harusi

  1. JamiiForums Tanzania Bora kumchangia mtu Mahari au harusi?

    Sio vizuri kuomba omba kwa mambo uliyoyapanga mwenyewe tena na tarehe unaijua ya tukio Ni wajibu kuchangia matatizo kama misiba, magonjwa ajali nk...kwa sababu hakuna mtu anapanga au hujiombea hayo japo yapo kwa kujitakia Lakini kawaida watu husema huwa sheria...tuna desturi ya kuchangia mambo...
  2. JamiiForums Tanzania Harusi ya Jackie Bouvier na John Kennedy 1953

    Wametumia American measures wanasema shela yake ilikua ya urefu wa yadi 50. Mkononi bibi harusi alivaa bracelet ya almasi iliyokuwa zawadi kutoka kwa John Kennedy
  3. JamiiForums Tanzania Nimempelekea kadi ya mwaliko ya harusi X wangu

    Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zangu. Kabla ya kukutana na huyu mwanaume wa ndoto zangu hapo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa. Wakati tunaachana alinitolea mbovu na miapizo kibao. Asa nataka nimjulishe kua nipo na survive na nimempata mtu sahihi...
  4. JamiiForums Tanzania Kufungisha ndoa takatifu huku Bibi Harusi akiwa mjamzito ni kuhalalisha uzinzi

    Nawasalimu katika jina la chama pendwa CCM. Leo nimekuja kitofauti. Leo ninatoa maoni yangu kuhusu mambo ya mapenzi na ndoa. Kabla sijaelezea nataka kila msomaji ajikumbushe ule msemo usemao "fuata maneno yangu sio matendo". Leo nitaongelea kitendo cha madhehebu yetu hasa ya kikristo...
  5. JamiiForums Tanzania Birthday party: Hizi sherehe Huwa zinachangiwa kama ilivyo kwenye masuala ya harusi na send-off????

    Ni kawaida kukuta reservation kwenye mabar, ma pub na maeneo mengi mashuhuri. Hawa wanaokutana as if ni jambo la maana Sana hivi mdg zangu wanachangia au Ndio mambo ya kifahari. Naenda Zang maeneo nakuta Kuna reservation imewekwa🧐💅💅baada ya Muda naona mabox ya keki yakiingia. Ukiuliza ni nn eti...
  6. JamiiForums Tanzania Una lipi la kumshauri bwana harusi?

    Weka ushauri wako kwa bwana harusi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wife kanuna baada ya kuona hizi picha zangu nikicheza kwenye harusi ya jamaa yangu

    Last week jamaa angu alikua anaoa,so kwenye sherehe nikachapa tungi sana then nikakamatia mtoto flani wa kike nikaruka nae debe sana, kumbe mle ukumbini wife alikua na makachero wake ambao walimtumia picha za kila tukio nililofanya. So baada ya kuona picha zangu nimekamatia kiuno cha mtoto wa...
  8. JamiiForums Tanzania Swali kwa wadada, hivi kinachowaliza siku za harusi huwa ni nini?

    Unakuta haamini Kama kaolewa? Anajua anaenda kulala uchi (popo) kila usiku? Anajua msela atabandua papuchi Bila malipo? Au Huwa nimaigizo? Maana nimeshindwa kuelewa machozi yanahusikaje pale
  9. JamiiForums Tanzania Nini kinakufanya usiisahau siku ya harusi yako?

    Vijana wengi tunaogopa kuingia kwenye ishu za ndoa rasmi Ila tunda tunapata adi Basi. Sababu gharama za harusiNni changamoto mno. Je, wewe uliye ingia katika ndoa kwa kufanya harusi Ni Jambo gani linakufanya huitamani hiyo siku kila siku Bila kuisahau.
  10. JamiiForums Tanzania "Usijenge Familia kukiwa kumekuchwa" Vijana Zaeni na oeni mungali mna nguvu

    Wakuu Kwema! Leo sina mengi! Ujumbe huu unawahusu zaidi wasomi hasa kutoka dini ya kikristo. Vijana acheni kusubiri Embe kwenye Mnazi! Msichelewe, ikiwa Una mwenza wako, na una miaka 27-30 amueni kuzaa ikiwa mnaona mambo Yenu bado hayajakaa Sawa. Msisubiri embe dodo kwenye mnazi. Safari ya...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Ndyanao Balisidia aliyeimbiwa mwimbo wa harusi na kaka yake Patrick Balisidia miaka ya 70

    Mwanamuziki wa zamani Patrick Balisidia alizaliwa mwaka 1946, mwaka uliofuata yaani 1947 alizaliwa dada yake aliyepewa jina la Ndyanao. Patrick na Ndyanao walielewana sana na walikua kama mapacha. Siku ya harusi ya Ndyanao, kaka yake Patrick alimuimbia mwimbo wa harusi ambao wengi mnaufahamu...
  12. U

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Harusi ya Mtoto wa Kike wa Rais Museveni aliyeolewa Mtoto wa Jenerali Tumukunde

    Photos attached
  13. JamiiForums Tanzania Harusi ya Nandy na Billnas ni Juni 25, 2022

    Kapo pendwa kunako Bongo Fleva, Billnass au Nenga na Nandy ‘The African Princess’ wanatarajia kufunga ndoa Juni 25, mwaka huu. Hiyo ni kwa mujibu wa Baba wa Nandy, Charles Mfinanga alipokuwa akizungumza mara baada ya hapo jana Billnass kumvisha Nandy pete ya uchumba. Utakumbuka hiyo ni mara ya...
  14. JamiiForums Tanzania Bi Harusi ashindwa kutembea, aona shimo na joka kubwa, ex wake adaiwa kumroga

    Stori ya kushangaza nchini Rwanda imetokea, Bi harusi aliyetambulika kwa jina la Nadine anadaiwa kurogwa na Ex wake ambaye walipendana kwa muda mrefu na ndiye aliyemsomesha. Inaelezwa kuwa jamaa alikuwa akimgharamia kila mahitaji yake yote, alimnunulia gari, viwanja ila mwishowe Nadine...
  15. JamiiForums Tanzania Kama harusi imehairishwa ni vema nikadai mchango nilioutoa?

    Naombeni ushauri wakuu kama mnavyojua tarehe mbaya hizi hapa nilipo nimenasa haswa Sina hata mia yaani ikitokea ghafla bill ya maji au umeme naaibika maana kila ninayemgusa analia njaanuary kapeleka watoto shule. Back to the topic Kuna group letu la shule kuna jamaa yangu tumemchangia mchango...
  16. JamiiForums Tanzania Meya Manispaa ya Moshi: Mapato mengi yanapotea kwenye harusi, MC na wapishi

    Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi akiwa katika kikao cha baraza la Madiwani amesema kuwa mapato mengi yanapotea kwenye harusi,Mc na wapishi wa vyakula hivyo watendaji wa halmashauri wanapaswa kupita mtaani na kumbi za sherehe ili kukusanya mapato hayo kikamilifu. "Tumepitisha makadirio ya...
  17. JamiiForums Tanzania Nilijinunulia Pete, Nikagharamia harusi mwenyewe, Ndoa ikafa baada ya miezi minne

    Mume wangu tulikutana chuo, mimi nikiwa na miaka 20, yeye 21. Tukaanza kuishi pamoja kama mke na mume. Tulikuwa tukiandika majarida mitandaoni ndo tunapata pesa ya kujitunza wenyewe, na ndo pesa nilimsomeshea mdogo wangu kwani mama alikuwa mgonjwa na tuliishi maisha duni sana. Mimi na mume...
  18. JamiiForums Tanzania Dar: Kijana wa miaka 21 AJITOSA kumuoa Mama wa MIAKA 49, Wazazi wamtenga, KAFA KAOZA, atangaza tarehe ya Harusi

    Kwa kifupi tuu, walikutana kwenye daladala, mama alisahau nauli nyumbani, kijana akamlipia na ndio ukawa mwanzo wa uhusiano wao. Aliyeanza kuvunja ukimya ni bi mdashi, kifupi mama alimtongoza kijana, kijana naye akajaa, mama alikuwa muislam lakini amebadili dini na kuwa mkristo ili kumfuata...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Gharama za harusi ya Aristote ni kufuru

    Jionee mwenyewe.
  20. JamiiForums Tanzania Ukiniona nipo kwenye ndoa na sijawahi kukupa kadi ya harusi kwa ajili ya mchango; usiniletee kadi yako ya mchango wa harusi

    Kutokana na ugumu au vipaumbele vya maisha, watu wengi wanajitahidi kupunguza matumizi ya fedha yasiyokuwa ya lazima. Sasa wewe kipato chako hakitoshelezi kufanya sherehe ya harusi kubwa, huku ukitaka sherehe yako ianzie labda milioni 20, wakati wewe kianzio ulichonacho labda milioni 1; hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…