hanang

Hanang District is one of the six districts of the Manyara Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Mbulu District and Babati Rural District, to the southeast by the Dodoma Region and to the southwest by the Singida Region. Mount Hanang is located within the boundaries of the district.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Hanang District was 205,133. According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Hanang District was 275,990.The District Commissioner of the Hanang District is Moses B. Sanga.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Umoja wa Makanisa ya CPCT yafariji waathirika wa Maafa Hanang

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ameishukuru uongozi wa umoja wa Makanisa ya Kipentencoste Tanzania (CPTC) kwa namna walivyoendelea kuonesha upendo kwa kuchangia mifuko 500 ya saruji kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope na mawe kutoka Mlima...
  2. M

    Kwa maafa ya Hanang' serikali iwe inasikiliza wazee

    Wakuu,kwa taarifa nilizozipata mlima Hanang' hua unautaratibu wa kufanyiwa matambiko, Mlima ulianza kuunguruma tangu mwezi wa Tisa ,wazee wa mlima Hanang' wanajua ulikua unaashiria Nini Mlima huo unapoanza kutoa ngurumo na kutikisika wazee hua wanajua unaashiria Nini Kikawaida hua wanapanda...
  3. Stuxnet

    Janga la Hanang: Mama Samia ni Comforter in Chief wa Kiukweli

    Namsikiliza Rais Samia akijiandaa kupokea misaada ya waathirika wa mafuriko ya Hanang. Kwa namna anavyoongea, kweli yeye ni "Comforter in Chief". Yule mwendazake kwenye tukio la earthquake ya Kagera alisema "Serikali haikuleta tetemeko" na kisha akala fedha za waathirika wa tetemeko.
  4. S

    Majanga Hanang majibu ya kebehi ya wataalam TANESCO kuhusu suala la umeme

    Mungu hamfichi mnafiki.Msemo maarufu wenye miaka mingi. Wataalam wa shirika la ugavi wa umeme TANESCO wamejibiwa na Mungu mwenyewe pale walipojibu shutuma kwanini umeme haupatikani huku mvua zikinyesha. Wakasikika wakisema zinanyesha katika mikoa mingine mbali kabisa na kule Mtera ambapo kuna...
  5. Stephano Mgendanyi

    Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) yatoa tena lori la vifaa vya msaada Hanang'

    Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amekabidhi Lori tatu za vifaa vya Msaada kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe Queen Sendiga ikiwa ni muendelezo utoaji wa misaada kwa watu waliopata majanga. Akizungumza Mara baada ya kukabidhi Misaada hiyo Mwenyekiti Chatanda amesema...
  6. Kingsmann

    Maelezo ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara kuhusu kilichotokea Mlima Hanang

    Naweza kusema haya sasa ndiyo maelezo sahihi ambayo yana make sense, maana kama umemaliza form 4 naamini umesoma Geography, na hizi mambo za Mass Wasting na Mud Slides ni vitu tulivyosoma kwenye Physical Geography. ★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★ Dr. Derick Magoma, Ph.Dambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA...
  7. Erythrocyte

    Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

    Tulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu . Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona...
  8. P

    Maafa Hanang yanatumika kisiasa kwa maslahi binfsi na kujipigia chapuo

    Ziara ya Rais Hanang ilitakiwa kuwa very brief, kuangalia madhara yaliyotokea, atoe pole, basi. Nina Imani Rais alishapewa ripoti nzima ya hali ilivyo Hanang na hivyo alikuwa walau na picha ya yaliyojiri, leo ilikuwa kwenda kuwaona waathirika na aongeze nguvu kwa waathirika angalau kuwa sehemu...
  9. Jbst

    Kilichotokea Hanang, kikitokea Mwanza itakuwaje?

    Nimejaribu kufikiria tu huko Hanang kwa yaliyotokea sasa hebu tujiulize ile milima ya Mwanza na yale mawe makubwa itakuwaje? Tuombe Mungu isitokee kabisa huko mwanza. Kuna mawe ni makubwa kuliko hata nyumba ya gorofa moja yapo milimani huko yananing'inia tu, haya yakiporomoka mpka huku...
  10. Blender

    Serikali kwanini inaficha picha za Katesh, Hanang?

    MANYARA: Mafuriko yaliyosababishwa na Mvua zilizonyesha kuanzia Desemba 2 huko Hananga ,yameleta maafa makubwa,vifo , uharibufu wa Mali. Maporomoko ya mawe, miti , Tope kutoka Mlima Hanang yakielekea katika Mji wa Kateshi yakiwa na nguvu yamebomoa nyumba za wananchi. Lakin mpaka Sasa bado...
  11. Roving Journalist

    Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh. https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8 Rais Samia...
  12. Chachu Ombara

    CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  13. JanguKamaJangu

    Rais Samia awasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro ili kuelekea Katesh Wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa.
  14. E

    Ishara za tukio la Hanang zinaashiria kubomoka kwa bwawa la maji kulikoni

    Kama mtaalamu niliyeshiriki kujenga vyanzo vya maji mbalimbali pamoja na mabwawa ninapata shida kuamini kuwa killchotoea Hanang ni natural land slide Kiwango kikuubwa cha maji kikifuatiwa na tope mda mfupi tena vinatiririka njia ya mto ni kuashiria storage ya maji upsteams kubomoka. Sasa...
  15. Patriot

    Ngorongoro wanajengewa nyumba, Hanang pia wasaidiwe ujenzi wa nyumba

    Mjadala wa siku nyingi ni juu ya pesa inayotumika kujengewa wanaohamishwa Ngorongoro. Sasa tutathibitisha mauzo ya mwarabu. Serikali haitaki kusema ni pesa ya mauzo ya Ngorongoro, ina maana ni pesa ya serikali. Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63 Kama...
  16. Faana

    Msaada wa Bunge kwa Wahanga wa Mafuriko Hanang

    Nimesikia katika kipindi cha Nipashe Radio One kuwa Bunge limetoa kilo 3000 za mchele na unga pamoja na kilo 15 za sukari na kiloo ? za mbegu, je idadi ya wahanga imefikia wangapi hivi sasa?
  17. Tomaa Mireni

    Kilichotokea Kateshi, Hanang kitatokea tena Same na vitongoji vyake mara nyingine. Msije kushangaa

    Kwanza nawapa pole wote waliokumbwa na janga lililotokea wilaya ya Hanang mji mdogo wa Kateshi. Jambo la kujiuliza tutaendelea na majanga ya aina hii mpaka lini kwanini hatujifunzi? Mwaka 2009 lilitokea janga kama hili kule Same...
  18. Erythrocyte

    CHADEMA HQ yaanzisha harambee kuchangia Hanang

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang, ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa awali, hata kama siyo kwa 100% Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba MKONO WA KUTOA UNA BARAKA NYINGI...
  19. kavulata

    Vifo Katesh; Je, Tanzania kuna milima mingine kama mlima Hanang?. Serikali imechukua hadhari gani?

    Tunasubiri vifo ili turushe helkopta kuangalia kiwango cha uharibifu na idadi ya waliokufa badala ya kunusa mapema hatari na dalili vifo. Kwa kilichotokea Hanang ni matokeo ya mipango mibaya ya watanzania wenzetu tunaowalipa kwa kazi ya kutulinda na majanga. Kuna idadi kubwa ya watanzania ambao...
Back
Top Bottom