Habar za wakati huu.!Mimi ni mdau na mwananchi na mtumishi katika taasisi ya serekali kero yangu ni moja hasa katika Wilaya ya Handeni katika Halmashauri ya Mkata(handeni)Watumishi wa hapa wamekuwa wakitembea na wake za watu na pia waume za watu wamekuwa wakitembea na wajirani wapya au mabinti...
Anonymous
Thread
familia
halmashaurihalmashauri ya handeni
handeni
kutelekeza
watumishi
watumishi wa halmashauri
Katika Halmashauri ya Mpimbwe, kuna malalamiko kwamba kuhoji matumizi ya fedha za umma kunachukuliwa kama kosa badala ya njia ya kuimarisha uwajibikaji.
Inadaiwa kuwa Katibu wa Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe, ambaye aliomba ufafanuzi kuhusu matumizi ya fedha za makusanyo ya hospitali...
Anonymous
Thread
halmashauri
katavi
matumizi ya pesa
mpimbwe
mtumishi
Watumishi tulioajiriwa mwezi Novemba mwaka 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga, bado hatujalipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu hadi leo.
Baada ya kufuatilia suala hili, uongozi ulituelekeza kuandika barua za madai. Tulifanya hivyo, lakini barua hizo zimebaki kwenye...
Watendaji wa halmashauri ya wilaya ya mkuranga wanatoza ushuru wa manunuzi ya viwanja vya futi 50/40 kwa wananchii wanayonunua viwanja hiyo.
Huku wakitambua kuwa ni kosa kisheria kuuza viwanja hivyo na kutoza tozo hizo ambazo ni kinyume na taratibu za mipango miji.
Kwa mfano mwananchi...
Anonymous
Thread
halmashaurihalmashauri ya mkuranga
kinyume
mauzo
mkuranga
ushuru
vijiji
viwanja
wanunuzi
watendaji
watendaji wa vijiji
Watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya katika Halmashauri ya Mkalama wamepewa fedha za kujikimu, lakini sisi walimu wa ajira mpya hadi sasa hatujapokea hata shilingi moja.
Hali hii inakatisha tamaa na inazua maswali kuhusu usawa katika kuwahudumia watumishi wa umma.
Tunaomba mamlaka husika...
Anonymous
Thread
ajira mpya
fedha za kujikimu
halmashauri
kada
kada ya afya
kujikimu
mkalama
sawa
sio
walimu ajira mpya
watumishi
watumishi ajira mpya
Mnamo tarehe 4 Juni 2026, Katibu Mkuu wa TAMISEMI alitoa barua iliyoonesha kiasi cha fedha zilizotolewa kwa ajili ya malipo ya posho za kujikimu na nauli kwa watumishi wapya wa afya walioajiriwa kati ya Januari 2025 na Aprili 2026.
Katika barua hiyo, Wakurugenzi wa Halmashauri walitakiwa...
Nikiwa mmoja wa Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha tunapongeza hatua ya kuanza kwa ukarabati wa Barabara ya Kibaha–Mpiji pamoja na Barabara ya Tankini–Muheza, kufuatia malalamiko niliyowasilisha kuhusu ubovu wa miundombinu hiyo.
Pia soma ~ Halmashauri ya Kibaha hizo Tsh. 420M za...
MHE. GHATI CHOMETE ATEMBELEWA NA MADIWANI WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME-BUNGENI DODOMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete ametembelewa na Wahe.Madiwani wakiongozwa na Mhe.Thobias Elias Ghaty- M/Kiti wa Halmashauri ya Mji wa Tarime.
Madiwani hao walifika Bungeni...
Habari.
Watumishi tuliojiendeleza kielimu tukiwa kwenye halmashauri tunakumbana na changamoto kubwa katika kufanyiwa re-categorization (recate) kutoka kada moja kwenda nyingine.
Maafisa Rasilimali Watu (HR) mara nyingi hutoa sababu mbalimbali, zikiwemo ukosefu wa kutokuwepo kwa ruhusa ya...
Kuna upigaji mkubwa unaendelea wa posho za kujikimu ajira mpya halmashauri ya wilaya ya Sikonge.
1. Katibu mkuu aliwandikia barua halmashauri zote zenye maelekezo maalumu kwa ajili ya fedha za kujikimu na barua hiyo ilielekeza bayana kuwa watumishi wa ajira mpya kwanzia Januari 2025 hadi Aprili...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
kujikimu
mkubwa
mpya
posho
posho za kujikimu
sikonge
upigaji
wilaya
Sisi watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea tunapitia kipindi kigumu kutokana na kucheleweshwa kwa stahiki zetu mbalimbali, hususan malipo ya posho za kuhudhuria vikao. Tatizo kubwa linalolalamikiwa ni kwamba Mkurugenzi wa Fedha (DT) amekuwa hapitishi malipo hayo kwa wakati.
Kuna...
Anonymous
Thread
forum
habari
halmashauri
jamii
jamii forum
nachingwea
watumishi
wilaya
Ahsanteni sana JamiiForums kwa kuendelea kutupatia habari na kutupa nafasi ya kufikisha sauti zetu.
Sisi watumishi wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, kada ya elimu, hadi sasa hatujapokea fedha za kujikimu. Jambo hili linatupa wasiwasi, hasa ikizingatiwa kwamba wenzetu wa...
Habari, mm nimwajiriwa mpya wa serikali katika Halmashauri ya Mji Tarime ajira za mwezi January 2026, pamoja na katibu mkuu TAMISEMI kutoa waraka wa kuelekeza watumishi wapya wote walipewe pesa za kujikimu kufikia tarehe 15 June 2026 lakini mpaka leo hatujalipwa pesa hizo, wametufanyia danganya...
Anonymous
Thread
halmashauri
pesa za kujikimu
tamisemi
tarime
watumishi wapya
Ninafanya kazi katika kampuni hii kwa zaidi ya miaka mitatu, lakini hadi sasa bado ninadai mishahara ya kipindi kilichopita ambayo sijalipwa. Mbali na kucheleweshwa kwa mishahara, hivi karibuni uongozi wa kampuni ulifanya kikao na kutangaza kuwa wafanyakazi waliokuwa wakilipwa mshahara wa...
Anonymous (b466)
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
malalamiko
mkalama
mpya
mwanza
singida
wilaya
wilaya ya mkalama
Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha Mkoani Pwani imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya Barabara kutoka Sheli hadi Mpigi na ile ya kuelekea Tankini na Muheza katika Kata ya Mailimoja kwa kusema kuwa ilipeleka kiasi cha Shilingi Milioni 420 kwa mgawo wa Shilingi Milioni 30 kwa kila kata.
Taarifa ya...
Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo umeendelea kuwa tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya.
Makala hii inaangazia sababu kuu zinazochochea kasi ya upotevu wa misitu katika wilaya hiyo.
Kilimo cha Tumbaku na Nishati ya Kuni
Sehemu kubwa ya misitu ya...
Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imetoa ufafanuzi kuhusu uchakavu wa madarasa ya Shule ya Msingi Kibisi iliyopo Kata ya Kyimo kwa kueleza kuwa kuna kiasi cha Tsh. Milioni 10 kimetengwa kwaajili ya maboresho.
Hatua hiyo inakuja baada ya Mwananchi kuhoji kupitia JamiiForums.com kuwa...
Kuna namna fulani ya halmashauri pamoja na tume yetu ya kazi/ajira hapa nchini Tanzania inachangia kwa asilimia kubwa sana wafanyakazi kukosa stahiki zao kutoka kwa Waajiri wao hususani private sector.
Nlikuwa nafanya kazi Kampuni fulani ambayo makao makuu yapo Dar es salaam ila kituo cha kazi...
Mdogo wa Rostam Aziz, Akram Aziz akishirikiana na Mwenyekiti wa Hamsahauri ya Longido, Thomas Ngobei, na yule wa Monduli, Kisioki Moitiko wanadaiwa kumwaga mamilioni ya fedha za rushwa ili kuteka maelfu ya ekari za ardhi ya Wilaya za Longido na Monduli mkoani Arusha.
Akram ambaye pia...
Madaktari hospitali ya wilaya katika Halmashauri ya Mpimbwe wanadai kunyimwa malipo ya call allowance tangu Februari mwaka jana, huku wakielezwa kuwa OC haijaingiziwa fedha hizo. Hata hivyo, fedha zimekuwa zikipokelewa lakini zinabadilishwa matumizi kinyume na kusudio lake na bila utaratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.