halisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    "Udhati, Nia njema, Upendo, Matokeo Halisi", kama matanga ya kusukuma "Maendeleo" ya China na Afrika

    Mwezi Machi mwaka 2013, rais Xi Jinping alifanya ziara yake ya kwanza barani Afrika baada tu ya kuingia madaraka kama Rais wa China. Akiwa nchini Tanzania, alitoa hotuba yenye kichwa "Daima Tuwe Marafiki wa Kutegemewa na Washirika wa Dhati" wakati alipokutana na wenyeji wake katika Kituo cha...
  2. Kalynda Wasishtakiwe, hii ndio maana halisi ya usimuonee Huruma masikini na mjinga

    Kwema Wakuu! Kuna watu hata uwape majibu ya mtihani bado Watafeli pakubwa, alafu watakuwa wakwanza kulalamika. Taikon ni mtu wakuwapeni Magaka/majibu ya mitihani kabla ya kuingia Chumba cha mitihani. Ukiona Jambo nimeliandika ujue tayari nishalifanyia uchunguzi wa kina, na Kwa vile sio hulka...
  3. Formula; 'Ondoka' 'Acha' ndio maana halisi ya kupata Mafanikio

    Formula; "ONDOKA" 'ACHA' NDIO MAANA HALISI YA KUPATA MAFANIKIO. Anaandika, Robert Heriel Mwanafalsafa Nitakuambia ukweli na siri wala sitakuchaji hata sumni wala shilingi yoyote. Vitu tulivyopewa bure tunavitoa Bure. Wala usinipe sifa yoyote Kwa maana sistahili sifa. Wala usinishukuru Bali...
  4. Ukikaribia miaka 40 utagundua vingi; mojawapo ni kuwa tunaishi na hofu ambazo si halisi

    Nipo nje ya ofisi kidogo Napata muda wakutafakari. Lakini niko nje ya nchi kabisa, kilomita elf 4 toka Dar es salaam, hata simu nazopata ni chache, zile zilizopitia whatsapp tu. Hivyo akili inazidi kuwa tulivu. Na ukiongeza miji yenyewe nilotembelea si ya makelele na miziki mabarabarani wala...
  5. Fahamu tiba halisi ya punyeto/kujichua.

    JE,unajua kuwa tiba pekee ya kuacha punyeto ni ulaji wa vitungu saumu na maji. Matokeo yake ni pamoja na kuratibu ubong hasa homoni ya testeron iliyo kiwango cha juu has wanaongalia picha za x na kujichua pia maji hufanya njia ya mkojo isiwe kavu.
  6. Asili ya mwanaume halisi kisayansi (erected penile and it's size)

    Salamu ziwe nanyi wakuu. Tuzungumzie mambo machache mawili Leo kiufupi sana. a) Nguvu za kiume na B) Mjomba kusimama. Na urefu wake (Perfect penile erection) A) NGUVU ZA KIUME Ni uwezo wa kusababisha uzazi. Unajipimaje? i. Wazungu/manii wawe wanatoka. WENYE AFYA INAYOTAKIWA na ii. Wawe na uwezo...
  7. Pesa ni chanzo cha watu kuwa wavivu, pamoja na kutokuwa wazalishaji halisi; 'barter trade' irudi

    Pesa sio kipimio sahihi cha uzalishaji wa vitu. Chukulia mfano, mtu anaponda kokoto kwa kutumia mkono kwa siku 20 na kuweza kujaza tipa, na mwishowe analipwa laki 1; wakati huo huo mwingine ameudhuria kikao cha nusu saa tu, anapata laki 5; hii haiko sawa. Mkulima anatumia muda mwingi kwenye...
  8. SoC02 Mwanga halisi wa mafanikio

    Kutokana na maendeleo ya dunia ya leo ya sayansi na teknolojia vijana wengi wanatamani kupata mafanikio ya haraka pasipo kufanya kazi kwa bidii hii hupelekea ongezeko kubwa la vijana kutegemea michezo ya kubashiri maarufu kama kubet na wengine kujiingiza katika vitendo vya kihalifu ili kuweza...
  9. SoC02 Mtazamo halisi wa kimaisha

    Habari, Kwa Majina Naitwa Theophilus Gugaguga. Mbele ya macho yako ni Nakala Fupi tu Ambayo inalenga kubadilisha Maisha Yako kuelekea katika ukuu. Kaa Chonjo, ukifuatilia kila Neno la Mawazo haya. Maisha ya Binadamu yamejawa na simulizi Nyingi Sana za Kuchekesha, Kufurahisha, kuhuzunisha, na za...
  10. Utafiti: pombe huonyesha tabia halisi ya mtu

    Bukheri ndugu na wanamemba wa jamii forum,..!leo umefanyika utafiti usio rasmi na kugundua kwamba mtu yeyote akinywa pombe akalewa huwa anaonyesha tabia zake halisi yaani zile zilizojificha...mfano kama mtu ni muongeaji sana lakini hujificha kwenye kichaka cha upole....basi mtu huyo akilewa...
  11. Maana halisi ya "If you do me, I do you", tukutane Mahakamani

    Unyama mwingi mwaisa.
  12. SoC02 Linda sana hisia zako

    Linda Sana hisia zako zisije kukupa au kukupatia madhara baadae kwenye Maisha yako, hata kama zitakuwa au kuonekana chanya kiasi gani kwa Wakati huo, usiwe mwepesi wa kuzionesha kwa Kila mtu na kwenye Kila kitu. jaribu kutumia Akili kabla ya hisia zaidi,hii yaweza kukusaidia kwa baadae. Mtu...
  13. B

    SoC02 Maana halisi ya Taifa la kesho na kuliandaa

    Moja katika rasilimali ya Taifa ambayo ni muhimu sana kuifahamu ni vijana, hawa ndio nguvu kazi ya Taifa Kwa muda wa sasa na hata wa badae. Lakini pia watoto ni nguvu kazi ya Taifa Kwa muda wa baadae. Hvyo watoto na vijana ni jamii ya watu watakaoishi baadae kwa uendeshaji wa maisha Yao Kwa...
  14. Misimamo yetu wanaume halisi wa Africa

    Mimi kama mwanaume halisi ninayejua majukumu yangu ni marufuku mke. 1. Uvaaji wa soksi na sedosi unaleta taafasiri mbaya sana. 2. Kujichubua na kutumia aina yoyote ya dawa za kubandilisha rangi. 3. Kunikumbatia au kuleta viashilia vya mahamba mbele ya watu, pamoja na kunishikashika ovyo...
  15. F

    Bondia Mwakinyo ni Mfano halisi wa Watanzania walio wengi katika nyanja mbalimbali!

    Muda mfupi uliopita nimetoka kuangalia pambano la ngumi kati ya Bondia Mwakinyo na Smith,pambano ambalo limeniudhi na hata kunitoa machozi! Kama kawaida Mwakinyo ameonyesha tabia halisi ya Watanzania walio wengi! Watu wasiokuwa na confidence,malengo wala ndoto kubwa (big dreams)! Watu...
  16. M

    Unapojenga nyumba ya kuishi fikiria sana mahitaji yako halisi, vyumba vitatu vinatutesa wengi

    kipindi hiki cha likizo, mimi kama mwalimu ili kupunguza zarau maana tunaonekana walimu ndio watu maskini na hatuna akili nchi hii,so kama kawaida likizo hii nimendelea kufanya biashara zangu za mazao na nimejikuta nipo zambia , hulka yangu napenda kudadisi na kujifunza vitu vipya...
  17. SoC02 Ni wakati wa taifa kuhakikisha ukuaji wa uchumi unaendana na hali halisi ya maisha ya watanzania

    Utangulizi Uchumi, kwa maana fupi ni msingi muhimu wa maendeleo ya taifa. Tanzania inakadiriwa kuwa uchumi wake kwa mwaka 2022 utaongezeka hadi kufikia asilimia 5.5 % kutoka 4.9% ya mwaka 2021, kulingana na makadirio kutoka benki kuu ya dunia. " worldbank.org" (Tovuti ya benki kuu ya dunia WB)...
  18. Historia Halisi yenye kusisimua kuhusu rapa Juice WRLD

    Whatsup! Leo nimeona nije na Biography ya Marehemu Juice Wrld, kwa wasiomjua wapate kumjua na wenye kumjua waweze kuyajua zaidi ambayo hawakuweza kuyajua. Lakini pia kupitia uzi huu tutaendelea kujuzana hata yale ambayo unayajua na humu sijaweza kuyaandika kwasababu sio rahisi maisha ya miaka...
  19. P

    Fatma Mwasa na Halima Dendego taswira halisi ya 'unamjua nani'

    Uteuzi wa wamama hawa wawili unadhihirisha tatizo kubwa la Mamlaka ya Urais wa Kisultani hapa Tanzania. Miaka yote Marais wetu wamekuwa wakigawa nafasi za URC na UDC kwa marafiki , maswahiba na hata wapenzi wao. Inachukia sana . Tabia hizi zilikuwa bayana wakati wa JK, zikaota mizizi kwa JPM...
  20. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameviagiza vyuo vikuu vyote nchini, kufanya mapitio ya mitaala, ili iweze kuendana na mahitaji halisi ya sasa

    Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa ameviagiza vyuo vikuu vyote nchini, kufanya mapitio ya mitaala yao, ili iweze kuendana na mahitaji halisi ya sasa ya soko la ajira.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…