Hasira za Mashabiki; Mangungu aokolewa na Polisi

Hii yote ni kiwewe cha Yanga kutawala soka la Tanzania. Ila kiuhalisia Simba ana timu nzuri tu inayohitaji muda nq support ya mashabiki ili irudishe makali yake.

Yanga tumepitia kipindi kigumu hadi kutembeza bakuli lakini hatukuwahi kutaka kuwadhuru viongozi wetu.

Ushabiki wa aina hii ni ushabiki wa kishamba na kifala.
 
67bbf061-81d2-4099-bb1c-2afd342edf2c.jpeg
 
Watamuua bure mzee wa watu 😂🤣, aliyechoma ni mchezaji, kipigo kwa mwenyekiti
Kuongoza watu wajinga wajinga kama mashabiki wa bongo wanaoenda kwa mihemko ni tabu saana 😂🤣
 
Hii yote ni kiwewe cha Yanga kutawala soka la Tanzania. Ila kiuhalisia Simba ana timu nzuri tu inayohitaji muda nq support ya mashabiki ili irudishe makali yake.

Yanga tumepitia kipindi kigumu hadi kutembeza bakuli lakini hatukuwahi kutaka kuwadhuru viongozi wetu.

Ushabiki wa aina hii ni ushabiki wa kishamba na kifala.
Malinzi alifuatwa na mapanga
Mshindo Mswola alikua analindwa kila kona na mlimfuata hadi kwake.
 
Back
Top Bottom