Hayo yamewekwa wazi na mbunge wa viti maalum, Halima James Mdee akihojiwa na Wasafi Fm leo asubuhi.
My take:
Vijana mnakwama wapi? Lishangazi hilo lipo free changamkieni fursa
"....Bawacha wengi wao pale ni vitoto vya juzi kwenye game ambavyo kwa namna vinavyopiga kelele wala sipaswi kuhangaika navyo kwa sababu natambua ngoma ya mtoto huwa kamwe haikeshi."
Mheshimiwa Halima Mdee (MB).
==========
Dar es Salaam. Wakati Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha)...
Akihojiwa leo na kituo cha redio kuhusu changamoto za upinzani amesema kwamba wapinzani nchini wana changamoto nyingi sana zinazowakosesha kuaminika kwa wananchi licha ya wananchi kuichoka ccm.
Amesema wananchi wanshindwa kutuelewa kozi hatuna sera mbadala ukiacha suala la katiba ambalo...
Aliyekuwa mbunge wa viti Maalum Upendo Peneza amesema katika kushughulikia ripoti ya CAG hana Imani na Mwenyekiti wa LAAC na yule wa PAC kwa sababu wako bungeni kinyume cha Katiba.
Peneza amesema Mdee hawezi kuikagua Serikal inayomfanya awepo bungeni hadi leo.
Source: Star tv The Big Agenda.
Ni wakati sahihi sasa kwa viongozi wa CHADEMA kukaa pamoja na kina halima mdee na wenzake 18 kumaliza tofauti zenu na kuwarudisha kundini ili mjenge mshikamano tayari kwa mapambano ya kukiimarisha chama.
Kama CCM iliweza kuwasamehe kina Lowassa, Sumaye, Makamba, Kinana, Membe, Sofia Simba -...
Wabunge maarufu wa viti Maalum Halima Mdee na Esther Bulaya kwa pamoja wamechangia Tsh 9 million kwa ajili ya Ujenzi wa Kanisa
Mungu wa mbinguni awabariki
Chanzo: Clouds Media
“Ni MUHIMU sana KUJIANDAAA kabla ya kufanya CHAMBUZI za CAG. Ukiwa haujajipanga vyema, unaweza jikuta unaongea UPUUZI. Na Mwenye DHAMANA akiongea UJINGA , anaidhalilisha TAASISI aliyopewa DHAMANA kuiongoza. Ushauri wa BURE,CAG ameongea mambo makubwa na mazito. Do your HOMEWORK”. Halima Mdee.
Ile kesi iliyofunguliwa na Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, wakiongozwa na Halima Mdee, inaendelea leo Mahakamani.
Wajumbe wa bodi ya Wadhamini ya Chadema, Dkt. Azavel Lwaitama na Ruth Mollel watahojiwa.
Tuendelee kubaki hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi.
Nawasalimu waungwana wote wa JF,
Nimesoma mahali kuwa CHADEMA wameanza kupokea ruzuku za kila mwezi zinazotokana na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Ulikuwa ni msimamo wa CHADEMA kuwa uchaguzi mkuu wa 2020 haukuwa halali na ulikuwa uchafuzi na si uchaguzi. Kutokana na kutokuwa halali, ulikuwa ni...
Gazeti la Raia Mwema linaandika, aliyekuwa mwanachama wa Chadema na Mwenyekiti wa BAWACHA na wenzake 18 wanatarajia kujiunga na ACT Wazalendo muda wowote kuanzaia sasa na watazunguka Tanzania nzima kukinadi.
Yeye asema, Kwa hiyo tukitambua jambo jema linalofanywa na wenzetu, ni ‘kuinyatia’...
Hakuna ubishi tena kuwa Kikosi Kazi cha Profesa Mkandala na Zitto Kabwe ndio kimepelekea Mbowe kutolewa Jela na Mikutano ya hadhara kuruhusiwa
Wote tulimsikia Zitto Kabwe akimuombea msamaha Mbowe kwa Rais Samia Kwenye kikao cha Kikosi Kazi cha Prof Mkandalla mbele ya Viongozi wakuu wote wa...
Bado wanauswahiba na zito na bado Halima Mdee ananguvu kisiasa hasa kwa upande wa kina mama hapa nchini hususani Kawe.
Yeye na kundi lake wakiibukia wazalendo na wakamomaa wanaweza kuwa chama chenye nguvu zaidi hapa Tanzania maana huyu atahama na Bulaya,matiko na wengine wengi, CHADEMA wanalo...
CCM ni chama chenye mbinu 100 za kuendelea kubaki madarakani wapo wanachora Michoro na ramani ya uhakika ya kuhakikisha kuwa wanaendelea kubaki madarakani plan A wamekamilisha ni plan ya kuwarubuni Chadema.
Chadema wanechanganyikiwa hawajui mwenyekiti wao ameuza chama kwa shilingi ngapi lkn...
Kuna Dokezo kwamba Wabunge wale 19 Wasaliti, waliojiuza na kuapishwa na Job Ndugai kwenye eneo la Gereji ya Bunge, huenda Wakaondolewa Bungeni kwa vile waliingizwa kinyume cha Sheria, inadaiwa kwamba hawana tofauti na lile zuio la mikutano ya hadhara lililoondolewa hivi karibuni .
Taarifa zaidi...
Kesi Halima Mdee vs CHADEMA imeendelea leo
November 4,2022 hapa mahakama kuu jijini Dar es Salaam
Mbele ya Jaji Cyprian Mkeha.
Jaji anaingia Mahakamani muda huu saa 10:10 Asubuhi hii!
Watu wote hapa Mahakamani tunasimama....!!
Karani wa mahakama:
Kesi namba 36/2022
Halima James Mdee na...
Katika mambo yaliyonishangaza kwenye kesi inayoendelea, ambapo Watu 19 wasio na Chama wanapigania roho zao Mahakamani kwa kung'ang'ania uanachama wa Chadema, huku wakiwa wametimuliwa kitambo, ni Makundi makubwa ya wana-CCM ndani na nje ya Mahakama wakifuatilia kesi hiyo.
Miongoni mwa wanachama...
Wabunge wa viti maalum akiwemo Halima Mdee na wenzake leo Ijumaa wamefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuhudhuria kesi waliyoifungua mahakamani hapo ya kupinga kuvuliwa uanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama wa...
Take home msg ni hii:
1. Job Ndugai asilaumiwe
2. Tulia Ackson asilaumiwe
3. Alaumiwe anayewalipa mshahara, ambaye ni Rais.
Msikilize, jibu hoja zake kwa hoja, achana na character assassination arguments or what is called Ad Hominem arguments
✓ Dai lao kuu ni kuiomba mahakama ipitie mchakato wote wa CHADEMA kuanzia ndani ya KK na kisha BK wa kuwafuta/kuwafukuza uanachama ili mahakama ijiridhishe iwapo CHADEMA walifuata taratibu na sheria (katiba yao) ama laa...
✓ Wanasema, mahakama ikiona hawakutendewa haki (utaratibu haukufuatwa)...
Waliokuwa wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18, tayari wamefungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho.
Mdee na wenzake wamefungua shauri hilo siku 13 baada ya kupata kibali cha mahakama hiyo.
Mahakama hiyo imewaruhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.