halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Silaa, Polepole na Gwajima waitwa Kamati Kuu ya CCM kujieleza

  2. J

    Nini hatma ya Polepole baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM inayofanyika Disemba 18, 2021?

    Je! Katibu Mstaafu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Humphrey Polepole atapona kwenye vikao hivi? #Let's give a Time time,
  3. Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kukutana Desemba 18, 2021

    HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI TAIFA ITAKUTANA TAREHE 18 DESEMBA, 2021 TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa itakutana Desemba 18, 2021 chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu, Samia Suluhu Hassan. Kikao...
  4. Tuhuma mbalimbali za ufisadi zazidi kumwandama aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Siha

    Tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za halmashauri na madaraka zimezidi kumwandama aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Siha ,Ndaki Muhuli ambapo safari hii inaelezwa “ametafuna “zaidi ya sh,142 milioni fedha ambazo ni makusanyo ya ndani. Ndaki kwa sasa ni mkurugenzi wa halmashauri ya Kakonko...
  5. Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameongeza siku 15 kwa Halmashauri zote nchini kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa

  6. X

    Nafasi za kazi za Udereva Halmashauri ya Mji wa Njombe

    Driver jobs Njombe District Council, nafasi za kazi njombe district, ajira ya udereva halmashauri ya njombe tanzania, driver jobs tanzania today, driver jobs in tanzania, embassy driver jobs in Tanzania, driver jobs Tanzania 2021, driving job in halmashauri ya njombe, driver job in tanzania...
  7. J

    Waziri Ummy Mwalimu awapongeza viongozi Halmashauri ya Temeke

    WAZIRI UMMY MWALIMU AWAPONGEZA VIONGOZI HALMASHAURI YA TEMEKE Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewapongeza viongozi wa Temeke, akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mkurugenzi pamoja na watumishi kwa kazi kubwa na nzuri...
  8. Ziara ya Katibu Mkuu Wa CCM na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa Mikoa Ya Geita, Kagera, Kigoma, Katavi na Tabora

    ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA MIKOA YA GEITA, KAGERA, KIGOMA, KATAVI NA TABORA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo atakuwa na Ziara ya Kikazi Mikoa ya Geita, Kagera, Kigoma, Katavi na Tabora akiambatana na Wajumbe wa...
  9. Kuongezeka kwa Hati zenye shaka na hati mbaya za ukaguzi kwa mwaka 2019/20

    Ripoti za Ukaguzi za mwaka 2019/20 zinaonesha kuongezeka kwa Hati Zenye Shaka na Hati Mbaya zilizotolewa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa na Miradi ya Maendeleo. Mwenendo wa Hati zilizotolewa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa a Miradi ya Maendeleo ni kama ifuatavyo; Hati za Ukaguzi...
  10. J

    Shaka atua Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg. Shaka Hamdu Shaka Jumanne 26 Oktoba, 2021 ametembelea Ofisi za Bodi ya Mikopo ya wanafunzi elimu ya Juu zilizopo maeneo ya Tazara Wilaya Temeke Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na viongozi na watendaji wa bodi hiyo. #ChamaImara #KaziIendee
  11. TAMISEMI hili suala la vifaa vya ujenzi wa madarasa kununuliwa na Halmashauri wakati pesa zimeingizwa kwenye account za shule tupieni jicho

    Kuna Halmashauri nyingi hapa nchini zimetoa maelekezo kwamba vifaa vya ujenzi watanunua wao wakati huo pesa imeingizwa kwenye accounts za shule, TAMISEMI kama mmetoa maelekezo haya basi wekeni utaratibu mzuri kabisa ili wasije wakazidisha bei ya vifaa maana halmashaur zetu huko kuna shida sana...
  12. Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

    Wale vijana kwenye ile idara kwanza ni wapole na sio wazungumzaji Sana Ila vikao vyote top vya DC au DED wanakuwepo. Na huwa hawaongei Sana ni wakimya Ila wenye nguvu za kimamlaka hatari. Kama mke ni pis Kali wakimtaka watamla tuuuu huwezi bisha. Kwanza wanafahamika kwa uwazi kutokana na...
  13. B

    Changamoto Ujenzi wa Madarasa 12,000: Ukosefu wa Wahandisi Halmashauri Baada ya 70% kuhamia TARURA

    Asalam! Nianze kwa kuipongeza Serikali chini ya Rais Mama Samia kwa kuipa Elimu kipaumbele hasa eneo la miundo mbinu. Hili limekuwa likisumbua kila mwaka. Tunashukuru kwa kazi hii njema. Pili, baada ya miundo mbinu Sasa tumuombe Mama Samia Ajielekeze kwenye Walimu na Vifaa vya ufundishaji...
  14. Mitambo ya kufua oksijeni kusimikwa katika Halmashauri 5

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema Serikali itasimika mitambo mitano ya kufua Oksijeni katika Halmashauri za Karatu, Mlele, Bunda, Masasi na Nyasa ambapo kila moja itapata Milioni 600 Akizungumza leo akiwa Dodoma ameeleza, "Wataalamu wameangalia maeneo yenye mlipuko wa magonjwa ya mara...
  15. Kwanini watumishi wa Halmashauri wana nyodo sana tofauti na watumishi wa Wizara?

    Habari wadau..!! Wiki hizi mbili tatu nimekuwa busy sana na kuzunguka kwenye hizi taasisi za kiserikali. Katika mizunguko yangu nimejifunza kwamba hawa watumishi wa halmashauri ni viburi,nyodo nyingi tofauti kabisa na wale watumishi wa ofisi za wizara. Kibaya zaidi unaenda ofisi za...
  16. Kwenye wilaya yako kuna maeneo gani mazuri na vivutio gani kwa utalii wa ndani?

    Utalii wa ndani siyo mpaka kwenda Serengeti au kupanda mlima kilimanjaro. Unaweza kutoka Dar ukaenda Bagamoyo kuangalia majengo, ni utalii. Unaweza enda Pugu hill, ni utalii. Siku hizi watu binafsi wameanza kuwekeza na kuboresha maeneo haya. Hii inatengeneza ajira na halmashauri zinapata pesa...
  17. Halmashauri nyingine ziige hili la jiji la Mbeya kujenga English medium za Serikali

    Miaka ya 2000 mwanzoni jiji la Mbeya walijenga Shule ya Mkapa ambayo ni ya msingi lakini inafundisha kwa kiingereza, ada yake ni ndogo sana ukilinganisha na zile za private. Mpaka sasa wana shule 3 za aina hiyo na wana mpango wa kujenga zingine 3. Kwa sababu kuanzia sekondari masomo ni kwa...
  18. Je, Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Chalinze, Kuruthum Amour Sadik hajaapishwa?

    Salaam Wakuu, Tarehe 2 Aug 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na Wilaya. Mmoja ya watu Walioteuliwa ni Mwanadada Kuruthum Amour Sadik ambaye aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji...
  19. Halmashauri ya Temeke mnatia aibu wananchi wenu wana umasikini wa kutupwa na kero nyingi amjazifanyia kazi mnabaki kupambana na Amba Rutty

    Habari wadau..! Katika moja ya Halmashauri ambazo zina changamoto nyingi sana ni hii Temeke kwa hapa Dar es Salaam. Temeke ina kero nyingi sana zikiwapo matumizi ya madawa ya kulevya kwa vijana,upungufu wa madarasa, utoro wa wanafunzi, umasikini, uporajwi wa ardhi za wananchi, upungufu wa...
  20. Wakurugenzi wa Manispaa/ Halmashauri kuiba mali au fedha za serikali, nini kifanyike kukomesha tabia hii?

    Kumekuwa na tabia endelevu kwa wakurugenzi kujirimbikizia Mali au kuiba fedha za serikali ambazo ni jasho la walipa kodi na watoa michango kwa ajili ya maendeleo ya nchi! Hii hali haikomi? Kwa mfano, zimepita siku kadhaa tumeshuhudia aliyekuwa mkurungenzi wa Temeke, Bw. Mwakabibi akiburuzwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…