halisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rwanda ni tafsiri halisi ya vile reli ilivyo ndogo ila inaweza kubeba matreni, uwezo wao katika medani za kivita unakuwa kwa kasi, sio wa kuwabeza.

    Hawa jamaa wanazidi kujijenga kijeshi kwa speed ya radi, uwezo wao wa sasa sio wa miaka 10 au 20 iliyopita, wame transform mambo mengi, Jeshi la Rwanda limewezesha kuondoka kwa wanajeshi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kutoka eneo la mashariki mwa DRC, kwa kuwasindikiza...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Kujikubali: Maana Halisi ya Ujumbe wa Body Positivity

    Katika miaka ya hivi karibuni, dhana ya body positivity imekuwa ikijadiliwa sana kwenye mitandao ya kijamii na katika jamii kwa ujumla. Hata hivyo, mara nyingi maana halisi ya ujumbe huu hupotoshwa au kueleweka vibaya. Body positivity haimaanishi mtu kuwa na mwili mnene na manyama uzembe na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Neno lako ni Upanga — Kiwango halisi cha Christo Frequency

    Katika viwango vya siri vya mafundisho ya zamani, tulifundishwa kuwa: "In the Beginning was the Word, and the Word was God." (Yohana 1:1) Lakini si kila mtu ataelewa ufunguo wa ndani wa mstari huu. Neno halikuwa tu sauti — Neno lilikuwa Frequency ya Uumbaji katika ulimwengu huu. Christo...
  4. De Opera

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoto nyevu yenye utata, na damu halisi

    Habari za muda huu mwana JF? Natumaini siku yako iko poa kabisa. Leo kuna ndoto umempata rafiki yangu ambaye mara kadhaa huwa akinieleza kuhusu baadhi ya ndoto zake ambazo huwa zinamshinda kuzielewa. Iko hivi: Leo usiku muda wa saa 9 usiku kuelekea saa 10, ameota ndoto akifanya mapenzi na...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hii ndio picha halisi ya Yesu

    Watu wengi hutamani kumuona Yesu. Wanajiuliza, “Alikuwa na sura gani? Alionekana vipi? Alikuwa mtu wa namna gani?” Wengine hujaribu kutengeneza picha kwa mawazo, ndoto au sanaa. Lakini kuna njia moja ya uhakika ya kumuona Yesu kwa macho ya kweli ya rohoni kupitia Neno lake. Ni kama vile...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa tatizo la Saratani ni kubwa, Wizara ya Afya itoke hadharani iweke takwimu halisi na chanzo

    .
  7. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa John Mrema na G55 Yake: Siasa za Michongo ya 'Wabenzi' Zimemzika Mbowe, Siasa za 'Wabangazaji' wa Tone Tone Zikamwinua Tundu Lissu.

    John Mrema (Kushoto) Freeman Mbowe (Kulia) I. Utangulizi Kundi la watiania 55 ndani ya Chadema, wakiongozwa na John Mrema, limethibitisha kwamba hoja za kikambi zilizoibuka wakati wa uchaguzi ndani ya Chadema bado zinaendelezwa na Timu...
  8. Ryan Holiday

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa sasa, wemejawa na ubinafsi na upendo wa mali

    Eti cha mwanaume ni cha familia, cha mwanamke ni cha mwanamke. Hivi huu ujinga ni nani aliwafundisha? Siku zote mahusiano yenye afya yanajengwa kwa kushirikiana, si kwa mzigo kuwa kwa upande mmoja tu. Ndio maana, ndoa zimejaa biashara na ubinafsi, badala ya kutawaliwa na upendo. Ndoa yangu...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kweli vs halisi!

    Ulimwengu! Umeacha wanadamu wenye macho hafifu ya ndani waendelea kuishi uhalisia badala ya ukweli! Hivyo maisha yamekuwa ni kama bahati nasibu!aliyesifika Leo kwa kutafuta heshima Mali na fedha ndiye anayetajiwa kesho kuwa marehemu! Yaani baada ya juhudi zote muda unabakia kuwa mwamuzi wa nani...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nimefanya tathmini ya gharama halisi ya miradi yote tangu awamu ya 6 iingie madarakani ni 8.7 tilioni tu

    Nimefanya tathimini ya miradi yote iliyofanywa na serikali ya awamu ya 6 nikapata gharama halisi ni 8.7 Tilioni. Hii inajumuisha miradi yote iliyosajiliwa chini ya tume ya mipango kwa wastani wa miradi 1300 inayojengwa kote nchini ikiwemo ile ya ufadhili na ubia. Jumla ya deni la taifa ambalo...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kweli vs halisi!

    Ulimwengu! Umeacha wanadamu wenye macho hafifu ya ndani waendelea kuishi uhalisia badala ya ukweli! Hivyo maisha yamekuwa ni kama bahati nasibu!aliyesifika Leo kwa kutafuta heshima Mali na fedha ndiye anayetajiwa kesho kuwa marehemu! Yaani baada ya juhudi zote muda unabakia kuwa mwamuzi wa nani...
  12. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Picha X-rays kali za kutisha ambazo ni ngumu kuamini

    Maisha ni safari ya ajabu, Hizi picha hapa chini sio za kuchora, ni matukio halisi yaliyotokea. 1. Mwaka 2020, msichana mmoja alipata ajali mbaya akiwa ndani ya gari huku miguu yake ikiwa juu ya dashboard. Ajali ilipotokea, mguu wake ulisukumwa kwenda nyuma vibaya na hii ni picha ya X-ray...
  13. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania Muda wa matumizi ya ving'amuzi vya TV kwanini usihesabiwe kwa siku halisi za kutazama?

    Kwa mfumo wa sasa wa malipo ya ving’amuzi vya TV, kifurushi cha mwezi hukatika baada ya siku 30, bila kujali kama mtumiaji ametazama TV kila siku au la. Hii inamaanisha kuwa hata ikiwa mtu hajaangalia TV kwa muda mrefu ndani ya mwezi huo au hata mwezi mzima, bado atalazimika kulipia kifurushi...
  14. Umkonto umsizwe

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya mziki ambao umeunganisha afrika

    Mwenye vibao kama hivyo vyenye ujumbe pamoja na melodies kali naziomba
  15. Dhul Qarnainn

    JamiiForums Tanzania Fahamu Maana Halisi ya Jihad na Jinsi Inavyopotoshwa

    Katika miaka ya hivi karibuni, dhana ya Jihad imekuwa ikitumiwa vibaya na makundi mbalimbali, hali iliyosababisha Waislamu kushutumiwa kwa ugaidi. Watu wengi, wakiwemo Waislamu wenyewe, hawana ufahamu sahihi wa maana ya Jihad kulingana na Qur’an na Sunnah. Makundi kama Al-Shabaab, Al-Qaeda...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: spika za mbao halisi

  17. MNEKI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waangalie Wanandoa wanaoishi mbalimbali kwa kisingizio Cha Kazi au kutafuta Maisha halafu wana Amani

    Kama unasikiaga UNAFIKI lakini hujawahi Kuuona, Waangalie Wanandoa wanaoishi mbalimbali kwa kisingizio Cha Kazi au kutafuta Maisha halafu wana AMANI. Ukiangalia kwa mbali ni kama Kuna Ndoa.,... Sogea karibu..!
  18. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tukio katika video linaonesha maji yakisomba magari

    Mdau shiriki kuthibitisha Video inayoonesha maji yakisomba magari ni halisi au imetengenezwa?
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania PICHA Achana na magorofa machache city centre hii ndiyo DAR halisi.

    Kuna watu wanalilia kufika dar kisa magorofa ya kariakoo na posta. Ila kiukweli Dar ni mji wa kishamba sana. Kwa kweli watu wanaishintu kwa sababu ya tabu otherwise mhii wengi wangeshapakimbia. Lakini pia hiki ni kielelezo namba 1 kwamba waafrica hatuna akili na tu wabinafsi wakubwa kwa nchi...
  20. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

    Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!! Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie. Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo. Jambo...
Back
Top Bottom