Ndugu zangu Watanzania,
Dunia Yatikisika ,Dunia Yatetemeka ,Dunia yaripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kishindo kikuu kilichosikika Duniani kote baada ya Marekani kuikosoa vikali sana na kutaka Mahakama ya ICC kufutwa haraka sana .
Marekani imepaza Sauti yake iliyoitetemesha Dunia...
Tunawafikisha Walimu Bora Mahali Ulipo – Tanzania Nzima!
Je, unataka kuongeza ufaulu wa mtoto wako au kujifunza ujuzi mpya ukiwa nyumbani? Elite Home Tuition Services ndiyo suluhisho sahihi. Tunatoa huduma za walimu wa nyumbani na mtandaoni kwa viwango vyote vya elimu, tukikuhudumia popote...
Joseph Selasini alikuwa ni miongoni mwa Wanamageuzi 15 waliounda Kamati ya Kitaifa ya Mabadiliko ya Kikatiba, The National Convention for Construction and Reform (NCCR) mwaka 1991, wakiongozwa na Mzee Fundikira, Mtikila, Marando, Lwamwai na wengine.
Kwenye kamati hiyo akiwa na Mabere Marando...
Ndizi mbivu za Dar huivishwa kwa kuwekwa katika chumba maalumu cha kuivishia kwa lugha ya kimombo "Ripening chamber". Wakiongezea na kichochezi cha "Ethylene" vinavyowezesha matunda kuiva kwa wakati mmoja bila kuharibika.
Kwa Tanzania wapi ninaweza kupata mtaalamu wa kudesign hizo chamber...
Ni aina ya wanawake ambao wengi hawana hata mafundisho ya kitamaduni ya kuwa mama mlezi, at least hapo zamani yalikuwa yanasaidia kina mama kukuza watoto wa kiume, mfano siku hizi Mama anaoga na mtoto wake wa kiume mwenye miaka 8 wakiwa uchi bafuni, anabadili nguo za ndani mbele yake, kwake...
boy
boys
gani
haraka
hatua
kati
kiume
kizazi
kulelewa
kuokoa
kuona
man
men
namna
pekee
utandawazi
vizazi
vizazi vijavyo
wanawake
watoto
watoto wa kiume
wizara
zinahitajika
Kwa kijana mwenye umri wa 22yrs mwenye mtaji wa 3.5M apa mjini dsm ungemshauri ajikite kwenye biashara zipi zinakazomfanya atoboe kimaisha baada ya miaka michache?
Katambi anataka mkimbilie MAHAKAMA, Ku buy time ya Kupooza Maandamano.
Sasa basi, kwakua DUNIANI kote Hali ni chafu ,kumechafuka.
Zuio la Katambi Leo ni kutusogeza mbele, katipa Back Up ya maana !!.
Heche wewe ni Lissu mdogo, shikilia hapo hapo.
Sasa Dunia inajua Wamekua watu Oktoba 29...
Naanza mimi,
Misemo / quotes - nimeona au kusikia maneno ya hekima au sentensi nzuri, najiambia "nitaitumia baadaye", lakini naisahau kabla sijapata nafasi.
Namba ngeni za simu, huwa nasema nitasevu baadae ila muda unapita nakumuka sikuisevu hasa nikiwa nataka kumtafuta
napoingia youtube...
Wakuu habari Zenu
Dah wimbi kubwa la vijana tumekuwa tunapenda matokeo ya haraka sanaaa yaan boom baah 💥
Manoti hayooo
Hii kitu inapelekea baadhi ya vijana 😂 kutumia fursa hii ya vijana tupendao matokeo overnight kupiga pesa
Wanafungua platform wanaipromote mitandaon kwamba ukijiunga...
Milion Tatu za Maandalizi ya Mazishi Yako Zitapatikana Kwa Haraka Kuliko Laki Tatu za Mchango wa Matibu Yako.
Jamii ya Leo Kuna Ndugu Yao Anaweza Kua Anapitia Kipindi Kigumu Sana Katika Matibabu Yake na Kupelekea Kuomba Msaada wa Pesa Ili Aendelee Kupata Matibabu Ajabu Ndugu Hao Watashindwa...
Vikoba kwa njia ya m koba ya voda jamaa wanatangaza kule fb je hivi inawezakena? Mimi nimeishia nae kwenye chati sasa sijamwelewa nisaidieni
https://www.facebook.com/reel/857641280753316/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Hakuna biashara duniani inayoweza kugeuza maisha ya mtu kutoka umaskini wa kutupwa hadi kuwa bilionea ndani ya masaa 24 kama biashara haramu ya dawa za kulevya (Ubwabwa/Unga). Lakini nyuma ya mamilioni hayo ya haraka, kuna mfumo wa kikatili, usaliti wa kiwango cha juu, na kamba za kunyongwa...
Takriban Wakenya 50 wanaoishi South Africa kupitia kundi la Kenyan Diaspora in South Africa (KEDASA) wameiomba serikali ya Kenya kuingilia kati na kuwasaidia kurejea nyumbani kutokana na hali ya usalama inayozidi kuwa mbaya.
According to reports, wengi wao wamepoteza ajira, wamekuwa wakikumbana...
Je, unahitaji kuagiza bidhaa kutoka India kuja Tanzania kwa bei nafuu, usalama na kwa haraka zaidi?
HARAKA CARGO ni mshirika wako wa kuaminika katika usafirishaji wa mizigo kutoka India hadi Tanzania.
Tunashughulikia usafirishaji wa:
✅ Vifaa Tiba (Medical Equipment) ✅ Dawa za Binadamu ✅ Vifaa...
Shule ya Jokate Mwegelo Girls Sekondari iliyopo Kisarawe ni miongoni mwa shule zinazofanya vizuri kitaaluma, jambo linalotokana na juhudi na kujituma kwa walimu pamoja na wanafunzi wake.
Hata hivyo, shule inakabiliwa na changamoto kadhaa za msingi zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha...
DAR ES SALAAM, JIJI LINALOKUA HARAKA KULIKO MIPANGO YAKE
Nianze kwa RAI kuhusu upanuzi wa Barabara za Sam Nujoma na New Bagamoyo kwa kutumia njia zile zile za awali. Kwa maoni yangu, huenda tumeelekeza nguvu yetu katika suluhisho la muda mfupi sana badala ya muda mrefu. Kinachonisikitisha ni...
My Take
Jarida Maarufu la Habari za Intelijensia na Usalama Afrika "The African Report" limechapisha habari hii kuhusu Wakuu wetu.
Kama sio ukweli na chokochoko za kibeberu kutia chumvi basi ni vyema Serikali ikakanisha.
Mjumbe Hauwawi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.