Kwa maafa ya Hanang' serikali iwe inasikiliza wazee

max as well

Senior Member
Sep 10, 2023
114
252
Wakuu,kwa taarifa nilizozipata mlima Hanang' hua unautaratibu wa kufanyiwa matambiko,

Mlima ulianza kuunguruma tangu mwezi wa Tisa ,wazee wa mlima Hanang' wanajua ulikua unaashiria Nini

Mlima huo unapoanza kutoa ngurumo na kutikisika wazee hua wanajua unaashiria Nini

Kikawaida hua wanapanda mlimani wazee wa kibarabaigi huufanyia matambiko kwa kuchinja ng'ombe,pombe na hatimie mizimu husikia na kutulia

Kilichotokea Hanang' mlima ulianza kuunguruma Toka mwez wa 9 na kutikisika kidogo,kama kawaida ya Mila na desturi lazima tambiko lifanyike

Wazee wakajipanga wakati wanaenda mlimani wakakutana na watu wa misitu(maliasili) wakafukuzwa milimani

Wazee waliapa kitachotokea mwaka huu lazima nchi itikisike ,baada ya siku 3 likatokea la kutokea watu zaidi ya 80 wamekufa

Hakuna Cha mudflow,land slide,debris flow ,ni kukaidi Mila na desturi za eneo husika zisifanyike ,

Chonde chonde serikali,YA KAISARI MUWAACHIE YA KAISARI ,yakwenu fanyeni yenu,

Tumepoteza watu wengi kisa tunajifanya hatujui Mila na desturi za eneo husika

Kama unabisha waulize watu wa Hanang' asili ya mlima huo
 
Wazwee na wenyeji wengi wa hanang walikataa hyo sehemu iliyotokea majanga kujengwa na hakuna hata mmoja anayeishi maeneo hayo wamejenga sehemu moja inaitwa lamai kwa hyo ukiachana na yote ile ilikuwa njia ya maji tokea zamani na tukio kama hilo lishawahi kutokea miaka ya nyuma ni majanga kwa kweli kwa kilochotokea watu wamepotea.
 
😂😂😂😂😂ila wazee wa bongo bwana, yaani wanazinguliwa na maliasili, wanaipa laana hanang nzima, na vizazi vyao, mali zao. Watoto wadogo kwa wa mama, wamemezwa na tope. Nao wamefurahi au. This stry has something fishy.
Unaleta stry za landslide na mila hapa.
Landslides ni notorious can't be predicted my brother, njia pekee kufanya landslides isitokee ni gharama. It imposes alot of mechanisms bro. Usiwauzi wazee tuwaone vichaa.
 
Mmeshakuja na imani zetu,hili bandiko ni taarifa sio imani
😂😂😂😂😂ila wazee wa bongo bwana, yaani wanazinguliwa na maliasili, wanaipa laana hanang nzima, na vizazi vyao, mali zao. Watoto wadogo kwa wa mama, wamemezwa na tope. Nao wamefurahi au. This stry has something fishy.
Unaleta stry za landslide na mila hapa.
Landslides ni notorious can't be predicted my brother, njia pekee kufanya landslides isitokee ni gharama. It imposes alot of mechanisms bro. Usiwauzi wazee tuwaone vichaa.
 
Asante kwa Bandiko lenye imani za mizimu ndani yake.

ACHA IMANI POTOFU MKUU

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Marekani tu mpaka leo red Indians wanaendeleza mila zao,na wamarekani wanaitambua mila zao

Wakati msiba wa malkin uliona wale askari wakiwa na mbuzi,wee endelea kusema kusema ohh mila potofu

Hivi unajuwa wakati wazungu wako shinyanga mwadui kwenye almost
Huko walikuwa wanafanya matambiko

Nyie endeleeni kuleta dharau

Ova
 
Tuna safari ndefu sana kufukia ukweli. Hivi kweli tukio hilo linatokana na tambiko. Mbona.matukio ya aina hiyo yanatokea mara kwa mara duniani. Ehee kilosa madaraja yanakatika kwa mvua ni matambiko? Mvua inanyesha nchi mzima kwa sasa. Tambiko gani taifa halikufanya? Tuache mambo ya kizamani.

Ni sawa na mbunge mmoja aliyesema kuvalisha ngombe hereni ni ushoga. Ushamba tu.
 
watu wa maliasili huwa hawazuii jadi za watu wa eneo husika kama zilikwepo miaka na miaka
labda kama ni mpya.
yote kwa yote saiv tutazungumza yote
 
ila wazee wa bongo bwana, yaani wanazinguliwa na maliasili, wanaipa laana hanang nzima, na vizazi vyao, mali zao. Watoto wadogo kwa wa mama, wamemezwa na tope. Nao wamefurahi au. This stry has something fishy.
Unaleta stry za landslide na mila hapa.
Landslides ni notorious can't be predicted my brother, njia pekee kufanya landslides isitokee ni gharama. It imposes alot of mechanisms bro. Usiwauzi wazee tuwaone vichaa.
Mali asili wapuz sana

Wanajifanya wao wanaijuwa hyo milima kuliko wazee wa hapo

Kilichotokea kiwe funzo kwa wengine

Ova
 
Mkuu hii ni taarifa ya Hanang' over sio hisia Wala mawazo,wewe unaweza kua umezaliwa mbez beach Toka umekua unajua kupanda daladala na kupiga selfie unajifanya unaisemea Tanzania ni kubwa sana,acha zarau ,ungekua umewai kukaa ndichi kuchunga ng'ombe izi mambo ni kawaida sana

Back
Top Bottom