hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hili la Umeme linatosha kuitoa serikali madarakani, Serikali ifanye jitihada za dharula kuweka hali sawa

    Habari JF, ninapoandika hapa ni zaidi ya masaa 12 hakuna umeme .suala la umeme limekuwa ni tatizo kubwa sana maeneo yote, Kazi hazifanyi lakini pia watu wanafanya shughuli zao katika mazingira magumu sana na kwa gharama kubwa . Hili serikali haioni kuna haja ya kufanya jitihada za dharula...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Barabara za Jimbo la Kibaha Mjini (Pwani) hali ni mbaya, mvua ikinyesha Wananchi wanateseka

    Hivi ndivyo ilivyo maeneo ya mitaa ya Kibaha, Maili Moja Mkoani Pwani, mvua zikinyesha tu basi miundombinu hasa barabara hazipitiki kirahisi kama hivi inavyoonekana. Mbunge wa Jimbo hilo la Kibaha Mjini ni Silvestry Fransis Koka ambaye amekuwepo katika nafasi hiyo kwa muda mrefu lakini suala la...
  3. JamiiForums Tanzania Mabibi na mabwana afya tokeni ofisini na mpite mitaani, hali ya mazingira hairidhishi

    Mabibi na mabwana afya tokeni ofisini mlikojificha, piteni mitaani, masokoni nk hali ya mazingira ni mbaya hairidhishi, kwa Jiji la Dar ndio kimbembe hasa kipindi hiki cha mvua, watu wasio wastaarabu wanafungulia chemba za vyoo vyao zinatirirsha maji machafu yanajichaganya na maji ya mvua...
  4. JamiiForums Tanzania Katavi: Baadhi ya Shule hali ya kuripoti Wanafunzi hairidhishi Mwaka 2024

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko ameagiza watendaji wote wa Mitaa na Vitongoji wakishirikiana na maafisa elimu kuhakikisha wanatoka maofisini na badala yake wawatafute Wanafunzi wote wanaopaswa kuwa shule ili kuendelea na masomo. Kauli hiyo ameitoa mara baada ya kufanya ziara katika...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ni mbaya sana Shule ya Msingi Kitanda - Mbinga TC

    Shule ya msingi Kitanda ni shule ambayo ipo katika kata ya Kitanda halmshauri ya Mbinga mji ,ni shule ambayo ipo kilometer 15 kutoka makao makuu ya halmshauri ya Mbinga mji na makao makuu ya wilaya ya Mbinga. Shule hii inakadiriwa kuwa na wanafunzi 700+ na walimu wasiopungua 8 lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani, Israel wanashirikiana na ISIS kufanya ugaidi Iran. Huu ni uoga wa hali ya juu

    Wanaukumbi. BREAKING: ⚡ 🇮🇷ISIS sasa imedai Kuwajibika kwa Mlipuko wa Kujitoa mhanga jana kwenye Njia ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Qasem Soleimani nchini Iran. ISIS na Israeli tena wana adui sawa na huko Syria. Ajabu sana...
  7. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) mko wapi?

    Siku zote hali ya joto imekuwa ikipanda lakini hatuoni utabiri wenu, mmekuja na kiwango cha joto 33°C ambacho ni cha muda mrefu, tupeni kiwango sahihi. Hii ni tarehe 1 January 2024.
  8. JamiiForums Tanzania DW: Hali ya Usalama Zanzibar Mashakani. Yadaiwa kuna watu wanapora wageni mitaani na kupotea

    Siku chake baada ya Kamishna wa jeshi la polisi Zanzibar kutoa taarifa ya kuimarishwa kwa ulinzi katika kipindi cha Krismas na mwaka mpya katika maeneo yote ya Zanzibar, watu zaidi ya 40 wenye silaha wameripotia kuvamia katika mitaa mbali mbali na kuwajeruhi wananchi na kuwaumiza kabla ya...
  9. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam Mbagala hali ni hii

    USINYWE BIA KUNYWA MAJI YASIYO YA BARIDI YA KUTOSHA.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Mabasi Sengerema ina hali mbaya, Halmashauri haioni?

    Moja kwa moja kwenye mada. Stendi ya Mabasi Sengerema ni moja ya stendi inayohudumia magari mengi kwa siku. Magari yote yanayokwenda mikoa ya Kigoma, kagera, Geita na wilaya zake kutoka Mwanza yanapita hapo. Kinachosikitisha stendi imejaa mashimo kama majaruba, gari zinapita kwa shida, Ushuru...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ni lini Zanzibar itatangaza mashoga na mateja kuwa janga la kitaifa? Hali ni mbaya sana hapa visiwani

    Msione aibu wala soni kulisemea hili ili kuviponya visiwa hivi. Mficha maradhi kifo humuumbua. Kisiwa cha Unguja halli ni mbaya sana . Lkn sijawahi kusikia tamko la serikali ikilaani mashoga na mateja wanaoongezeka kwa kasi ya kumbikumbi. Huwezi kutembeza km 0.5 bila kukutana nao
  12. JamiiForums Tanzania Hali ya upatikanaji wa ajiraTanzania kwa sasa ni ngumu sana

    Kutokana na uzoefu wangu. Kwa sasa Tanzania ajira ni adimu kuliko wakati wowote ule. Wakati mnapiga makelele ya mgao wa umeme. Kaeni mkijua graduates wanasota sana huku kitaa bila maelezo. Miaka kumi iliyopita ajira Tanzania zilikuwa za kumwaga hali haikuwa hivi. Kuna kila dalili kabisa...
  13. JamiiForums Tanzania Mbwatukaji Mkurupukaji Wao leo Saa 4 Kamili Asubuhi anaenda Kuchafua Hali ya Hewa Lumumba

    Tujiandaeni kwa Maboko yake ya kama Kawaida kutokana na Kukurupuka Kwake Kiasili japo GENTAMYCINE natamani mno azungumzie pia kuhusu Kero ya Kukatikakatika kwa Umeme nchini kwa muda wa Wiki Tatu kama siyo Mwezi sasa.
  14. JamiiForums Tanzania Tukivujishiwa video za wale waliokuwa wanaokotwa kwenye mifuko ya Sandarusi baharini hali itakuwaje?

    Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas, bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu. Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ijitathimini kuhusu mikopo ya elimu ya juu . Hali ni tofauti na inavyodhaniwa

    Serikali ya awamu ya Sita hivi karibuni ilijitutumua kuwa inao uwezo wa kulipia wanafunzi wote wanaoqualify kupata mikopo elimu ya juu ,ila pia ikaenda mbali na kupiga siasa kuwa itawakopesha wanafunzi wa elimu ya kati. Ki ukweli hali ni tofauti wanafunzi wengi wenye vigezo hawajapewa...
  16. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Iran hali mbaya, wabunge wapiga chini bajeti kwa ilivyo na mapungufu mengi

    Wametoa sababu nyingi ikiwemo bajeti kupunguza utegemezi wa mafuta na kuhamia kwenye kuongeza kutegemea kodi ambayo yenyewe imewakaba wananchi kwenye koo, pia wastaafu wametupwa mbali, bajeti haina mpango nao, yaani matatizo lukuki. Nahisi ndio maana Iran imejinyamazia huku Gaza ikifanywa...
  17. JamiiForums Tanzania Hali ya chemba za majitaka Kariakoo ni mbaya, Utapishaji Vyoo unafanyika kiholela

    Nimepita Kariakoo leo kwakweli hali ya Miundombinu zikiwemo Barabara za Mitaa na Chemba za Majitaka ni mbaya inatia kinyaa na Mamlaka zinaendelea kukusanya Kodi pale kama hazioni. Mbaya zaidi Chemba zimepasuka katika maeneo ambayo watu wanalazimika kutembea kwenye uchafu unaotoka katika mitaro...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi jimboni kwa Mwigulu wapaza sauti kuomba msaada wa barabara

    Wananchi wa Jimbo la Iramba hususan wakazi wa Maeneo ya Kinampanda na maeneo jirani tulamlalamikia mbunge wetu Mwigulu Nchemba kwani barabara za vijijini ni mbaya sana na hazipitiki hasa kipindi hiki cha mvua. Mfano mdogo barabara ya kuingia Kituo cha Afya Kinampanda imejaa utelezi haipiti...
  19. JamiiForums Tanzania Majeshi ya Israel yamekwama kweye tope Gaza hali tete

    Wanaukumbi. Kwa mujibu wa Leaks Mawasiliano makali na ya dharura yanafanywa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani na baadhi ya nchi za Kiarabu hasa Misri na Qatar ili kushinikiza Hamas kukubali mapatano ya haraka kwa kisingizio cha kuleta misaada Gaza!! Ukweli ni kwamba suluhu hili liliombwa...
  20. JamiiForums Tanzania Israel ikikubali kuuliwa askari 10 leo ujue hali imekuwa mbaya kwao

    Zadi ya miezi 2 tangu vita vianze kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limekiri kuuliwa kwa askari wake 10 kwa pamoja tena ndani ya kaskazini ya Gaza siku ya jana Jumanne.Eneo ambalo awali walitangaza kuliteka lote. Miongoni mwa askari waliouliwa na Hamas ni mwenye cheo cha colonel aliyekuwa kamanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…