendelea huku akidai suala la Askofu Josephat Gwajima linapaswa kushughulikiwa kwa hekima ili kupata ufumbuzi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tuyaseme kwa nia njema, kuepusha yaliyotokea Rwanda: Watu vifua vimejaa chuki na hasira za visasi, watawala mnaweza kufuta hasira hizo , bado muda upo

    Watu vifua vimejaa chuki na hasira za visasi. Watawala bado mna muda wa kuepusha genocide kama za Rwanda! Sikuona sababu ya kumuua/kumpoteza/kumficha and the like Mdude na wenzake wengi ambao hatujui kama bado wako hai!
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hasira hizi na maelekezo haya tumekwisha

    Mama amekasirika sana Kwa clip hII, nineogopa sana. Lisu awe macho sana, na wasiwasi wangu unakuja pale ambapo hatuna independent judiciary. MAHAKANA HAZIKO HURU, hawa wanapokea maelekezo, huyu mama ATATOA MAELEKEZO! MAELEKEZO MABAYA Kesi ya Lisu ni simple sana, lakini kwa maelekezo ya...
  13. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kama unataka sex ya haraka tongoza mwanamke mwenye hasira za karibu ambaye wengi wanamuona mkorofi na jeuri

    Wakuu habari! Wanaume siku zote kazi yetu ni kutafuta pesa, kutatua changamoto na kuhudumia familia Ikitokea mtu anataka sex ya haraka basi wanawake wenye hasira za karibu na mdomo ndio chaguo sahihi Kikawaida hawa ni watu wa mihemko wao muda wote huhisi wanadharauliwa, suala la kufikiria...
  14. Kindred Spirit

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa Wanandoa Uliopelekea Umauti na Makovu ya Kudumu

    Tukio hili lilitokea China ndani ya hifadhi ya wanyama pori huko Beijing. Wanandoa na mama mkwe (mama wa mke) walikuwa ndani ya hifadhi mke aliposhuka kuelekea upande wa dereva alikokuwa amekaa mumewe. Inadaiwa alikuwa anasubiri mumewe ahamie kwenye siti ya abiria ili yeye aendeshe. Punde...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhari usimuhoji wala kumfanyia interview mwana Yanga yeyote. Wana hasira sana Kwa sasa

    Hata Kama ni Mdau Wa Soka nguli , Kwa Muda huu Msiwafanyie interview. Itakushangaza Majibu yake...! Nilimsikia Angetile Osea akitumia neno 'wajinga' TFF na Bodi na akaongeza Kwa Sasa Wasiseme Lolote kama Wanaitaka amani,hapo alikuwa anatoa maoni yake Kipindi Cha michezo Cha Usiku clouds...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Yanga inashuka daraja kipindi cha uchaguzi? Hizi hasira za wanayanga watazielekezea kwa utawala uliopo

    Nasemaje...? Ole wake hili liwe kweli, utawala huu uliopo utajutia, utajiongezea upinzani zaidi kwa wanachi hasa mashabiki wa Yanga watauchukia na kuwa sehemu ya upinzani Naiomba serikali isiruhusu hizi akili za kijinga TFF kuishusha daraja Yanga! Na ikiruhusu hili litokee, basi kile...
  17. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika na kububujikwa machozi ya hasira kwa hili

    KWa kupokea kwenu hiyo zawadi sisi tuna jipa maswali yafuatayo:- 1. Vipi mtatetea tena haki..? 2. Mtakemea kama mwanzo..? 3. Kwanini mkapokea..? 4. Ukimkataa shetani huwa unamkataa na mambo yake. Kumbukeni hili..? 5. Mtanyamazishwa..? 6. Mtatetea utawala na kuusifia au tuseme mtasujudia ..? 7...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kama siyo mihimili Imara ya USA, Trump angelikuwa dictator kuliko waliowahi kutokea

    Happa ndipo tunaona umuhimu wa kuwa na strong independent Judiciary, Bunge and other governing institions to be independent of the executive. Kwa mwendo wa trump, huyu ni dictator wa kutupwa kms wa hapa kwetu Most Americans Describe Donald Trump as 'Dangerous Dictator'—New Poll Published May...
  19. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kwanini jamii nyingi za wafugaji wanatabia za ukatili,watata, hasira hata kwenye mahusiano ni tabu tupu.

    . SWALI LILIULIZWA "Swali kwann watu wanaokula sana nyama au wanaotoka jamii ya wafugaji wengi wao wanakuwa na mitetemo ya chini yaani nguvu za chini za kiroho wanakuwa na vurugu, hasira,utata,ugomvi, hawana utulivu hata ukiangalia wanyama wanaokula nyama the same tabia. MAJIBU YA KIROHO...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya Wasira ni matokeo ya CCM kukataa tamaa na kuwa na hasira hivyo kuongea tu kutokana na frustrations

    Nimeona clip ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wasira katika akaunti ya Godbless Lema kwenye mrandao wa X ambapo Wasira anasikika akisema maneno haya: "CCM haitatoka madarakani mpaka Yesu arudi". Msingi wa kauli hii na ile ya hivi karibuni ya Waziri Mchengerwa na nyinginezo za aina hii...
Back
Top Bottom