Nani Mwingine hasira humweka pabaya kunizidi?

puker

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
1,047
Reaction score
2,167
Habari zenu ndugu zangu natumai mko poa. Kuna jambo, huwa linaumiza sana acha niwashirkishe ndugu zangu.

Kuna wakati, naweza nikawa na mazungumzo na mtu aidha tumekwazana katika jambo fulani, aidha kibiashara, kijamii, kimahusiano n.k, naweza kuta nina hoja za msingi sana, bila matusi, kejeli wala dharau naweza kumweleza mtu huyo na akanielewa na mambo yakakaa sawa na tukaendelea kuheshimiana kama kawaida.

Tatizo linakuja pale ninapofika kwenye field (Yani ninapokutana na muhusika) anaweza akaongea neno likaniumiza hasira ulipuka na kujikuta nazungumza nisivyokusudia, na mara nyingi sizungumzi vitu vya msingi nilivyokusudia matokeo yake badala ya kuweka mambo sawa, ndio nazidi kuharibu.

Baadae akili ikutulia ndio naanza kujilaumu kwa nini, nilishindwa kudhibiti hasira zangu lkn inakuwa too late
 
Hasira,hasara. Hasira za mkizi,furaha ya......! Wanasema ukigundua tatizo,jua umepona.
 
Habari zenu ndugu zangu natumai mko poa. Kuna jambo, huwa linaumiza sana acha niwashirkishe ndugu zangu.

Kuna wakati, naweza nikawa na mazungumzo na mtu aidha tumekwazana katika jambo fulani, aidha kibiashara, kijamii, kimahusiano n.k, naweza kuta nina hoja za msingi sana, bila matusi, kejeli wala dharau naweza kumweleza mtu huyo na akanielewa na mambo yakakaa sawa na tukaendelea kuheshimiana kama kawaida.

Tatizo linakuja pale ninapofika kwenye field (Yani ninapokutana na muhusika) anaweza akaongea neno likaniumiza hasira ulipuka na kujikuta nazungumza nisivyokusudia, na mara nyingi sizungumzi vitu vya msingi nilivyokusudia matokeo yake badala ya kuweka mambo sawa, ndio nazidi kuharibu.

Baadae akili ikutulia ndio naanza kujilaumu kwa nini, nilishindwa kudhibiti hasira zangu lkn inakuwa too late
Hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu.
 
Huyo mtu kama ni mshenzi mshenzi mlipue tu 🔥🔥🔥

Mimi nina hasira mpka zinamwagika so kama nikiwa na mtu uso kwa uso nakaa Mbali nae kabisa na pia hua nina tabia ya kujituliza mwenyewe

Katika masaa 24 ya siku ni masaa machache mnoo nakua karibu na watu mda mwingi nipo mwenyewe
 
Imagn unamdai mtu afu anakujibu nenda popote...na b4 alikulilia hadi ukaona umrushie taulo tu..mbaya zaid hakuna mlipoandikiana kwa hyo anachukulia advantge..lazma hasira zikupande
 
Uislamu umetufundisha ukishajiona una hasira chukua udhu swali rakaa 2

Hlf ww inaonekana ni wale watu ambao mnajiweza kimaisha na kudharau wengine kwaio mtu akikukera kidogo tu unaona huyu ni mbwiga tu hana la kunifanya hii kitu iondoe akilini mwako

Hlf pia kama unafuga sharubu punguza sharubu , sharubu zinamuweka sheitani sasa ukikasirika yy huipandisha hasira kupitia sharubu
 
Habari zenu ndugu zangu natumai mko poa. Kuna jambo, huwa linaumiza sana acha niwashirkishe ndugu zangu.

Kuna wakati, naweza nikawa na mazungumzo na mtu aidha tumekwazana katika jambo fulani, aidha kibiashara, kijamii, kimahusiano n.k, naweza kuta nina hoja za msingi sana, bila matusi, kejeli wala dharau naweza kumweleza mtu huyo na akanielewa na mambo yakakaa sawa na tukaendelea kuheshimiana kama kawaida.

Tatizo linakuja pale ninapofika kwenye field (Yani ninapokutana na muhusika) anaweza akaongea neno likaniumiza hasira ulipuka na kujikuta nazungumza nisivyokusudia, na mara nyingi sizungumzi vitu vya msingi nilivyokusudia matokeo yake badala ya kuweka mambo sawa, ndio nazidi kuharibu.

Baadae akili ikutulia ndio naanza kujilaumu kwa nini, nilishindwa kudhibiti hasira zangu lkn inakuwa too late
Huja Chelewa inawezekana,

Jifunze kunyamaa kimya , hasira ikija usitamke chochote.

Alafu usitake kushinda Kila vita Wala kushindana na watu Kwa maneno au matendo.
 
Uislamu umetufundisha ukishajiona una hasira chukua udhu swali rakaa 2

Hlf ww inaonekana ni wale watu ambao mnajiweza kimaisha na kudharau wengine kwaio mtu akikukera kidogo tu unaona huyu ni mbwiga tu hana la kunifanya hii kitu iondoe akilini mwako

Hlf pia kama unafuga sharubu punguza sharubu , sharubu zinamuweka sheitani sasa ukikasirika yy huipandisha hasira kupitia sharubu
😅 sharubu kivipi
 
Habari zenu ndugu zangu natumai mko poa. Kuna jambo, huwa linaumiza sana acha niwashirkishe ndugu zangu.

Kuna wakati, naweza nikawa na mazungumzo na mtu aidha tumekwazana katika jambo fulani, aidha kibiashara, kijamii, kimahusiano n.k, naweza kuta nina hoja za msingi sana, bila matusi, kejeli wala dharau naweza kumweleza mtu huyo na akanielewa na mambo yakakaa sawa na tukaendelea kuheshimiana kama kawaida.

Tatizo linakuja pale ninapofika kwenye field (Yani ninapokutana na muhusika) anaweza akaongea neno likaniumiza hasira ulipuka na kujikuta nazungumza nisivyokusudia, na mara nyingi sizungumzi vitu vya msingi nilivyokusudia matokeo yake badala ya kuweka mambo sawa, ndio nazidi kuharibu.

Baadae akili ikutulia ndio naanza kujilaumu kwa nini, nilishindwa kudhibiti hasira zangu lkn inakuwa too late
Inategemea na unaowaletea hasira.
 
Uislamu umetufundisha ukishajiona una hasira chukua udhu swali rakaa 2

Hlf ww inaonekana ni wale watu ambao mnajiweza kimaisha na kudharau wengine kwaio mtu akikukera kidogo tu unaona huyu ni mbwiga tu hana la kunifanya hii kitu iondoe akilini mwako

Hlf pia kama unafuga sharubu punguza sharubu , sharubu zinamuweka sheitani sasa ukikasirika yy huipandisha hasira kupitia sharubu
Chai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom