haki

  1. JamiiForums Tanzania Haki ni jambo la msingi kuliko maendeleo

    Asalamu watu wa jamii na jambo langu nataka niwe wasemeshe. Ni kuhusu HAKI. Haki ni kitendawili Kadiri upeo wa mwanadamu inavyoongezeka na ndivyo hivyo inakuwa ngumu kutegua fumbo hili HAKI ni nini, nani asimamie HAKI. Haki imekuwa ikifikiriwa na kutafsiriwa na jamii mbalimbali tangia zama za...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Haki ya kusahaulika katika mtandao

    Haki hii imeibuka miaka ya hivi karibu kutokana na maendeleo ya teknolojia hasa kutokana na uhalisia kuwa intaneti inakusanya taarifa nyingi za watumiaji wake Mataifa mengi yameanza kuitambua #Haki hii ambapo wananchi wake wana uhuru wa kuomba kufutwa kwa taarifa zao kwenye mtandao =====...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Utafsiri wa Sheria na hatma ya Haki nchini Tanzania

    MAKOSA YA JINAI YASIYO NA DHAMANA YANADHAMINIKA (Non Bailable Offences are Bailable) Obadia Kajungu, Esq. ADVOCATE. Dibaji (Forewords) Sisi wanasheria ndiyo kikwazo cha haki nchini Tanzania na hii ni kwa sababu tumeacha kuzitendea haki sheria kwa kushindwa kuzitafsiri sambamba na matakwa ya...
  4. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu hali ya haki jinai nchini

    Tito Magoti SUMMARY: Ni kuhusu vilio vya haki dhidi ya mfumo wa haki jinai nchini. Mheshimiwa Rais, licha ya uwepo wa misingi ya kitaasisi na kisheria katika uwanda wa haki jinai, bado kuna changamoto zinazotia doa suala la utoaji haki nchini. Barua hii inabainisha masuala machache ambayo kama...
  5. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aibua bungeni sakata la tembo kuvamia kuua wananchi, ataka wafugaji walioshinda kesi Mahakamani watendewe haki warudishiwe ng’ombe

    MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Jimbo la Kisesa Mkoa wa SIMIYU linachangamoto nyingi sana ikiwemo tatizo la uvamizi wa tembo ambao umekuwepo kwa muda mrefu bila kupata suluhisho la kudumu kutoka serikalini. Amesema wananchi wanavamiwa na tembo mazao yao yanaliwa yakiwa shambani na hata...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Mama Samia sema chochote kuhusu Bunge kuoneshwa LIVE

    Mama najua unapitapita kwenye mitandao ya kijamii direct au indirect. Kwa siku hizi 18 ulizokaa kwenye hicho kiti kwa kweli umeleta nuru kwenye sura za watanzania walio wengi ukiacha wale Kenge walio kwenye msafara wa Mamba. Pamoja na kauli nzuri za matumaini mpya nadhani Mama hujatamka...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kesi George Floyd: Inadhihirisha alivyosema Shaaban Robert kuwa Uanasheria ni elimu ya kupingana na haki

    1. Defense wanajenga hoja, wana create doubt kuwa kwa vile Floyd alikuwa anatumia madawa ya kulevya na alikuwa na magonjwa ya moyo, basi kifo chake kwa kiasi kikubwa kilichangiwa na matumizi ya madawa ya kulevya ma magojwa ya moyo aliyokuwa nayo na siyo kukosa hewa kulikosababishwa na...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ni akina nani wenye haki ya kupishwa barabarani?

    Habari wadau! Kuna wimbi la madereva wa magari aina ya Land Cruiser kutanua barabarani huku wakiwasha vitaa vya vimwelu mwelu kuashiria wapishwe. Je, huu ni utemi? Na je, kina nani kwa miaka ya sasa wanaoruhusiwa kupishwa bila kuwekwa pembeni na trafiki polisi? Au ndio " unanijua mimi nani"...
  9. JamiiForums Tanzania TAMISEMI mjitahidi kutenda haki kwa Walimu wanaojitolea mashuleni

    Lengo la huu uzi ni kutaka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa Tamisemi. Baada ya Mh. Rais kuiagiza Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kuajiri walimu 6000 kutokana na uhitaji ulio sababishwa na vifo na kuacha/kufukuzwa kazi kwa baadhi ya walimu, natarajia zoezi linalo fuata ni...
  10. JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Acheni kuajiri kimya kimya, mchakato wa ajira 6000 za walimu ufanyike kwa uwazi

    Hivi karibuni mmebuni utaratibu wa hovyo wa kuajiri walimu kimya kimya kupitia mawasiliano ya simu za mkononi. Huu utaratibu sio rafiki hasa katika zama hizi za maendeleo ya sayansi na teknolojia ambapo utapeli wa mitandaoni umeongezeka, hivyo matapeli wanaweza kutumia mwanya huo kutapeli watu...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Leo tarehe 1/4/2021 makampuni ya simu yamefanya mabadiliko makubwa katika vifurushi vyao. Wamepunguza vifurushi kwa kiasi kikubwa hasa vifurushi vya data, sitaweka hapa kifurushi kimoja baada ya kingine lkn kwenye mitandao yetu hilo lipo. Nenda kwenye menu tu nadhani utakutana na upuuzi wote...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa ndiye mwanasiasa pekee aliyemtendea haki hayati Magufuli, hakujipendekeza kiunafiki japo ni Mwanafamilia

    Binafsi nampongeza aliyekuwa mbunge wangu wa Iringa mjini mchungaji Msigwa kwa kutoyumba wala kuyumbishwa na siasa za kutamani madaraka. Pamoja na kufuatwa jela na Mwenezi Polepole na kulipiwa faini na wanafamilia bado mchungaji Msigwa alibakia kuwa mwanachama mtiifu wa Chadema. Nina imani...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna watu hawazipendi kabisa dhana hizi "Demokrasia" na "Haki"

    Watu wasiopenda demokrasia na haki ,huwashabikia na kuwatukuza sana watu wanaokandamiza haki na demokrasia. Kitu kimoja nataka kuwaambia watu wa aina hii ni kuwa; haki na demokrasia ndio ubinadamu wenyewe. Kwa asili binadamu aliubwa kama nafsi iliyo huru yenye utashi kamili. Ni nafsi inayojua...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Haki ya kupata taarifa za miradi ya maendeleo

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa haki kwa kila Raia kupata taarifa muhimu Kupata taarifa kuhusu mambo na mipango ya maendelo inayofanyika kwenye Halmashauri yake ni haki ya kila mmoja Kila Halmashauri inapaswa kuweka kwenye mbao za matangazo taarifa kuhusu fursa za uwekezaji au...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Serikali lazima mjue matajiri nasi tuna haki kama Watanzania wengine

    Shalom from Jerusalem. Mara nyingi viongozi wa serikali mmesikika mkisema na kuona fahari kuwa mko kwa ajili ya kuwatumikia wanyonge kama vile wao pekee ndiyo wenye haki ya kuishi. Pia mmekuwa mkifanya propaganda kuionesha jamii unyonge wa watu wengi unasababishwa na sisi matajiri. Mnaanzisha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tunachokitaka na kusisitiza ni uchaguzi wa haki na si jingine

    Marehemu Raisi Magufuli ameondoka na kaiwacha nchi katika sintofahamu ya manunguniko ya matokea ya uchaguzi ,tunaweza kusema ameiwacha nchi wananchi wake wakiwa ndani ya mgawanyiko mkubwa sana unaofukuta. Ninavyoamini hata kama uchaguzi usingekuwa na mizengwe bado CCM wangeibuka videdea kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Maaskofu wamuasa Rais Samia Suluhu kuhusu haki na ustawi

    Maaskofu wamuasa Rais Samia kuhusu haki na ustawi MAASKOFU wa makanisa mbalimbali Tanzania wamempa ushauri Rais Samia Suluhu Hassan juu ya namna nzuri ya kuongoza nchi kwa haki na ustawi. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Dar es Salaam wa Kanisa Katiloki, Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi, Jumamosi...
  18. JamiiForums Tanzania Tutendeane wema, tuwe watu wa haki, tusidhulumu na kutumia madaraka vibaya

    Tuishi kwa wema maana dunia tunapita. Tuache unafiki tuwe wakweli tudumishe upendo na utu tuwe watu wa haki, tuache kiburi, ubabe, ulevi wa madaraka na kujikweza maana duniani tunapita. wengi walionewa waziwazi na aliejiona Mungu mtu akajiita kiongozi wa malaika na wengine wakamshangilia katika...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tundu Lissu mahojiano yake na KTN kuwasema vibaya Jomo Kenyatta na Moi hakuwatendea haki Wakenya

    Kwenye mahojiano jana na television ya Kenya ya KTN live akiwa Ubelgiji aliwaponda sana mzee Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi kuwa walikuwa madikteta akawapongeza wakenya kujitoa kwenye mikucha yao na kuwa vizuri sasa. Hakuwatendea haki .Naomba wakenya wenyewe rejeeni hayo mahojiano ni ukosefu...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali mmetunyima haki ya kumuombea Magufuli, kwa kutunyima taarifa za kuumwa kwake

    Rais Magufuli alikuwa muumini mkubwa wa maombi na kuombewa. Nna imani kabisa kama tungejulishwa kuhusu kuumwa kwake huenda wengi sana watanzania tungemuombea. Badala yake serikali kwa sababu wanazozijua wao, waliamua kuficha taarifa na ilikuwa ni dhambi hata kuthubutu kumuulizia Rais alipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…