hali tete

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Barabara kufungwa kupisha Sherehe za Siku ya kuzaliwa Rais Museveni

    Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika Uwanja wa Uhuru na kutarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 100,000 kutoka Nchi mbalimbali Sherehe...
  2. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Je, hiki anacho fanya Russia ni kisasi dhidi ya wale wanao muunga mkono Ukraine hasa Ufaransa?

    Kwa wale wafuasi wa magharibi na baadhi ya wachambuzi wanajaribu kuweka mitazamo yao kuhusu hali aliyonayo Russia pale Ukraine Wengi wamekuwa wakisema Urusi ana hali ngumu na anajaribu kupoteza kila siku, lakini pia tujiulize je vipi kuhusu hali walizonazo zile nchi zinazo toa support kwa...
  3. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Hali tete Lecturer hataki kutoa mark up

    Ni hatari kweli kweli, watu wanamfata lecturer niongeze hata alama 1 tu lecturer nae anakuja kama wewe umezikosa mimi nitazitoa wapi? Maombi yenu yanahitajika sana kwa hawa ndugu zetu.
  4. anti-Glazer

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila aanze kazi sasa, hali ya Jiji ni tete

    Kama ni maneno yanatosha. Anza kazi mzee wa mdomo. Tegeta mafuriko, Mbagala Kijiji, Bunju Panyaroad wamekaa wakila timing. Kigamboni changamoto kibao. Ubungo imelala. Tabata haieweleki life as usual, Mitaa, Mashina hayana viongozi. Yaani jiwe aliharibu Nchi.
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Zamu ya Warusi kuwa wakimbizi, gavana aomba raia wasirudi, hali tete Belgorod

    Haijatokea siku nyingine supapawa anavamiwa ndani hadi raina wanakimbia makwao na kuwa wakimbizi. ======= Authorities in Russia's Belgorod region said a "counter-terrorism operation" was ongoing after a sabotage group from Ukraine crossed the border. DW has the latest. The governor of...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hali tete wakuu mwenye connection kazi za Ulinzi

    Habari wakuu, Mwenye connection kazi za ulinzi ndugu yangu anatafuta. Hali tete. Cc: Sandali Ali
  7. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Hali tete Ukraine waanza kutumia vikongwe na watoto. Wagner Group yamtaka Zelensky atangaze kuipoteza Bakhmut maana hali ni tete

    Mkuu wa kampuni ya masuala ya kijeshi nchini Urusi, Wagner Group, amesema wapiganaji wake wameuzunguka mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine, ambao Urusi imekuwa ikijaribu kuutwaa kwa miezi kadhaa sasa. Kufikia asubuhi ya Ijumaa (Machi 3), Yevgeny Prigozhin alisema sehemu pekee ambayo haikuwa...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Hali tete, Urusi kuanza kulazimisha wanafunzi wakapigane Ukraine

    Baada ya wanajeshi na hata wafungwa wa Wagner kufyekwa kama nguruwe, Urusi iko katika hali mbovu sana, sasa kuanza kufuata wanafunzi na kuwalazimisha wajiunge kwenye usaili nao wakafie huko, hilo taifa hivi karibuni litaishiwa wanaume. ===================== "Russia is preparing to draft...
  9. Mbulukenge

    JamiiForums Tanzania Chid Benz hali tete

    Huyu gwiji wa kitambo ndio amefikia huku kweli?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hali tete vivuko vya Kigamboni

    Kwa masikitiko makubwa naomba serikali iingilie kati suala la VIVUKO VYA KIGAMBONI kutokana na hali ya uchakavu iliyopo katika VIVUKO hivyo ili kunusuru majanga yanayoweza kutokea. Tangu hii wiki ianze wananchi wamekuwa wakiteseka sana pale kwa foleni ndefu magari na mlundikano mkubwa kwenye...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hali tete, Hospitali nchini zaishiwa vitanda

    Wakati Serikali ikiendelea kuongeza idadi ya hospitali na vituo vya afya nchini, bado changamoto ya uhaba wa vitanda vya kulazia wagonjwa inaendelea kuiandama sekta ya afya, hasa katika vituo vya umma. Ripoti ya ‘Tanzania in figures 2021’ inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)...
  12. Njowepo

    JamiiForums Tanzania TCRA saidieni kwenye hili la vifurushi, hali tete

    Hii mitandao ya simu kila leo wanapunguza package zao ila kwa bei ile ile. Mfano Vodacom kwa mwezi wa Nov na Oct kwa malipo ya Tshs 50,000 nimekuta wamepunguza 3GB na dk 200. wamepunguzakama ifuatavyo; ~ 50,000 Nov Package unapata :1200minutes 500sms 20GB. ~ 50,000 Oct Package nilipata...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TFF hali tete, yahaha kusaka mdhamini mpya Ligi Kuu

    RAIS wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Walace Karia amesema wapo kwenye mazungumzo na kampuni mbalimbali kwa ajili ya udhamini wa Kombe la TFF. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Karia amesema kombe hilo halina mdhamini mkuu na hata kuitwa kombe la Shirikisho Azam ni kutokana na kutokuwa na...
  14. Narumu newz

    JamiiForums Tanzania Hali tete kwa Vladmir Putin, sasa ni dunia inataka kumtandika

    Zaidi ya mataifa 50 ya ulaya yamekutana nchini Ujerumani kujadili namna ya kuipa silaha na kuhakikisha Ukraine anashinda kwenye uvamizi wa dictetor Putin. Wote wameanzimia kutoa michango ya silaha, fedha, mafunzo, madawa, silaha za kujilinda na makombora. Hii ni baada ya dicteta Putin...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa BoT waliochana noti za Tsh. Bilioni 4.6 hali tete

    Upelelezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabiliwa washtakiwa 13, wakiwemo waliyokuwa watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), bado haujakamilika. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashitaka matano, likiwemo kuharibu noti 4.6 milioni kwa kuzichanachana na hivyo kuisababishia benki hiyo hasara...
  16. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Hali tete daraja la Tanzanite. Nashauri hili lifanyike

    Wakuu, juzi kati nilipita kwa mguu kwenye daraja la Tanzanite. Nilishtuka sana kuona kuwa daraja lina nyufa kila sehemu. Sikuamini kama ningeweza kuvuka salama kabla daraja halijatumbukia. Baada ya kufanya utafiti wa kina nilionelea kuwa lile daraja limejengwa eneo lenye sesmic waves...
  17. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kyiv -Ukraine sasa hali tete.

    Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imeonya kuwa Urusi inaweza kuzidisha mashambulizi dhidi ya miundombinu ya kiraia na vituo vya Serikali katika siku zijazo Matukio makubwa kaka mji mkuu wa Kyiv yamepigwa marufuku hadi Alhamisi, kabla ya Siku ya Uhuru wa Ukraine kesho, kufuatia onyo la...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Hali Tete: Wana struggle kuuza tiketi za siku yao

    Struggle is real my friend, hali ikienda hivi inabidi wafanye kale ka mchezo cha last year kuingiza watu bure siku husika yaani kesho kwa sababu hakuna namna
  19. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wanataka chama cha Democratic kiteue mtu mwingine na sio Rais Biden

    Utafiti kura za maoni ulifanywa na CNN umeonesha 75% ya Wamarekani wanataka chama cha Democratic kiteue mtu mwingine na sio Rais @JoeBiden uchaguzi wa 2024. Kura imefanyika wakati ambao kukubalika kwa Biden kumezidi kushuka na watu wengi kutoridhishwa na hali ya nchi na uchumi
  20. Sexer

    JamiiForums Tanzania Urusi hali tete nchini Ukraine, hivi sasa inapumulia mashine

    Urusi inapambana kudumisha kampeni yake ya kijeshi na Ukraine na inaweza kuwa na uwezo wa kujibu mashambulizi, mkuu wa idara ya kijasusi ya kigeni ya Uingereza amesema. Mkuu wa MI6 Richard Moore alisema Urusi imeshuhudia"anguko la kihistoria" katika malengo yake ya awali ya kumwondoa rais wa...
Back
Top Bottom