haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yapinga Uteuzi wa Jakaya Kikwete ndani ya AU, Yataka Mapitio ya Haraka

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiandikia Umoja wa Afrika (AU) kikitoa wito wa kufanyika kwa mapitio ya haraka kuhusu uteuzi wa Jakaya Kikwete kama Mwakilishi wa Ngazi ya Juu wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja huo kwa Ukanda wa Pembe ya Afrika na Bahari Nyekundu. Machi 25, 2026...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Naomba mnieleweshe matuta yanasababishaje mafuta kuisha haraka kwenye ndinga?

    Wakuu, Naomba msaada kwa yeyote anayeelewa namna engine inafanya kazi kwa uhusiano wa tuta na mafuta kuisha. Nilipitia kwenye post ya Eliudi alitoa listi ya matuta Goba then jamaa mmoja akasema ishu ya mafuta kuisha, Nataka kuelewa ili nitathmini kwa mazingira ya barabara ya huku mtaani kwetu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana ,mchapakazi, mwenye uzoefu na shughuli za Library

    Natafuta kijana (anayejielewa),mchapakazi, mwenye uzoefu na shughuli za Library,anicheki ili tufungue ofisi. Atatafuta location bora ambayo kazi itaenda,atanipa mchanganuo wa vifaa vinavyohitajika,then mi nitashghulika na gharama zote ZA AWALI.ITAKUA NI KAZI YA HESABU! Means kila siku atanipa...
  4. pharao

    JamiiForums Tanzania Kwanini 'Wajinga' wanatoboa kimaisha haraka kuliko sisi 'Great Thinkers’?

    Leo naomba tuweke vyeti vyetu vya chuo na zile "A" zetu za sekondari pembeni, tuzungumze ukweli unaouma. Nimekuwa nikifanya uchunguzi wangu binafsi na kugundua jambo moja la kushangaza sana mitaani: Asilimia kubwa ya watu tunaowachukulia kama 'watu wa kawaida' au wasio na uwezo mkubwa wa...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani kwa sasa ambalo ni kero zaidi kwako na ungetaka litatuliwa kwa haraka?

    Ni kero gani kubwa zaidi kwako na ungetaka itatuliwa kwa haraka?
  6. Farolito

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna namna rahisi ya kujua Code ya mtandao wa simu kwa haraka?

    Wakuu, Nimekuwa nikipata changamoto ya kutambua code ya namba ya simu iliyokupigia au uliyopewa na mtu kwa kuangalia maana zinafanana na kila siku zinakuja mpya. Sasa hii inakua Changamoto kama mjuaavyo nchi hii imeshakua ya mabando, sasa unajikuta una dakika za mtandao mmoja tu ambazo huwezi...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi hawa wanatakiwa wafe haraka sana!!

    Katika Uwanja wa vita na Iran Magaidi hawa wanahitajika sana wafe 1. Mojtaba Khamenei – Kiongozi Mkuu 2. Mohammad Qalibaf – Spika wa Bunge la Iran 3. Ahmad Radan – Mkuu wa Polisi wa Iran 4. Gholamhossein Mohseni Ejei – Mkuu wa Mahakama 5. Ahmad Vahidi– Kamanda wa Kikosi cha Walinzi wa...
  8. beatboi

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana wa Car wash haraka

    Anahitajika kijana wa Car wash haraka, Mwenye uzoefu na mwaninifu.
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kutotumia miguu yako vizuri kutakufanya uzeeke mapema na Haraka

    KUTOTUMIA MIGUU YAKO VIZURI KUTAKUFANYA UZEEKE MAPEMA NA HARAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Forever young kama ndio unataka kuonekana na kuwa hivyo basi hii mada inakuhusu Sana. Yaani unataka uonekane Siku zote kijana shupavu usiyezeeka. 2. Wakati wengine wa rika lako wakizeeka na...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wananikataa, nifanyaje ?

    Wasalam Wana JF Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 27 katika harakati zangu zamaisha nimeshakua na mahusiano na wanawake tofauti tofauti na swala la kuchakata lilikua siolakuniumiza kichwa. Mwanzoni mwa mwaka uliopita nilibadili makazi ya utafutaji na mwanamke niliekua nimemweka kwenye malengo...
  11. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Binti anayeonesha uchi mtandaoni ‘Live’, achukuliwe hatua haraka

    DAH tulipo FIKA SIO pazuri, Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta, ALAFU anafunika, SIJUI ni WA bongo hapa, KWA KWELI SERIKALI YETU msichekee HAYA MAMBO tuelekeako WATOTO wetu WA kike wataharibikiwa Kama tunaweza kulalamika acc za wanasiasa FULANI zifungiwee tunaomba na acc...
  12. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Gen Z niwakumbushe jambo moja tu: Uzee unakuja haraka sana kama mafuriko

    Muda unaonekana mrefu ukiwa na miaka 18, 20 au 25. Lakini ukweli ni kwamba miaka inapita kwa kasi ajabu. Jana ulikuwa mwanafunzi, ghafla una miaka 30 unajiuliza muda ulienda wapi. Ndiyo maana: • Jifunze mapema • Fanya kazi kwa bidii • Jenga nidhamu • Heshimu muda •Acha masihara na maisha...
  13. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka jinsi ya kupika Vinamba

    Habari Wamama naomba mnielekeze jinsi ya kupika Vinamba please 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Monetary doctor
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Una gari, pikipiki, jenereta nunua mafuta ya kutosha haraka weka ndani

    Huu ni upendo mtu kukukumbusha jambo jema kwa faida yako . Siku za usoni aidha mafuta yatapanda bei au kupotea kabisa.
  15. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akitoka period muwai haraka haraka anakuwaga mtamu balaa

    Mwanamke akitoka period muwahi haraka haraka kwanza anakuwaga ana hamu ya mapenzi sana yani nyege zinajaa K ukiigusa ya motooo Yani mda mwingine unakuta anajibinua binua ovyo kumbe anataka mshedede
  16. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania NILIPOKUA Mkoa X nikapatiwa Dawa ya Maajabu kwa ajili ya Matibabu ya Haraka, Nikapona

    Nilipokua Mkoa X Mwaka Z, ghafla tu nikaanza kuumwa ugonjwa fulani siuelewi ulipotokea mpaka nikaanza kuhisi labda nishapigwa kipapai au namna gani vile maana ule Mkoa unasifika kwa hayo masuala ya kuroganarogana tu, usiku hakulaliki mchana hakukaliki na haakutembeleki baridi sio baridi joto sio...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Usioe haraka mwanamke ambaye amekimbiwa na mtu aliyepeleka kishika uchunba au aliyetolewa mahali alafu akakimbiwa

    Utakutana na scenario mbili 1. Familia yao Wana tabia flani mbaya hasa wakweo mfano tabia za kinyonyaji na kuendelea umasikini. 2.Matatizo ya uzazi. Na vizazi hatakama utabahatika kuyest mitambo. Mengine wadogo zangu WATAKUPA ushuhuda..
  18. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Raha ya pombe ulewa haraka

    Wakuu naandika huu Uzi nikiwa mitungi kinoma noma. Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ya ULEVI na nimepiga nusu glass na kulewa chakariii.. Kuna bia zimetengenezwa na mkono wa jini wa jomba aminini nawaambia , alcohol ndogo ila Busta lake ni barahaaaa!!!
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tulikimbilia kudai uhuru wa nchi haraka ukilinginisha nchi ambazo zilichelewa ukipelekwa utaona utofauti

    Kujiendesha hatuwezi kiufupi kama taifa. Ila wakoloni wa kizungu wangebaki nahisi tungekuwa mbali sana kimaendeleo kama kusingekuwa na vita vya kwanza na vya pili duniani. Nchi kama south Africa walichelewa kupata uhuru ila kwa maendeleo yaliyokuwepo tu unaona.Ila kupewa watu weusi ndio kama...
  20. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kwenu TRA, StarLink ina kodi tamu, wahini mshiko haraka, Elon Musk analipa kodi nzuri tena kwa wakati na analipa in USD

    TRA msipitwe na gari la mshahara TRA kataeni siasa chukueni Pesa TRA mleteni mjomba StarLink msipoteze muda kwenye pesa Nchi zilizochelewa kuipokea zimegundua kuwa zilijikosesha mamilioni ya USD kwasababu Elon Musk analipa kodi kwa wakati na jambo kubwa zaidi hana longo longo kipengele mje...
Back
Top Bottom