happy birthday

  1. R

    Happy birthday Rais Samia Suluhu, umeupiga mwingi 2025

    Haya mwageni wishes zenu hapa mama anapokea :AlizeePLS::AlizeePLS::AlizeePLS:🎂
  2. Happy birthday Minnie💛

    Happy birthday
  3. Happy birthday to me

    No reform No election Miaka niliyoingia mwaka huu inaniogopesha kuliko last year Am 28 years old Sina ninachomiliki Age goo Mit 4:23 Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
  4. Happy Birthday, Mr President na Penzi zito la Marilyn Monroe kwa Rais Kennedy

    Usiku wa jumamosi ya tarehe 19 Mei, 1962, katika ukumbi wa Madison Square Garden, New York, uligeuka kuwa jukwaa la historia ambalo halitokuja kuandikwa vizuri hata kidogo katika siasa na burudani ndani ya Taifa la Marekani. Ni usiku ambao Marilyn Monroe, mrembo mwenye mvuto wa kipekee, aliimba...
  5. Happy birthday Mawardat🥰

    Wassalaam. Happy birthday my lovely sister🥰 Allah akulinde,uishi kipenzi🥰
  6. Happy birthday Smart911

    To my man my forever love a partner in crime.To the light of life my Prince Charming, To my soulmate my rock. To my entire world the man of my dreams. You have always been my number one my favorite. Happy birthday to my friend my best friend a best friend in deed! Tamu yangu ya muda wote😋💕 I...
  7. Happy birthday to me, mama Mchungaji wa JF

    Happy birthday 🎉 to me.. Happy birthday to me mama mchungaji wa JF... Asante Mungu kwa kuniongezea zawadi ya mwaka mwingine... NB: Ujana wangu umeurejesha kama Tai Swali: Je, wewe Ujana wako umerejeshewa kama Tai...?
  8. HASZU KAMA HAPPY BIRTHDAY YAKO YA MWAKA HUU BADO NATAKA NIGHARAMIE KILA KITU

    Nawasilisha Kama shughuli au jambo lako la happy birthday kwa mwaka huu bado halijapita naomba nigharamie shughuli nzima, kuanzia ukumbi au kama utaka kwenda beach, vinywaji hata kama unataka kufunga rusha roho au kigoma mm nipo tayari kugharamia. Nisiengee sana wasije sema Sina Hela watu wa...
  9. Mtetezi wa Haki za Wasichana Duniani na Mshindi wa Tuzo za Nobel MALALA yuko Nchini, Serikali Iko bize kuhudhuria Happy Birthday za Wasanii

    Aliyeturoga hii Nchi , alishakufa !!. Huyu Binti Malala , Mtetezi wa Haki za Waschana Duniani na Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Mschana alonusurika kuuwawa Kwa kupigwa Risasi za Kichwa kama Alivyonusurika LISSU , hamna asiyemjua. Jicho la Dunia lote liko linamlinda, popote anapoenda , Mguu wake...
  10. Happy birthday to you, President Donald J. Trump!

    Better late than never... Happy birthday to you, President Donald J. Trump! As Philippians 4:8 reminds us, “Whatever is true, whatever is noble, whatever is right, whatever is pure, whatever is lovely, whatever is admirable—if anything is excellent or praiseworthy—think about such things.”...
  11. Happy Birthday To you

    Heeey,. Hope you good. Najua haiwahusu lakini leo ni birthday ya wazazi wangu wote wawili😍😍😍.. ( Wanashare birthdate lakini kila mmoja na mwaka wake)... But naandika huu uzi special kwajili ya Baba yangu Cause najua atasoma kwasabu yupo humu,. Dear Dad,. As we celebrate your 65's birthday...
  12. Happy Birthday Mahondaw Wangu

    Today is all about you, Mahondaw, the light of my life, the one who makes my world brighter just by being in it... Every moment with you feels like a beautiful gift, and today, I celebrate the amazing person you are... Your heart, your smile, your strength, and your love inspire me more than...
  13. Happy birthday to me Trudie

    Kwanza namshukuru sana mwenyezi Mungu kuiona siku ya leo. Happy birthday to me, leo nimetimiza miaka kadhaa duniani hapa. Nimeingia floor ya tatu na zaidi, sina mengi niliyofanikiwa ila namshukuru Mungu kwa machache niliyo nayo na ninajivunia. Kama kuna member nashare nae siku ya kuzaliwa leo...
  14. Happy Birthday to Me

    I'm so happy today, I celebrate another year in my life. I would like to share this information so that I can earn something new from this platform. I expect to get sometips about opportunities in Tanzania especially in agriculture sector but not only that, I would rather to get in touch with...
  15. Halafu mwanaume unawezaje kwenda photoShop kupiga picha za kupost siku ya Happybirthday yako?

    Ni kweli hainihusu kabisa lakini lazima uambiwe ukweli bana. Mwanaume unatakiwa uwe tofauti na jinsia ya kike bana. Mods ni Vyema na haki sasa mkawaorodhesha watu wenye I'd zaidi ya moja maana tunapata upinzani mkali sana kumbe unashindana na jamaa yuleyule mwenye ID 3 😁 Mkiwaorodhesha...
  16. Happy Birthday to me Realmamy

    Najiombea mafanikio mengi zaidi katika maisha yangu. 🙏
  17. Happy Birthday Magige Nyerere

    Leo April 21 ni birthday ya Magige Nyerere mtoto wa tatu Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Magige yupo Dar es Salaam sasa hivi. Ni graduate wa UDSM ambapo alipata shahada ya Bsc. Electrical Engineering.
  18. Happy Birthday Steven Seagal! 🎉

    A very happy Birthday Steven Seagal 🎉 What's your favorite film he's starred in?
  19. Happy Birthday Aliko DANGOTE - Simba wa Afrika

    Leo ni siku ya kuzaliwa ya Aliko Dangote – bilionea namba moja Afrika na mfano wa kuigwa kwa wawekezaji wadogo. Kupitia safari yake ya kibiashara, tunajifunza kuwa mafanikio makubwa yanaweza kuanzia Kwa hatua ndogo kabisa. Dangote alianza na biashara zake Kwa mkopo, aliaminiwa na kukopeshwa na...
  20. Happy birthday Taikon Master

    Happy birthday Darling. I'm not good in writing sorry for this. To me wewe ni special gift and I always thanks God to have you🥰🥰. You know how much I love you. Mungu akupe maisha Marefu My Micky My super T. Mwaaah!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…