haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Umuhimu wa siasa za mrengo wa kushoto (Ujamaa au Communist) katika maendeleo ya haraka ya Taifa

    Utangulizi Mawazo ya siasa za ujamaa yalichagizwa Sana na mwana falsafa mashuhuri katika Karne ya 19 aliyeitwa "Karl Marx" lakini katika Karne ya 20 Nchi nyingi duniani ziliipokea siasa ya ujamaa kwa vitendo. Urusi ya kale (USSR) pamoja na jamuhuri ya watu wa china yalikuwa ndio mataifa ya...
  2. JamiiForums Tanzania Witness from the front line: Hili zoezi la sensa mlioko juu msiporekebisha haya kwa haraka tegemeeni taarifa mbovu kuwahi kutokea

    Wakat wa wa vita ya pili ya dunia moja ya Siri kubwa Kwa USA na washirika wake kupata ushindi ni kuwasikiliza waliokuwa front line yaani kwenye uwanja wa mapambano , na maoni Yao yalisikilizwa moja Kwa moja na high command na kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo bila mtu wa Kati kuleta siasa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kuhusu tatizo la nyufa ukuta wa nyumba

    Wanajf ninaomba ushauri wa haraka wa nini kifanyike kwani kuta za kakibanda kangu kaliopo Katavi mahali ambapo matetemeko makubwa ya ardhi mithili ya mabomu yanapita Mara kwa Mara zimetoa nyufa nyingi!Nyufa zinaanzia chini na kuishia dirishani,zingine zimepitiliza!Nimeambatanisha na
  4. JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Baa wanahitajika Moshi

    Wahudum wa bar wanahitajika haraka umri miaka 18-30 awe na uzoefu na kazi tajwa msafi na mwenye kauli nzuri kwa wateja. Location Moshi Njia Panda. Kwa wahitaji piga 0685940663
  5. JamiiForums Tanzania Yanahitajika mageuzi ya haraka sana CHADEMA, chama kinapoteza ladha

    Najua CHADEMA Huwa hawapendi kuambiwa chochote. Muda wote wanaona wako sahihi .usiwakosoe usiwaambie hapa mnapotea au pale pametoboka. Wana haiba ya ujuaji ingawa sio wote. Kivyovyote vile lazima tuwaambie ukweli ,CHADEMA ya Sasa imepoa hata viongozi wake wamepoa sana ,hatuoni zile harakati...
  6. JamiiForums Tanzania Njia ya haraka sana ya kufa ukiwa mdogo ni kuendelea kufanya mambo haya

    Watu wanapoteza maisha, na kila siku tunawalilia. Hata hivyo tusichojua ni kwamba baadhi yao, hasa vijana, wanaweza kuwa wamechangia vifo vyao kabla ya wakati wao kwa kujihusisha na tabia fulani ambazo ni hatari kwa maisha yao ya kibinadamu. Baadhi yao hata hawatambui kwamba vitendo au tabia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Graphics designer anahitajika haraka

    Sifa Uwezo wa kuandaa matangazo ya video, animations, posters, banners, n.k Moyo wa kufanya kazi ya kujitolea Kituo cha kazi itakuwa Goba, Dar Es Salaam Hata akitaka kufanyiakazi nyumbani kwake/kazini kwake ili Mradi malengo ya kampuni yatimizwe kwa- wakati Mshahara ni TZS 300,000 kwa- mwezi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Priva atoa boko la Kizz Daniel afuta tweet haraka sana

    Pole sana bwana Shayo najua utakuwa umepigwa mkwara mzito na maboss wako ukafuta tweet ndani ya dk chache, kwani hukujua jamaa jana hakutokea kwenye show iliyoandaliwa na kampuni yenu na vurugu zilizotokea? Ndiyo madhara ya kurukiarukia kila kitu kukifanyia uchambuzi
  9. JamiiForums Tanzania Naomba msaada nijue namna ya kudai haki yangu kwenye hili

    Wakuu naomba nisaidiwe. Nimetoka Mwanza Leo August 5 na basi la Kampuni ya Kapriconi lenye namba za usajili T 320 ADC tukiwa tunaelekea Mbeya. Tumefika saa 3 na nusu usiku , ghafla gari ikaamua kuishia iringa na Sisi abiria kuambiwa tupande coaster na ikaondoka fasts. Kwenye Kosta mlangoni...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka unahitajika wakuu niko njia panda

    Umofia kwenu wakuu Ninahitaji ushauri ipo hivi kuna binti nilizaa naye mtoto mmoja wakati tupo chuo ishu ikafika kwa wazazi nyumbani kwetu hk Njombe sasa washua wanafosi nikakomboe mtoto na mm nimefuatilia kwa binti niliyezaa naye wazazi wake wamesema nitoe million 1na nusu ndo nimchukue mtoto...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku?

    Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku? Michango yenu nitaishukuru sana tu.
  12. O

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mamantilie kisasa inavyoua umasikini Dar es Salaam kwa haraka

    MAMANTILIE Hii ni biashara ambayo watu wamekua wakiuchukulia kawaida lakini imetoa ajira kwa watu wengi katika miji mingi na Leo hii watu wamenufaika sana hivo kwa mtu ambae unahitaji kubadili maisha take kwa namna moja ama nyingine anapaswa kufatilia nakara hii ambayo itakujenga na utafanikiwa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji connection AUWSA - Kuunganishiwa Maji Taka Kwa Haraka

    Kwema Wakuu. Nahitaji Mtu wa Kunisaidia Niunganishiwe Huduma Tajwa Hapo Juu (kwa Haraka). NB: 1. Nyumba Ipo Hapa Arusha (Ya Wapangaji) 2. Mimi ni Muajiriwa Mahali na Sina Muda Wakwenda Kupanga Foleni AUWSA kufuata Procedure/s Karibu PM tuyajenge/tumalizane
  14. JamiiForums Tanzania Nail artist(Mtu wa kutengeneza kucha) anahitajika haraka..

    Anatafutwa mtengeneza kucha.Atakuja siku nne za mwisho wa week tu. Siku nyingine akafanye issues zake.Kwa maana kwamba atafanya kazi siku 16 tu za mwezi. Mshahara atachagua alipweje. 1. 200,000 Tshs kwa hiyo Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili atakayokuja. 2. Hakuna mshahara wala...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya kazi na hujawahi kuona tajiri ndani ya Tanzania achana nayo haraka tafuta kazi nyingine

    Ni kweli kabisa sifa na utu wa mtu upo kwenye kufanya kazi, lakini si kweli kila kazi inalipa , kazi nyingine zinakupotezea muda tu. Kila kazi unayoifanya jitahidi sana kuifanyia tathimini inakupa nini kwenye maisha yako. Je, inakupa pesa inayoendana na kasi na mabadiliko ya maisha duniani na...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa Manara umeshuka, Mwijaku anahitajika haraka

    Baada ya Mwijaku kulalamika kwamba Mo Dewji ana dharau hapokei simu zake na ya kwamba tajiri wa yanga Gharib huwa anamualika mara kwa mara pale salamander nili break news kwamba yupo kwenye negotiation ya kuhamia yanga kwa kupewa millions 60, gari kali pamoja na kupangiwa nyumba masaki Wengi...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka mashine yangu ya kupimia pressure imeharibika, wapi napata fundi?

    Wadau hamjambo Nipo maeneo ya Mbezi beach naombeni msaada kwa mujibu wa kichwa Cha habari. Mashine yangu ya kidigitali ya kupimia mapigo ya moyo imeharibika Baada ya kudondoka chini na hivyo haisomeki vizuri. Wapi napata fundi wa haraka na aliye mjuzi? Nina mgonjwa nyumbani ambaye ni Mama...
  18. JamiiForums Tanzania Taarifa ya tahadhari na ya haraka kwà RTO wa Morogoro

    Kuna boda boda wanapanga kufanya mashindano na wamewekeana dau la laki moja. Ishu iko hivi wamepanga kukimbia bila kufunga break at a maximum speed a motorbike may afford kituo cha kuanzia kiko daraja la Msamvu na mwisho ni Kingolwira. Atakaewahi kufika na kugeuka atapata laki moja na wameweka...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu

    Wanabodi, Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni. Serikali ya...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada au ushauri wa haraka kwa mtoto wa miaka 8 unaitajika kwa haraka

    Naenda moja kwa moja ktk hili jambo kuna mtoto wajirani yangu huyu mtoto ana miaka 8 sasa nahisi ana tatizo la kiafya au kimaumbile . Kuna matukio anayoyafanya hata wazazi wake wanashindwa kuelewa kadharika kwa majirani . 1 dogo ana tuhuma za kusimamisha uume pale anapoona hata paja la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…