umeanza kutumia simu 2016?Sijawahi kutumia mtandao tofauti na halotel.
2017umeanza kutumia simu 2016?
Fine2017
Indeed... nikadhani ni huku tu!Wana vifurushi vizuri ila mtandao wa internet upo chini
Hata huku ni changamotoIndeed... nikadhani ni huku tu!
Labda miji na miji, ila mji niliopo mtandao upo chini ukilinganisha Voda na YasInategemea na maeneo,mijin mtandao unakimbiza kama Kawa.. 🙏
Kila la heri kwao kwenye soko gumu lenye ushindani wa KimawasilianoYero! Subai na Halotel.. 🤏🏽
Wewe ni gen alfaSijawahi kutumia mtandao tofauti na halotel.
Hapana! Nilichelewa kutumia simuWewe ni gen alfa
HAPPY BIRTHDAY, HALOPESA!Leo Halopesa inasherekea miaka 10 ya kurahisisha maisha ya kidijitali.. 🙏