hasara

Karen Hasara is a Republican member of the University of Illinois Board of Trustees and a past member of the Illinois General Assembly (1986-1995) as well as the Mayor of Springfield, Illinois for two terms from 1995-2003.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Bunge la Tanzania ni mzigo kwa nchi, ni hasara kwa nchi

    Naomba niseme haya ni maoni yangu binafsi, na ni mtizamo wangu binafsi, na ndivyo ilivyo. Bunge la Tanzania lililojaa utitiri wa wabunge hadi wabunge feki, ni mzigo kwa nchi ni hasara kwa nchi wala halina faida yoyote Utitiri wa wabunge wa majimbo, wabunge wa viti maalumu wabunge wa kuteuliwa...
  2. Ghasia Afrika Kusini: Mtanzania apata hasara ya mil 300

    Vurugu zilizoibuka wiki iliyopita nchini Afrika Kusini zimemrudisha nyuma kimaisha Mtanzania Omari Juma, anayeishi na kufanya shughuli zake nchini humo. Juma, aliyekuwa akimiliki studio na kiwanda cha kuchakata chupa za plastiki kwa kushirikiana na raia wa Cameroon, Alino Alino, amejikuta...
  3. Kivuko cha MV. Temesa huipa Serikali hasara ya Milioni 10 kila Mwezi. Kilitengenezwa kwa bilioni 3

    Kivuko cha MV. Temesa, kinachotoa huduma ya usafiri wa abiria kati ya Luchelele Jijini Mwanza na Kijiji cha Ilunda, kata ya Ngoma'B' Wilayani Sengerema kilichojengwa na serikali kwa gharama ya shilingi bilioni 3 kinadaiwa kujiendesha kwa hasara kutokana na kukosa abiria. Hatua ya kivuko hicho...
  4. Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

    Wakuu Ni sawa kwamba wewe ni rijali, kwamba nyoka hachagui shimo. Kwamba ukiona chaka, mavi yanabana. Kwamba una pesa hakuna mbususu itakayokushinda. Lakini watu wazima kutembea na mabinti wadogo ni risk nyingi na laana, Plus kujivunjia heshima Hasara ni nyingi tuone.. 1: Utageuzwa kitega...
  5. Kenani Kihongosi awa Katibu Mkuu UVCCM

    Ni Wazi sasa hawa Vijana wamechoka. Kenani Kihongosi DC wa Iramba ateuliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM. Yule Msanii aliyekua Arusha wananchi wakamlalamikia. ==== Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Kenani Kihongosi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)...
  6. Halotel hamuwezi kufidia hasara (kama mmepata) kwa mtindo huu

    Ndugu wana Jamuhuri ya Muungano, Kwa mnaotumia halotel limewakuta hili? Wiki iliyopita mpaka hii tuliyopo kuna uhuni halotel wanaufanya. Unajiunga GB 1 ndani ya dakika 30-60 unapata na huu ujumbe; Mpendwa mteja! Umemaliza kifurushi chako cha intaneti. Kuendelea kutumia intaneti jiunge tena...
  7. S

    Hasara za kutokuwa na uchaguzi Huru na Wazi (ukosefu wa Tume huru)

    Uchunguzi wa muda mfupi, tuseme uchunguzi binafsi umeonyesha wale viongozi wanaopita bila ya ridhaa za wananchi au wameshinda uchaguzi kwa njia za udanganyifu uliotokana na wao au tume ya Uchaguzi, viongozi hao hawana maadili mazuri na kazi zao na maendeleo yao binafsi huonekana muda mfupi tu...
  8. B

    CAG fanya ukaguzi maalum kwa waliotumbuliwa ili kuona hasara Taifa iliyopata na ushauri mbinu kukabiliana na utumbuaji usio na tija

    Hakuna Jambo linalodhorotesha Utumishi wa umma nchini Kama hii style yakutumbuana kila siku. Viongozi wa nchi wameacha kutafuta suluhu ya matatizo ya wananchi badala yake wamejikita kutumbua kila siku na bila hoja ya msingi. Clip ikirushwa mtandaoni tayari mtu amefukuzwa kazi bila kujali uhusika...
  9. S

    Kupunguza faini kwa makosa ya bodaboda kuna faida au hasara?

    Siku moja niliwahi kushuhudia dereva boda akigongwa na gari wakati akiwakimbia Askari waliokuwa wanamkimbiza kutokana na makosa ya barabarani. Jamaa yule alipasuka kichwa palepale na ikawa mwisho wa maisha yake. Alikimbia faini ya shilingi 30,000 au zaidi akaambulia kifo.. Je, Kwa kuwa faini...
  10. Mauzo ya data Tanzania ni hasara

    Kwa wale waliofuatilia interview ya boss wa Voda Hashim Hendi, ali-hint kuhusu bei za data kwamba makampuni ya simu Tanzania yanauza data kwa Sh1 to 1.2 per megabyte, kama aliyoyasema ni kweli basi nchi nzima makampuni hayana net profit kwenye mauzo ya data na hata process ya kuuza minara...
  11. Mjadala wa kitaifa: Tuziainishe faida na hasara za uraia-pacha (dual citizenship) kwa Tanzania yetu

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na mijadala kuhusu Tanzania kuruhusu uraia pacha. Wapo wanaopendekeza Tanzania kama nchi ikubali uwepo wa uraia pacha ili kuzipata faida zitokanazo na uraia wa aina hiyo. Wapo wenye mtazamo kuwa muda wa Tanzania kuwa na uraia pacha bado haujafika. Hivyo basi...
  12. Chanjo ya Corona ikitolewa kwa hiyari, tutakula hasara

    Ni kwa muda sasa kumekuwa na mjadala kuhusu chanjo ya corona ambayo inawezekana kwa sababu za kisiasa, wameamua kusema kuwa ni hiyari. Ili watu wasione ubaya wa kuchoma. Lakini naomba ni waambie ikiwa ni ya hiyari, tutakula hasara Hasara ya chanjo kuwa hiyari Chanjo tunanunua na kuongezewa...
  13. Lifahamu Vumbi la Congo: Historia, Matumizi, Faida na Hasara zake

    Vumbi hili lina majina mengi sana nayo ni Kasongo, Mundende, putururu, Mpesu, nk. Vumbi hili si vumbi kama vumbi la stoo, barabarani, shambani nk. Hili ni vumbi linalotokana mizizi au Magome ya Mti unaitwa MPESU au Violet tree (kitaalam unaitwa Securidaca Longipedunculata) Basi mti huo husagwa...
  14. T

    Ili tusipate hasara, Serikali ibadilishe Uwanja wa Ndege Chato 75% uwe wa Kijeshi

    Kwa heshima na taadhima napenda kuishauri serikali yetu adhimu,ibadirishe matumizi ya uwanja wa ndege chato ili tuepuke hasara itakayo tokana na uwanja huo kutotumika kikamilifu. Uwanja huu wa kisasa umejengwa huku watanzania wakivutana na kurumbana wengine wakidai umejengwa kisiasa wengine...
  15. Masasi, Mtwara: Watu 11 Wafikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi na kuisababishia hasara Serikali ya zaidi ya Tsh. Milioni 13

    Na Hamisi Nasri, MASASI WATU 11 wa wakazi wa wilaya ya Masasi mkoani Mtwara wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Masasi mkoani humo kwa kosa la uhujumu uchumi na kuisababishia hasara serikali ya zaidi ya sh.13 milioni. Washtakiwa hao walifikishwa mahakamani na ofisi ya taifa ya mashtaka...
  16. House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  17. P

    Ukiondoa hasara ya shirika la Ndege ATCL, ni wapi tena penye ufisadi wa serikali ya awamu ya tano?

    Hivi, ufisadi wa JPM Ukiondoa zile hasara zilizosababishwa na ufufuaji wa shirika changa la Ndege ATCL ni wapi tena palipofanyika ufisadi mithili ya kipindi cha awamu ya nne! Na Kwa nini ufisadi wake umechuja Kwa Kasi ya ajabu kutajwatajwa mitandaoni ili Hali bado tunakumbukia Lichimondi, EPA...
  18. Je, HISA zako zitakuwepo hata kampuni ikifirisika?

    Habari ya muda wanajamvi? Napenda kujua kitu kimoja kuhusu HISA, inasemekana kampuni inapopata hasara basi hakuna gawio. Swali ni kwamba je, HISA zako zitakuwepo hata kampuni ikifirisika na ili uziuze kwa bei ya hasara au ikifirisika unakosa kila kitu. ========= Makampuni mengi yanayokuwa na...
  19. Upinzani bila kubadili siasa mtapata hasara kubwa Kwa Samia..

    Hakuna kitu kinaamua siasa kama 'wakati'.. Wanasiasa wazuri ni wale wanaojua nyakati zinavyobadilika na kwenda na wakati uliopo ... Watanzania walikuwa wamechoshwa mno na siasa za Magufuli...na uongozi wake kiujumla.. Kubanwa Uhuru wa kuongea Kufokewa na kukaripiwa Kutoa matamko Kwa ukali...
  20. Nchi inapata hasara ya bilioni 16.7 kutokana na ubunge hewa wa kina Halima Mdee

    Wakili Emmanuel Chengula amechambua hasara inayosababishwa na ubunge hewa. Taifa letu litapata hasara Kama ifuatavyo endapo Bunge litaendelea kuwakumbatia wabunge 19 ambao hawana chama, na waliofutwa uanachama na chama Cha CHADEMA, na hivyo kukosa uhalali wa kuitwa wabunge kwa mujibu wa ibara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…