Naomba kutoa changamoto kwa Maafisa Utumishi na Ofisi ya Masijala kuacha kufanya kazi kwa mazoea na kuhakikisha stahiki za watumishi zinashughulikiwa kwa wakati na kwa ufanisi.
Mimi ni miongoni mwa watumishi wapya ambao hatujaridhishwa na majibu tunayopata kutoka kwa baadhi ya Maafisa Utumishi...
Anonymous
Thread
halmashauri
kero
maafisa
maafisa utumishi
masijala
mji
njombe
utumishi
watumishi
Fedha za OC (Other Charges) zinalenga kuwezesha uendeshaji wa shughuli za ofisi, ikiwemo kugharamia stahiki mbalimbali za watumishi zinazohusiana na utekelezaji wa majukumu yao.
Cha kusikitisha, watumishi wa kawaida wanapofanya kazi za ziada (Extra Duty) na kuwasilisha madokezo ya malipo, mara...
Anonymous
Thread
fedha
halmashauri
idara
katika
mbeya
posho
wakuu
wakuu wa idara
wilaya
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI WA USHURU WA BAJAJI KATIKA KITUO CHA MABASI CHA MAGUFULI
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kwamba viwango vya ushuru vinavyotozwa kwa bajaji katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli vinatofautiana kulingana na aina ya huduma inayofanyika...
Tunakuomba Waziri wa TAMISEMI kushughulikia matatizo ya watumishi, hasa waajiriwa wapya katika kada ya elimu nchini. Tumekuwa tukinyanyasika kwa kutopata stahiki zetu za kiutumishi, hususan fedha za kujikimu.
Wengi wetu tuliajiriwa ndani ya siku 100 za Mama Samia mwezi Januari. Hata hivyo...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedha za kujikimu
halmashauri
january
kada
kujikimu
mpya
pesa
pesa za kujikimu
singida
uvuvi
wilaya
Walimu walioajiriwa mwaka 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuliporipoti kazini hadi leo, huku kimya kikiwa kimetawala na bila kupewa maelezo yoyote.
Kila tunapojaribu kuhoji, tunakutana na vitisho kutoka kwa viongozi, wakati wenzetu wa kada ya...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
bukombe
fedha
fedha ya kujikimu
fedha za kujikimu
halmashauri
kujikimu
mpya
walimu
walimu ajira mpya
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amezitaka Halmashauri zote nchini kutumia michezo kama nyenzo ya kuimarisha afya, ustawi, mshikamano na tija kwa watumishi, ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi.
Prof...
Walimu tulioajiriwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu (Kasulu DC) mwezi Julai 2025 bado hatujathibitishwa kazini hadi sasa.
Hatujapewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa uthibitisho huo, hali ambayo imekuwa ikitutia wasiwasi na kutokuwa na uhakika kuhusu ajira zetu.
Tunaomba...
TAARIFA KWA UMMA
Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha inapenda kuujulisha umma na wadau wote kuwa taarifa iliyosambazwa kupitia JamiiForums ikidai kuwa watumishi wanaoenda likizo mwezi Juni hawalipwi stahiki zao za likizo kwa kisingizio kwamba watumishi wanaoenda likizo ni wengi, si ya kweli na...
Idara ya Maendeleo ya Jamii, bado hatujalipwa kabisa Fedha za kujikimu hadi sasa katika kipindi cha miaka mingi sana. Tangu tumeajiriwa mwaka 2023, mwaka 2024, mwaka 2025, na mwaka huu 2026.
KERO, yetu ni hiyo yaani kila muda tunaulizia, wanasema andikeni barua... Ukweli ni kwamba Barua...
Anonymous
Thread
bado
chato
fedha
fedha za kujikimu
geita
halmashauri
kujikimu
watumishi
watumishi wapya
wilaya
My Take
Heko Prof.Kitila Mkumbo Kwa kuona jambo hili.Hawa watu kazi Yao kubwa ni kuanzisha tozo na Ushuru Kwa jina la kubuni vyanzo vya Mapato mwisho wa siku zinakandamiza jitihada za kukuza Uchumi na kujikwamua kwenye umaskini.
Hatuwezi Kufikia Uchumi wa Dola Trilioni 1 Kwa kushadidiq sera...
Sisi ni walimu wenye shahada tulioajiriwa Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama. Tumekaa miezi minane tukisubiri malipo ya fedha za kujikimu na nauli, tukiamini kuwa hatimaye tutalipwa stahiki zetu.
Leo fedha zimefika, lakini tumelipwa TSh 250,000 pekee badala ya takribani TSh...
Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ haijalipa fedha za stahiki kwa wakulima na wafugaji walioshiriki katika Maonesho ya Nane Nane yaliyofanyika katika Viwanja vya Themi-Njiro, Arusha, kuanzia tarehe 28 Julai hadi 9 Agosti.
Tunapowasiliana na Afisa Kilimo wa Wilaya kuhusu malipo hayo, majibu...
Anonymous
Thread
arusha
halmashauri
hanang
malipo
maonesho
maonesho ya nanenane
nanenane
wakulima
watumishi
wilaya
wilaya ya hanang
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetoa ufafanuzi kuhusu uendeshaji, utaratibu wa maegesho, pamoja na utozaji wa faini kwa vyombo vya usafiri wa umma, hasa pikipiki za miguu miwili (bodaboda) na miguu mitatu (bajaji), ili kuondoa taharuki na usumbufu kwa madereva pamoja na wananchi.
Akijibu...
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imesainisha ajira mpya kwa watumishi, huku kukiwa na malalamiko kwamba walioajiriwa wameelezwa kuwa watapokea nusu tu ya fedha walizosaini kwenye mikataba yao ya ajira.
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
hela
kakonko
mpya
nyingi
pesa
pesa nyingi
sana
wilaya
Nimeona bora suala hili lifike kwenye mikono ya umma, kwani kuendelea kubaki kimya inamaanisha hali itakuwa ngumu na mazingira magumu ya kazi kwetu.
Watumishi wengi wa umma Moshi tunafanya kazi kwa kujituma lakini linapokuja suala la kupata stahiki zetu za kisheria kama posho, malipo ya muda wa...
Anonymous
Thread
halmashauri
mazingira
moshi
stahiki
upendeleo
watumishi
wengi
wilaya
Walimu tulioajiriwa mwezi Januari mwaka huu hadi sasa tumefikisha miezi minane bila kulipwa stahiki za fedha za kujikimu.
Tunaomba JamiiForums itusaidie kupaza sauti yetu ili kilio chetu kifike kwa wahusika. Wakati watumishi wa afya walioajiriwa kipindi kama sisi tayari wamelipwa stahiki zao...
Anonymous
Thread
ajira mpya
fedha za kujikimu
halmashauri
january
walimu ajira mpya
Halmashauri ya wilaya ya Nzega -Tabora haijatulipa fedha za kujikimu walimu wa ajira mpya 2026 badala yake imewalipa watumishi wa afya pekee, hii sio haki kwa watumishi wengine Kwani wote tuna haki ya kulipwa fedha hizo, mkurugenzi amekaa kimya na hakuna majibu ya kueleweka kuhusu jambo hili.
Kuna hili sekeseke la HALMASHAURI kupima na kuuza viwanja sehemu mbalimbali za nchi. Viwanja hivi vinauzwa kupitia mifumo mbalimbali ikiwemo Tausi.
Ni kweli viwanja hivi vimepimwa lakini changamoto kubwa ni kwamba baadhi ya maeneo wale locals wanakuwa kama hawajashirikishwa au kama...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeanza kuzihoji Halmashauri 39 kutoka Mikoa 15 zilizobainika kuwa na hoja mbalimbali katika Taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za Mwaka wa Fedha 2023/2024 na 2024/2025.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.