halisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mjue Mtunzi halisi wa Buffalo Soldier ambao ulipewa umaarufu na Bob Marley

    Wanangu hamjamboni? Leo tujikumbushe mambo ya kizamani kidogo hasa wapenzi wa reggae kama mimi baba yenu. Japo marehemu Bob Marley aliufanya wimbo wa buffalo soldier maarufu, mtunzi wake ni Giddes Chalamanda toka Malawi. SIkiliza hiyo kitu utajua na kuamini ninachowambia baba yenu.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Rais haya ya sasa yatapita, utafika wakati wataizoea hali halisi mpya

    Kuna wanaosema Mheshimiwa Rais angalau angesubiri mpaka apewe uenyekiti wa Chama ndio aongee kwa mamlaka na kuwakaripia wote wanajaribu kumfanyia fitina za chini kwa chini. Wanaona kama vile maamuzi yake ya kulihutubia bunge yameongozwa na jazba zaidi kutaka kuwaonyesha mamlaka aliyonayo hao...
  3. JamiiForums Tanzania Bei halisi ya kiwanja 20x20 kwa Moshono Arusha

    Habari wanajamii forums, Nilikuwa naulizia bei ya kiwanja 20x20 kwa maeneo ya Arusha hasa moshono,maana mdau kaniambia sio chini ya milioni 10,kwa wadau WAZOEFU kiwanja ukubwa huo naweza kukipata kwa bei gani ambayo ni halali kabisa. Ahsanteni.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msemji wa Mtibwa Sugar Kifaru anawakilisha Wanamichezo halisi, ila Kaimu Kocha wao Barnabas anawakilisha Washamba wanaopatikana hata Yanga SC

    Kauli ya Msemaji Mtibwa Sugar.. " Sina Malalamiko au Lawama zozote kwa Kipigo hiki Kikubwa kutoka Simba SC kwani tusidanganyane kwa sasa Tanzania, Afrika Mashariki na hata Afrika hakuna Timu nzuri na ya Kiushandani na iliyoenea kila Idara kama Simba SC " Kauli ya Kaimu Kocha Barnabas.. "...
  5. JamiiForums Tanzania Je, hiki kiambata ni bangi halisi?

  6. JamiiForums Tanzania Mto wenye muonekano halisi wa sura ya mwanamke

    Ni mto Zambezi, unapatikana ndani ya nchi ya Zambia.[emoji179]
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…