Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.
Hivi ni kwanini wanakimbilia kwa wingi Zanzibar ikiwa kazi zenyewe ni kama hizi? kwanini wasitulie nyumbani wakajenga taifa, ufugaji ndio umekua haulipi ama kuna shida gani? Hali ni mbaya kwa kweli, binaadam anauza utu kwa dola 100 - 200,
kwa kifupi tu watanzania tuna machungudoa wa kiume ambao...
Mzuka wanajamvi!
Wa Ethiopia wengi walioko nje Diaspora wanapitia wakati mgumu sana kwasababu ya ndugu zao nyumbani wanayopitia.
Sasa hivi wengi hawajui kama ndugu zao wako hai au wamekufa. Simu zao hazipatikani wala kwenye mitandao ya jamii hawaonekani.
Hali imekuwa ya sintomfaham sasa hivi...
Kwa sasa hali ni ngumu sana mtaani kiusalama hasa sisi wafanyabiashara hali ni tete.
Juzi mwenzetu anaeyejihusisha na Mobile money Transction amenusirika kuuawa baada ya kukwepa risasi iliyoelekezwa kwenye paji lake la uso na kwa bahati nzuri ikampata maeneo ya mkononi na paja lake la kushoto...
Mungu ONGEZA ukali wa JUA (SUN) maana kihakika SIWEZI fikiri pekeyangu... Hee Mungu baba saidia hao watu wafikirie zaidi hali ya hewa kuliko wanavyomfikia mtu.. Usisahau hata mvua iwe nyingi SAFARI hii maana kweli UNASTAHILI Tufanye tufikiri kwa kitu kidogo ulichokiweka hapa duniani..
1. MAANA...
Timu ngeni hazitaki kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo viwanjani kwa kuhofia hujuma. TFF msipuuzie jambo hili, lisemwalo lipo kama halipo linakuja.
Lazima Kuna ukweli fulani, kwani timu ziko radhi kupigwa faini kuliko kuingia vyumbani?
TUNAFAHAMU kwamba katika ukanda wa Afrika, nchi ya Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kuwa na bei rahisi za mabando ya simu kuliko nchi yoyote hapa Afrika (Sub Saharan).
Jambo hili liligeuka kuwa silaha kwa tasnia yetu ya muziki wa Bongo Fleva katika sura ya Bara la Afrika, ilikuwa rahisi...
Ukiona akina GENTAMYCINE wanamkataa Mtu jua ya kwamba huwa hatukosei kwani wengine tumeshabarikiwa Maono ya Kifalsafa na Mwenyezi Mungu.
Wakati nikimkataa mapema tu Mhamasishaji Mkuu mpya wa Simba SC 'Samjo Samjo' Mwinjaku muda si mrefu Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu amekasirishwa na...
Yaani kuna watu kabisa wanalipana posho KWENYE UTOPOLO KAMA HUU, mnavyozungumzia watu kujiajiri na mtu akiwakuta kwenye makongamano kama haya jinsi mnavyojifanya mnaipenda teknolojia na internet huku mkitoa mifano ya nchi nyingine zinavyopiga hatua na kuzalisha ajira sababu ya internet yenye...
Waziri wa Ulinzi wa Taiwan ameonya kuwa mvutano wa kijeshi dhidi ya China umefikia hatua mbaya zaidi katika kipindi cha miaka 40 na ametoa tahadhari uwezekano wa mashumbulizi kati ya nchi hizo mbili.
----
Uhusiano wa kijeshi na China ni mbaya zaidi katika miaka 40, waziri wa ulinzi wa Taiwan...
Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
Jacinta Wambui ni mwanamke wa miaka 24 , kutoka nchini Kenya .
Hisia zake na mawazo yake pamoja na upeo wake hususani kuhusu jinsia ya kiume au wanaume kwa ujumla, ni tofauti mno na ile ya wanawake wengi wa rika lake .
Jacinta amejitokeza wazi wazi kuzungumzia hali hii ambayo imegubikwa na...
Leo tena upande wa utetezi katika kesi ya Mbowe wanaendelea kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ya kesi kubwa ambapo leo tarehe 28/09/2021 Mtuhumiwa Lig'wenya anaendelea na ushahidi wake.
=======
Jaji: ameshaingia Sasa
Kesi namba 16 Inatajwa
Kesi namba 16 ya Mwaka 2021,Jamuhuri dhidi ya...
Nasoma kwenye Daily News ya tar. 27 Septemba kuwab"Dodoma regional Commissioner, Mr Anthony Mtaka thanked the President for supporting the region to address a number of challenges.
Others are rural electrification projects saying that out of 531 villages in the region, 461 have been connected...
Tanesco katika maeneo Mbalimbali Hasa Jiji la Mwanza imeshangaza wananchi zaidi 2000 katika eneo la Nyakato kushindwa kuunganishia watu umeme, Hali hiyo inafanya baadhi ya watu kupitia njia za panya kutoa rushwa ili kufungiwa umeme, wananchi wamelalamika bila msaada
Tunatumaini
1)Uteuzi Mpya...
Ni Mpumbavu tu pekee kwa Maandalizi hafifu ya Yanga SC kuelekea Mechi yao ya leo ya CAF CL dhidi ya Rivers United FC ndiyo alijua kuwa ingeshinda.
Ila kwa tuliocheza Mpira, tunaoujua vyema Mpira na tumebobea vyema katika Sayansi na Sanaa ya Mpira na Wachambuzi Binafsi wa Soka la Tanzania na...
Naombeni ushauri wa nini kifanyike. Mdogo wangu amesoma hadi chuo kikuu. Jina la ubatizo alilolitumia shule ambalo liko kwenye vyeti vyake ni tofauti na jina alilopewa na wazazi kabla ya ubatizo.
Jina hilo la kabla ya ubatizo liko kwenye hati za mashamba aliyoachiwa na baba mkubwa, nauliza nini...
Katika kipindi cha mwaka 2001-2010 pato halisi la Tanzania(GDP) limeonyesha kiwango cha wastani wa kukua cha 7%. Ukuaji ulishuka mwaka 2009 na kuwa 6.0%, hasa kutokana na kudorora sana kwa ukuaji wa uchumi duniani.
Hata hivyo ulirudia kwenye 7% mwaka 2010. Sekta zilizoonyesha viwango vya...
Wakulima watalima vipi kipindi hiki mbolea ambayo tulinunua kwa elfu 60 Sasa imefikia elf 95 laki mpaka laki na ishirini.
Sasa najiuliza itakuwaje kama Sasa hivi gunia la mahindi kwa eneo nililopo ni elf 24 wakati Bei ya mbolea ni laki na ishirini.
Kwamba unatakiwa kuuza gunia 5 Za mahindi ili...
Huu ni mkusanyiko wa watu ktk Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam mbele ya Rais 02/09/2021. Halafu bila soni akasisitiza chanjo.
Hivi Rais Samia yuko serious na gonjwa hili ama anaongea kuwafurahisha na kuwapumbaza walotoa hela?
Wenye akili wameamua kumchana mheshimiwa rais bila woga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.