Kuna ambao wapo katika hali aliyokuwa nayo Jean pierre Adam?

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
8,848
15,252
Nimekutana na hili bandiko mahali kwa kweli nimesikitika sana na pia nampongeza sana mke wake kwani wengine wangekimbia.

Huyu mama amekuwa bega kwa bega akimhudumia mume wake tangu augue hadi sasa huyu mama ni mzee na hajawahi choka na pia nimependa kwa jinsi akivokataa mme wake asichomolewe mashine ya kumsaidia kupumua hadi Mungu atakapoamua mwenyewe.

Naomba mwenye picha za wanawe kwa sasa na mkewe pia. Hakika alipata mke

Huyu kaka ameniumiza roho sana jamani

Screenshot_20210513-074218.png

Naomba na mwenye kujua maisha ya watoto wake walipo na wanafanya nini kwa sasa
 
Kwa mujibu wa wikipedia ana watoto 2 laurent (1969) na Fredrick (1976)
 
Kuna watu wana uvumilivu mkuu, babu yangu amepooza mwaka wa nne sasa hakuna anachoweza kabisa. Bahati kwake alioa mwanamke mdogo amemzid miaka zaid ya 50 na hawajafanikiwa kuzaa. Lakini sasa huyo bibi yetu mdogo ndio anakomaa balaa na ukimuona unaweza fikir n mtoto wa sekondari.
 
Abarikiwe huyo
 
Back
Top Bottom