CHADEMA warudisheni kundini Halima Mdee na wenzake 18 ili maadui zenu waaibike

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,074
Ni wakati sahihi sasa kwa viongozi wa CHADEMA kukaa pamoja na kina halima mdee na wenzake 18 kumaliza tofauti zenu na kuwarudisha kundini ili mjenge mshikamano tayari kwa mapambano ya kukiimarisha chama.

Kama CCM iliweza kuwasamehe kina Lowassa, Sumaye, Makamba, Kinana, Membe, Sofia Simba - kwanini nanyi msiwasamehe kina Halima na wenzake?

Kilichowapata kina Halima Mdee na wenzake mnakijua ni maamuzi binafsi ya Magufuli kwa kutumia madaraka yake akiamini ataiua CHADEMA lakini alishindwa hivyo malizeni tofauti zenu.

Nje ya mahakama muongeze nguvu katika mapambano ya kudai Katiba Mpya. Mkifanikiwa kuwarudisha kundini maadui zenu wataaibika sana.

"PEOPLE POWER DAIMA"

20230425_130923.jpg
 
Ni kweli. Watanzani wote ni NDUGU irregardless ya maoni/ mawazo tofauti
 
Ni wakati sahihi sasa kwa viongozi wa CHADEMA kukaa pamoja na kina halima mdee na wenzake 18 kumaliza tofauti zenu na kuwarudisha kundini ili mjenge mshikamano tayari kwa mapambano ya kukiimarisha chama.

Kama CCM iliweza kuwasamehe kina Lowassa, Sumaye, Makamba, Kinana, Membe, Sofia Simba - kwanini nanyi msiwasamehe kina Halima na wenzake?

Kilichowapata kina Halima Mdee na wenzake mnakijua ni maamuzi binafsi ya Magufuli kwa kutumia madaraka yake akiamini ataiua CHADEMA lakini alishindwa hivyo malizeni tofauti zenu.

Nje ya mahakama muongeze nguvu katika mapambano ya kudai Katiba Mpya. Mkifanikiwa kuwarudisha kundini maadui zenu wataaibika sana.

"PEOPLE POWER DAIMA"

View attachment 2599295
Maadui wa CHADEMA ni njaa yao tu. Hakuna Adui kutoka nje
 
Waje waombe msamaha na waeleze bila kificho mwanzo mwisho wa hii drama tutawasamehe na itakuwa pigo kubwa kwa serikali dhalim ya CCM kwani dunia itajua umafia aliofanya yule mwehu aliyeko kuzimu.
 
hawa ni wanachama wa CCM, mwandishi nenda kawaulize vzr kule bungeni wanawakilisha chama gani?
 
Ni wakati sahihi sasa kwa viongozi wa CHADEMA kukaa pamoja na kina halima mdee na wenzake 18 kumaliza tofauti zenu na kuwarudisha kundini ili mjenge mshikamano tayari kwa mapambano ya kukiimarisha chama.

Kama CCM iliweza kuwasamehe kina Lowassa, Sumaye, Makamba, Kinana, Membe, Sofia Simba - kwanini nanyi msiwasamehe kina Halima na wenzake?

Kilichowapata kina Halima Mdee na wenzake mnakijua ni maamuzi binafsi ya Magufuli kwa kutumia madaraka yake akiamini ataiua CHADEMA lakini alishindwa hivyo malizeni tofauti zenu.

Nje ya mahakama muongeze nguvu katika mapambano ya kudai Katiba Mpya. Mkifanikiwa kuwarudisha kundini maadui zenu wataaibika sana.

"PEOPLE POWER DAIMA"

View attachment 2599295
Usemayo ni kweli lkn ili warudi na wasamehewe ni lazima kwanza wajiuzulu ubunge itawezekana?maana ili uende mbinguni ni lazima ufe nani yu tayari kufa ili aende mbinguni au ni rahisi kuacha mishahara, posho na kiinua mgongo ili arudi chadema?
 
Back
Top Bottom